PENDEKEZO: Rais Samia atangaze rasmi tarehe 17 Machi iwe Sikukuu ya kitaifa kumuenzi Hayati Magufuli

PENDEKEZO: Rais Samia atangaze rasmi tarehe 17 Machi iwe Sikukuu ya kitaifa kumuenzi Hayati Magufuli

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
6,053
Reaction score
10,032
Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr. Magufuli.

17 march: Magufuli Day

Kwenu wakereketwa...


1665512460617.jpg
210317165233-02-john-magufuli-file.jpg
 
Mkuu
USA haenziwi washington tu basi
Hata huku ukiwezekana kuwaenzi wote sawa tu
Hapana Tanzania Ina public holidays za kutosha, I am sure Tanzania kama Taifa halijafika mwisho Marais wengi watakuja, watafanya mambo makubwa kuwazidi nawatafariki pia , tuangalie mbele tusiangalie mihemko ya sasa, tusilibebeshe Taifa public holidays furushi wakakosa muda wa kufanya kazi.
NYERERE na KARUME inaeleweka hawa ni waasisi wa Taifa
 
Hapana Tanzania Ina public holidays za kutosha, am sure Tanzania kama Taifa halijafika mwisho Marais wengi watakuja, watafanya mambo makubwa kuwazidi nawatafariki pia , tuangalie mbele tusiangalie mihemko ya sasa, tusilibebeshe Taifa public holidays furushi wakakosa muda wa kufanya kazi.
NYERERE na KARUME inaeleweka hawa ni waasisi wa Taifa
Sawa

Ila siungi mkono hoja yako
 
Back
Top Bottom