Mao Tanzania
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 210
- 231
Za pilika !
Nimekuwa nikifuatilia michakato ya Uchaguzi ya vyama vingi toka 1995. Mimi ni mdau wa "utulivu" yaani tuwe na jamii tulivu. Kwanini naongelea UTULIVU? . Utulivu ndo hasa kitu pekee halisi kinachoweza kuwepo katika kundi la binadamu wanao kaa/Ishi pamoja.
Kiasili hakuna usawa wa haki Kati ya binadamu au mtu na mtu. Utaona mwingine mwembamba, mwingine mnene, mwingine mwana ume, mwingine mwanamke. Mwingine mfupi, mwingine mrefu, mwingine mweupe, mwingine mweusi, mwingine Tajiri mwingine masikini, mwingine mtoto mwingine mkubwa etc.
Hivo basi migongano lazima uwepo. Sasa basi ili tusiuane, ili tusiharibiane Mali zetu, ili tuendelee kuijenga kwa maana ya anaelima shambani alimebila hofu, anaeuza bia auze masaa 24, anae sali aendelee kusali kanisani kwake au msikitini au porini bila hofu tunahitaji utulivu. Utulivu unaeleweka kuliko Amani na haki. Amani/ haki kiasili havipo. Tusivitafute, tunapoteza muda. Ila utlivu upo na inawezekana.
Maoni yangu. Tubadili katiba, tutafute ukoo mmoja tuufanye wa kifalme. Hapa tunaweza kujadili terms. Tuupe kanuni za maisha.
Halafu tuunde taasi imara Sana. Mfano, tuwe na Mkuu wa majeshi asie julikana isipokuwa wasaidizi wake tu. Tuwe na Majaji Wakuu ambao hakuna wa kuwatoa kwenye viti vyao na wasistaafu. Tuwe na taasi za sekta muhimu za uzalishaji ambazo zitakuwa na Uhuru mpana.
Muhimu Sasa tuwe na sheria kali Sana. Ukiiba Hukumu ya kifo, ukitapanya Mali ya umma/kampuni kifo.
Hii familia ya kifalme itakuwa Kiongozi Mkuu wa Nchi lakn haitakuwa na Mamlaka za uteuzi.
Tusiwe na uchaguzi wa Kitaifa, Ila tuwe na chaguzi ndogo ndogo. Mfano kila Kijiji kitoe mpiga kura mmoja na apige kura ya wazi kwa matakwa ya wanakijiji walio wengi.
Part 1. Nitakuja na Part2. Karibuni kwa mawazo.