Ni kweli masomo ya Mathematics, Science na Language ni muhimu, lakini maadili ndiyo yanayomfanya mwanadamu atumie maarifa hayo kwa manufaa ya jamii na si kwa uharibifu.”Civics inabidi ktk extra curriculum na sio kufundishwa darasani .
Masomo yanayobidi kujifunza ni matatu
Mathematics
Science
Language.
Mzigo tu sijaona umuhimu wake, mkae kabisa mnapoteza resources time, fedha kwa ujinga kama huo? Kwa heriNimesoma, ndiyo maana najua. Moral and Civil Education ni msingi. Kama shule yako haikukufundisha, basi haiondoi ukweli kwamba maadili ni nguzo ya maisha ya kila mtu.
NB uneelewa hoja au unabisha tu pitia andiko upya ujieleimishe before ubishe.
Ni kweli masomo ya Mathematics, Science na Language ni muhimu, lakini maadili ndiyo yanayomfanya mwanadamu atumie maarifa hayo kwa manufaa ya jamii na si kwa uharibifu.”Civics inabidi ktk extra curriculum na sio kufundishwa darasani .
Masomo yanayobidi kujifunza ni matatu
Mathematics
Science
Language.
Ipo siku utatukumbuka kumbuka 75% ya mda mwingi mwanao anakaa shule usishau hilo! Madharani kumbuka sasa bijana wengi wamadhirika na nini ukitambua hili utokaa ubishie hoja hiyo.Mzigo tu sijaona umuhimu wake, mkae kabisa mnapoteza resources time, fedha kwa ujinga kama huo? Kwa heri
Umejib kwa mihemuko pitia huo mtaala uone kama tunagusa primary hapoUnajua walimu na Serikali wote mna akili ndogo Sana ya kuelewa mambo .
Mwanafunzi wa Primary anabidi kujifunza masomo matatu 03
Hesabu
Sayansi
Lugha
Baada ya hapo inabaki developing kumuendeleza mtoto katika mambo anagoyapenda kwahiyo unakuepo mtaala wa ziada (Extra Curriculum).
Na katika Extra Curriculum ndo wanafunzi watajufunza mambo Kama michezo , muziki , computer , uraia , historian n.k
Unabidi kuelewa maadili hayafundishwi Shule wala darasani na hii ni world wide .Ni kweli masomo ya Mathematics, Science na Language ni muhimu, lakini maadili ndiyo yanayomfanya mwanadamu atumie maarifa hayo kwa manufaa ya jamii na si kwa uharibifu.”
Mwanangu akikaa 75 % nategemea atoke mmemcoach kaiva kwenye mambo ya msingi...maadili nikifikiria wazazi, kanisani na nyie walimu inatosha sana. Sitegemei kupoteza muda kumfundisha mwanangu maadili....wenzetu wako kwenye science na innovation eti nyie mnapoteza 45 minutes za mtoto kumfundisha maadili shit!Ipo siku utatukumbuka kumbuka 75% ya mda mwingi mwanao anakaa shule usishau hilo! Madharani kumbuka sasa bijana wengi wamadhirika na nini ukitambua hili utokaa ubishie hoja hiyo.
Sio muhemko najaribu kukuambia unatumia akili ndogo kuelezea mambo kwakuwa hauna Exposure.Umejib kwa mihemuko pitia huo mtaala uone kama tunagusa primary hapo
Sasa walio kosea isiwe kipimo cha mwanao mwanao ndo anapaswa kua mfano bora kwa kizazi kijachoSio muhemko najaribu kukuambia unatumia akili ndogo kuelezea mambo kwakuwa hauna Exposure.
Serikali imekosea ila na wewe unazidi kukosea .
Mtoto anabidi asome masomo matatu tu ambayo ni sayansi, hesabu na lugha na hayo ndo masomo yanyoendesha dunia .
Swala la maadili halitokani na kufundishwa Ila ni adaptability kupitia familia yake, jamii yake na Taifa generally.
Mfano hawa wanasiasa ambao wanajilipa mabilioni hawajasoma maadili ?
Masomo ambayo mtoto yanamsaidia ni matatu .Mwanangu akikaa 75 % nategemea atoke mmemcoach kaiva kwenye mambo ya msingi...maadili nikifikiria wazazi, kanisani na nyie walimu inatosha sana. Sitegemei kupoteza muda kumfundisha mwanangu maadili....wenzetu wako kwenye science na innovation eti nyie mnapoteza 45 minutes za mtoto kumfundisha maadili shit!
Masomo ambayo mtoto yanamsaidia ni matatu .
Hesabu
Sayansi
Lugha.
Then katika shule huwa wanakuaga na mtaala wa ziada(Extra curriculum)
Hapa katika Extra curriculum ndo tunm-develop mtoto katika kile kitu anakipenda Kama Michezo, sanaa, Computer n.k
Sasa ukiangalia Serikali na walimu unaona wana akili ndogo sana ukienda pale IST ukaangalia ufundishaji wao unaona kuwa watoto wanaandaliwa kuja kuishi katika dunia ya kweli.
Swala la maadili hii ni issue ya Culture ambayo Mtoto anafanya ana adopt kutoka katika familia yake, jamii yake n.k.
Malezi ya maadili ya mtu hayategemei culture peke yake. Culture ni moja tu ya vipengele vinavyochangia, pamoja na elimu rasmi, familia, dini, na jamii. Kwa mfano, elimu hufundisha maarifa na mantiki; familia hufundisha maadili ya msingi kama heshima na uwajibikaji; dini hufundisha maadili ya kiroho na utukufu wa tabia njema; jamii hufundisha sheria zisizoandikwa na tabia zinazokubalika kijamii.Masomo ambayo mtoto yanamsaidia ni matatu .
Hesabu
Sayansi
Lugha.
Then katika shule huwa wanakuaga na mtaala wa ziada(Extra curriculum)
Hapa katika Extra curriculum ndo tunm-develop mtoto katika kile kitu anakipenda Kama Michezo, sanaa, Computer n.k
Sasa ukiangalia Serikali na walimu unaona wana akili ndogo sana ukienda pale IST ukaangalia ufundishaji wao unaona kuwa watoto wanaandaliwa kuja kuishi katika dunia ya kweli.
Swala la maadili hii ni issue ya Culture ambayo Mtoto anafanya ana adopt kutoka katika familia yake, jamii yake n.k.
Watazame wahindi Kama akina Mohammed Dewij (MO)Malezi ya maadili ya mtu hayategemei culture peke yake. Culture ni moja tu ya vipengele vinavyochangia, pamoja na elimu rasmi, familia, dini, na jamii. Kwa mfano, elimu hufundisha maarifa na mantiki; familia hufundisha maadili ya msingi kama heshima na uwajibikaji; dini hufundisha maadili ya kiroho na utukufu wa tabia njema; jamii hufundisha sheria zisizoandikwa na tabia zinazokubalika kijamii.
Ethics hufundishwa kama msingi wa kuelewa jinsi vipengele hivi vyote vinavyounganishwa na tabia ya mtu, ikimsaidia kujua tofauti ya sahihi na batili, na kuamua vitendo vyenye maadili mema.
Hoja si tatizo la rangi au asili ya mtu, bali ni ukosefu wa malezi na maadili mema. Tabia mbaya kama uwongo, rushwa, au ubinafsi hutokana na malezi, utamaduni, na mfumo wa kijamii unaomzunguka mtu. Ili jamii iendelee vizuri, kila mtu anapaswa kupatiwa malezi bora, elimu ya maadili, na mwongozo wa kijamii unaothibitisha tabia njema.Watazame wahindi Kama akina Mohammed Dewij (MO)
Na uwatazame waswahili ambao wana umri kama wake .
Kitu ambacho unabidi kujua swala la maadili ni utamaduni .
Ndo maana Dunia nzima MTU mweusi ndo MTU muongo , mjinga ,hana maono, mzinzi , anakula rushwa .
Unafikiri tatizo ni nini ?.
a
Issue ya maadili imeandikiwa vitabu na vitabu , na wasomi wakubwa .Hoja si tatizo la rangi au asili ya mtu, bali ni ukosefu wa malezi na maadili mema. Tabia mbaya kama uwongo, rushwa, au ubinafsi hutokana na malezi, utamaduni, na mfumo wa kijamii unaomzunguka mtu. Ili jamii iendelee vizuri, kila mtu anapaswa kupatiwa malezi bora, elimu ya maadili, na mwongozo wa kijamii unaothibitisha tabia njema.
Hoja ya kukataa kufundisha maadili inakosa msingi na mashiko !Ni kweli maadili hujengeka kupitia familia, jamii, na utamaduni, lakini kufundisha maadili shuleni kuna umuhimu mkubwa. Kama Aristotle alivyosema:Issue ya maadili imeandikiwa vitabu na vitabu , na wasomi wakubwa .
Unabidi kuelewa kuwa maadili hauwezi kuyafundisha kama somo ila ni Culture ambayo MTU ana adopted kutokana katika familia yake , jamii yake n.k
Ndo maana ukienda Zanzibar unakuta maadili yapo juu je hao wazanzibar wamejufunza wapi maadili?.
Hii inamaanisha kuwa mafunzo ya maadili yanasaidia vijana kuelewa tofauti kati ya sahihi na batili, kuimarisha tabia njema, na kuandaa kizazi kinachojua uwajibikaji wa kijamii. Bila malezi haya, kizazi kinaweza kukosa dira na misingi thabiti ya tabia mema.“Tabia njema hujengeka si kwa nadharia pekee, bali kupitia mazoezi na malezi.”
Naona umeanza Ku-decline responsibility.Hoja ya kukataa kufundisha maadili inakosa msingi na mashiko !Ni kweli maadili hujengeka kupitia familia, jamii, na utamaduni, lakini kufundisha maadili shuleni kuna umuhimu mkubwa. Kama Aristotle alivyosema:
Hii inamaanisha kuwa mafunzo ya maadili yanasaidia vijana kuelewa tofauti kati ya sahihi na batili, kuimarisha tabia njema, na kuandaa kizazi kinachojua uwajibikaji wa kijamii. Bila malezi haya, kizazi kinaweza kukosa dira na misingi thabiti ya tabia mema.
Hhawawezi kukubali kwakuwa wameshaviandaa vizazi vyao kushika madaraka, kwa mantiki hiyo hawataki vije visumbuliwe na waadilifu mbele ya safariTukiyatenganisha, tunaweza kuweka mkazo mahsusi katika kuandaa wataalamu wa maadili ambao watasaidia taifa kukabiliana na changamoto za mmomonyoko wa kimaadili.