Pendekezo: Rais Samia Suluhu wachukue Maria Sarungi Tsehai, Mwele Malecela na Fatma Karume kwenye Serikali yako

Pendekezo: Rais Samia Suluhu wachukue Maria Sarungi Tsehai, Mwele Malecela na Fatma Karume kwenye Serikali yako

Mh Rais najua unapitapita kwenye mitandao, najua viongozi wengi unaochagua unaletewa majina baada ya kufanya vetting lakin mwisho wa siku wewe ndio unafanya final selection

Sasa Mh Rais Samia kuna Hawa watu Mwele Malecela, Maria Sarungi na Fatuma karume walishitupwa nje ya system na utawala wa Mwendazake hayati Magufuli

Maria Anaishi uamishoni kama sikosei baada ya kukosoa utawala wa Mwendakazi

Fatuma katupwa Zanzibar kukanyaga dar ilikuwa mbinde kwenye utawala wa awamu ya 5

Mwele Malecela huyu aliogopa kuja Tz baada ya kutimuliwa NMRI



Mh Samia jua kuwa system inayokuletea viongozi kamwe hatakuletea watu makini kama hawa na wengi

Sio kwamba nawapigia debe ila historia yao ndio inanituma nikupe ili pendekezo


KWA KUANZA MCHAGUA MARIA SARUNGI TSEHAI KUCHUA NAFSI YA MKURUGENZI WA MAWASILIANO IKULU

View attachment 1744342

View attachment 1744343

View attachment 1744344
Hawa wasubirie serikali ya saccos ya Mbowe, naona watamfaa Sana.
 
Back
Top Bottom