Pendekezo: Rais Samia Suluhu wachukue Maria Sarungi Tsehai, Mwele Malecela na Fatma Karume kwenye Serikali yako

Watanzania ni watu wa hovyo sana yani mtu kupiga kelele mtandaoni tayari ashafaa kuteuliwa. Wewe unamshauri mama asiwakubali watu wa vetting ila unataka akuamini wewe unknown kutoka mitandaoni.
Upumbavu tu.
 
St.u...pid thread...umeniharibia siku yangu kabisa leo...pyuuuuu
 
Watanzania ni watu wa hovyo sana yani mtu kupiga kelele mtandaoni tayari ashafaa kuteuliwa. Wewe unamshauri mama asiwakubali watu wa vetting ila unataka akuamini wewe unknown kutoka mitandaoni.
Upumbavu tu.
Hao ndio wajuaji wa mitandaoni mkuu,

Wanataka kifanyike kile wanachokisema bila kupungua hata chembe,
 
Mkuu na sie tunataka kuwatumikia Watanzania kwenye nafasi za juu.Hao wazazi wao walishatumbua maisha.Siku nyingine uache huo upumbavu.
 
Bado hamtaki kukosolewa lengo hapo ni nini kuwanyamazisha?
 

Mimi nafahamu kuwa Rais Samia anawafahamu wote hao tena kwa karibu sana; mwezi wa Ramadhani huwa anawaalika kufuturu nao!! Tena huyo Maria Sarungi anamfahamu uwezo wake kwani walifanya kazi pamoja kwenye bunge la katiba.
 
Hapendi wanawake wenzake.

Yeye hajiulizi alionekanaje
 
Kwani wao wana akili kuzidi watanzania wengine?
Mnawaombea kazi wapeni hata kwenye vyama vyenu au majumbani kwenu.

Tanzania ina watu milioni 60 na wenye akili ni wengi kuliko hao
 
Nashauri waachwe waendelee na Haraka tu hao ni Jicho la tatu kwa Serikali
 
Maria lipia tangazo lako.kwanza tuna mashaka na u raia wako
 
Aka mashangazi wa taifa kama wanavoitwa na jamii ya Twitter
 
Unataka maridhiano ya kitaifa au vita πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Muacheni Raisi Amiri Jeshi Mkuu afanye kazi, hawa mawakala wa kigogo, ukimuacha Dr, hakutakuwa na siri serikalini.
Mwele aendelee tu huko na maisha.

Hawa wabakie Twita Republic waendeleze harakati zao.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Tuache ujuha, kuwa activist au whistle blower hakumfanyi mtu kuwa good executive. Kifupi wale ni takataka kabisa ukimtoa Mwele
 
Umewasahau - Tundu Lissu, Mwamakula, Shekh Ponda na NiweMugizi na wenyewe awachague.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…