Pendekezo: Prof. Assad ateuliwe Ukurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari

Pendekezo: Prof. Assad ateuliwe Ukurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari

Mkuu CAG ni zaidi ya uyo mkurugenz wa bandari

Professor labda wamrudishe achukue nafasi ya KATIBU MKUU KIONGOZI

ALIYESHIKA ARUD LUMUMBA BADO NAFASI YAKE IPO

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Katiba hairuhusu mtu yyte ambae kashakuwa mdhibiti wa hesabu za serikali hata ruhusiwa kushika nafasi yyte au ofisi yyte ya umma
 
Katiba hairuhusu mtu yyte ambae kashakuwa mdhibiti wa hesabu za serikali hata ruhusiwa kushika nafasi yyte au ofisi yyte ya umma
Katiba haikuruhusu Meko kumtumbua Assad b4 kustaafu au kifo. Assad hajastaafu.

njia zipo nyingi tu za kumrudisha. 1. kwa maslahi mapana ya Taifa ana rudi kibabe. Au
2. Kesi ina funguliwa ku challenge kustaafishwa kwake kinyume cha Katiba in 2 months ana shinda ana rudishwa. Huyo Meko alimrudishia hadhi ya Ubalozi Ndg yake Prof. Costa Ricky Mahalu aliye kuwa amevuliwa na JK.
 
Rais Samia, NSSF Kuna ubadhirifu na upendeleo...ichunguzwe

Na watu walipwe mafao yao
 
Siku zote za kuenda bandarini sikuhawahi kuona mskiti. hatutaki ajenda za udini kwenye mashirika ya umma.
 
Back
Top Bottom