Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
St.u...pid thread...umeniharibia siku yangu kabisa leo...pyuuuuuMh Rais najua unapitapita kwenye mitandao, najua viongozi wengi unaochagua unaletewa majina baada ya kufanya vetting lakin mwisho wa siku wewe ndio unafanya final selection
Sasa Mh Rais Samia kuna Hawa watu Mwele Malecela, Maria Sarungi na Fatuma karume walishitupwa nje ya system na utawala wa Mwendazake hayati Magufuli
Maria Anaishi uamishoni kama sikosei baada ya kukosoa utawala wa Mwendakazi
Fatuma katupwa Zanzibar kukanyaga dar ilikuwa mbinde kwenye utawala wa awamu ya 5
Mwele Malecela huyu aliogopa kuja Tz baada ya kutimuliwa NMRI
Mh Samia jua kuwa system inayokuletea viongozi kamwe hatakuletea watu makini kama hawa na wengi
Sio kwamba nawapigia debe ila historia yao ndio inanituma nikupe ili pendekezo
KWA KUANZA MCHAGUA MARIA SARUNGI TSEHAI KUCHUA NAFSI YA MKURUGENZI WA MAWASILIANO IKULU
View attachment 1744342
View attachment 1744343
View attachment 1744344
Hao ndio wajuaji wa mitandaoni mkuu,Watanzania ni watu wa hovyo sana yani mtu kupiga kelele mtandaoni tayari ashafaa kuteuliwa. Wewe unamshauri mama asiwakubali watu wa vetting ila unataka akuamini wewe unknown kutoka mitandaoni.
Upumbavu tu.
Mh Rais najua unapitapita kwenye mitandao, najua viongozi wengi unaochagua unaletewa majina baada ya kufanya vetting lakin mwisho wa siku wewe ndio unafanya final selection
Sasa Mh Rais Samia kuna Hawa watu Mwele Malecela, Maria Sarungi na Fatuma karume walishitupwa nje ya system na utawala wa Mwendazake hayati Magufuli
Maria Anaishi uamishoni kama sikosei baada ya kukosoa utawala wa Mwendakazi
Fatuma katupwa Zanzibar kukanyaga dar ilikuwa mbinde kwenye utawala wa awamu ya 5
Mwele Malecela huyu aliogopa kuja Tz baada ya kutimuliwa NMRI
Mh Samia jua kuwa system inayokuletea viongozi kamwe hatakuletea watu makini kama hawa na wengi
Sio kwamba nawapigia debe ila historia yao ndio inanituma nikupe ili pendekezo
KWA KUANZA MCHAGUA MARIA SARUNGI TSEHAI KUCHUA NAFSI YA MKURUGENZI WA MAWASILIANO IKULU
View attachment 1744342
View attachment 1744343
View attachment 1744344
Kwani wao wana akili kuzidi watanzania wengine?Mh Rais najua unapitapita kwenye mitandao, najua viongozi wengi unaochagua unaletewa majina baada ya kufanya vetting lakin mwisho wa siku wewe ndio unafanya final selection
Sasa Mh Rais Samia kuna Hawa watu Mwele Malecela, Maria Sarungi na Fatuma karume walishitupwa nje ya system na utawala wa Mwendazake hayati Magufuli
Maria Anaishi uamishoni kama sikosei baada ya kukosoa utawala wa Mwendakazi
Fatuma katupwa Zanzibar kukanyaga dar ilikuwa mbinde kwenye utawala wa awamu ya 5
Mwele Malecela huyu aliogopa kuja Tz baada ya kutimuliwa NMRI
Mh Samia jua kuwa system inayokuletea viongozi kamwe hatakuletea watu makini kama hawa na wengi
Sio kwamba nawapigia debe ila historia yao ndio inanituma nikupe ili pendekezo
KWA KUANZA MCHAGUA MARIA SARUNGI TSEHAI KUCHUA NAFSI YA MKURUGENZI WA MAWASILIANO IKULU
View attachment 1744342
View attachment 1744343
View attachment 1744344
Kweli kabisa.Hao ndio wajuaji wa mitandaoni mkuu,
Wanataka kifanyike kile wanachokisema bila kupungua hata chembe,
Umewasahau - Tundu Lissu, Mwamakula, Shekh Ponda na NiweMugizi na wenyewe awachague.Mh Rais najua unapitapita kwenye mitandao, najua viongozi wengi unaochagua unaletewa majina baada ya kufanya vetting lakin mwisho wa siku wewe ndio unafanya final selection
Sasa Mh Rais Samia kuna Hawa watu Mwele Malecela, Maria Sarungi na Fatuma karume walishitupwa nje ya system na utawala wa Mwendazake hayati Magufuli
Maria Anaishi uamishoni kama sikosei baada ya kukosoa utawala wa Mwendakazi
Fatuma katupwa Zanzibar kukanyaga dar ilikuwa mbinde kwenye utawala wa awamu ya 5
Mwele Malecela huyu aliogopa kuja Tz baada ya kutimuliwa NMRI
Mh Samia jua kuwa system inayokuletea viongozi kamwe hatakuletea watu makini kama hawa na wengi
Sio kwamba nawapigia debe ila historia yao ndio inanituma nikupe ili pendekezo
KWA KUANZA MCHAGUA MARIA SARUNGI TSEHAI KUCHUA NAFSI YA MKURUGENZI WA MAWASILIANO IKULU
View attachment 1744342
View attachment 1744343
View attachment 1744344
Huu utani sasaAnayefaa ni Salama Jabri