Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
South Africa wanafanya hii kitu kitambo. HongeraMtu anayebadili pesa za Kigeni huyo si mnyonge hata kidogo, bali ana excess (nyongeza) hivyo napendekeza pawepo TOZO kila mtu anapobadili pesa za Kigeni ili kupata pesa za Kujenga na kuendeleza huduma za Jamii nchini.
NB: Maduka/Benki zihakikishe hakuna transaction bila National ID/Passport
Nani kakutuma na amekulipa ngapi??Mtu anayebadili pesa za Kigeni huyo si mnyonge hata kidogo, bali ana excess (nyongeza) hivyo napendekeza pawepo TOZO kila mtu anapobadili pesa za Kigeni ili kupata pesa za Kujenga na kuendeleza huduma za Jamii nchini.
NB: Maduka/Benki zihakikishe hakuna transaction bila National ID/Passport
OkayWazo kwa ujumla ni zuri, litasaidia kuongeza mapato.
Angalizo tu ni kwamba kiwango kisiwe kikubwa mpaka kikachangia kuua biashara ya ubadilishaji wa fedha za kigeni, na watu wakaanza kutafuta mbinu mbadala za ukwepaji.
Mtu anayebadili pesa za Kigeni huyo si mnyonge hata kidogo, bali ana excess (nyongeza) hivyo napendekeza pawepo TOZO kila mtu anapobadili pesa za Kigeni ili kupata pesa za Kujenga na kuendeleza huduma za Jamii nchini.
NB: Maduka/Benki zihakikishe hakuna transaction bila National ID/Passport
Pesa inatafutwa mpaka uvunguni....Mtu anayebadili pesa za Kigeni huyo si mnyonge hata kidogo, bali ana excess (nyongeza) hivyo napendekeza pawepo TOZO kila mtu anapobadili pesa za Kigeni ili kupata pesa za Kujenga na kuendeleza huduma za Jamii nchini.
NB: Maduka/Benki zihakikishe hakuna transaction bila National ID/Passport
South Africa wanafanya hii kitu kitambo. Hongera
Mtu anayebadili pesa za Kigeni huyo si mnyonge hata kidogo, bali ana excess (nyongeza) hivyo napendekeza pawepo TOZO kila mtu anapobadili pesa za Kigeni ili kupata pesa za Kujenga na kuendeleza huduma za Jamii nchini.
NB: Maduka/Benki zihakikishe hakuna transaction bila National ID/Passport
Mtu anayebadili pesa za Kigeni huyo si mnyonge hata kidogo, bali ana excess (nyongeza) hivyo napendekeza pawepo TOZO kila mtu anapobadili pesa za Kigeni ili kupata pesa za Kujenga na kuendeleza huduma za Jamii nchini.
NB: Maduka/Benki zihakikishe hakuna transaction bila National ID/Passport
Muhimu Sana hiliNa wale wanaoingia bungeni watoe japo laki moja kila mwezir iwe Tozo ya kusaidia nchi