Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Wewe ndo utuambie huu ujuaji wako u akusaidia nini? Mwenye diploma akisimamia mtihani anakuwa na tatizo gani au unaposimamia na wewe unafanya mtihani. Wasiamizi wote wanapewa semina na wanatakiwa kurely kwenye maelekezo ya semina, kama digrii ndo kigezo cha kuwa msimamizi mkuu tueleze kanuni hiyo imeandikwa wapi?Msonde ujuaji ulipitiliza hivi itakuwaje wasimamizi wa mitihani kidato cha nne wawe walimu wa shule ya msingi arafu wasimamizi wakuu wachaguliwe na NECTA yani mtu kisa tu alichaguliwa kwenda kusahisha mitihani NECTA unamchagua awe msimizi mkuu
Sasa Leo hii mwalimu mwenye elimu ya diploma amenda simamia mitihani ya kidato cha sita kama msimizi mkuu mwalimu ambaye huo mtihani wa form six ulimshinda kisa NECTA wamesema si ujinga huo