PENDEKEZO: Rais Samia atangaze rasmi tarehe 17 Machi iwe Sikukuu ya kitaifa kumuenzi Hayati Magufuli

Mkuu
USA haenziwi washington tu basi
Hata huku ukiwezekana kuwaenzi wote sawa tu
Hapana Tanzania Ina public holidays za kutosha, I am sure Tanzania kama Taifa halijafika mwisho Marais wengi watakuja, watafanya mambo makubwa kuwazidi nawatafariki pia , tuangalie mbele tusiangalie mihemko ya sasa, tusilibebeshe Taifa public holidays furushi wakakosa muda wa kufanya kazi.
NYERERE na KARUME inaeleweka hawa ni waasisi wa Taifa
 
Sawa

Ila siungi mkono hoja yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…