Pendekezo: Siku moja WanaJf wote tukutane mahali fulani, siku fulani, haya wote tukubaliane hapa

Pendekezo: Siku moja WanaJf wote tukutane mahali fulani, siku fulani, haya wote tukubaliane hapa

Kipekee kabisa kutoka katika sakafu ya moyo wangu, nakiri ningezichapa kavukavu na ndugu yangu Lucas mwashambwa

Watu ambao hawatokuwa na tatizo na yeyote ni raraa reree na Extrovert Hawa nadhani hata ukiwapiga kibao watakwambia enenda na amani ya Bwana mpendwa!
[emoji23][emoji23]

Bila ya shaka lazima na yeye ajipange ili asitolewe ngeu kirahisirahisi

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Jambo lisilowezekana na halitowezekana milele.
Watu wako huru kutoa siri za watu,kuvuruga michongo na kukosoa serikali kwa uhuru kisa wako jf kwa anonymous identity.
Hivi unafikiri siku watu wakajulikana kwamba fulani ndo huyu.
Nadhani huo ndio utakuwa mwisho wao.


Acha tuendelee kutojuana hivi hivi kwa usalama.
Nchi yetu sasahiv ya amani, hamnaga zile tena

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hilo haliwez kutokea why?
Kuna mapimbi humu wamejipa Sifa zisizo zao[emoji1], kuna mapimbi humu tutategemea wafike eneo la tukio wakiwa na escort ya European cars, new brands cc3000+, matokeo yake unamuona member kashushwa na daladala la nauli mia7 tena kapata siti ya kugombania.

Kuna wale wenzetu jinsia ya kike hawa wanajiona warembo wa JF kumbe kwa ground ni huruma tu kwakweli hawaendani na ID zao, hawana mvuto wala sifa mnazowajaza humu,

Kiufupi suala la kuoanana na wanaJF ni gumu sana, haswa unapofikilia kuonana na yule member aliyekutishia kukufunga sentro, wakati huo ni wewe ndie unastahili kumuonea huruma na kumlisha, bila kutusahau sisi tunaowatukana mabosi zetu humu alafu tuje tuonane live? Hapana bana tuendelee hivi hivi fake Id za vificho humu[emoji3].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mapimbi na swaga za ajabu

Ngoja tuone itavyokuwa

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Tukikutana na mwashambwa hatopona wajinga kama yule anafaa kuchinjwa ole wake tukutane SIKU HIYO
 
Huyo Mwashambwa inaonesha ana bifu na wengi[emoji23]
Naona atachangiwa

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Huyo ajitafakari, kuna watu watapigana na wengine ili wapate nafasi ya kumpiga, yani tunapigana ngumi ili tupate nafasi ya kumpiga Lucas.
 
Lengo la kukutana huko ni nini hasa?
Ukweli ni kwamba kila mtu ana lake hapa, Kuna waliozimiana hapa hiyo ndio nafasi ya kuchanana face to face, kuna wale wenye bifu kali hapa basi siku hiyo ndio itakuwa ya kuuchapa mkono yani mkono kwelikweli baada ya siku hiyo no bifu tena,
Kuna wale wenye kupendelea kubadilishana mawazo na mtu fulani hiyo pia itakuwa nafasi

Je atakuwepo pia?
 

Attachments

  • 1707287749238.png
    1707287749238.png
    71.5 KB · Views: 4
Back
Top Bottom