Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Lazima serikali izibe mianya ya uvujaji wa mapato ya ndani. Taarifa ya cag 2020 inaeleza kwamba maafisa uhamiaji uwanja wa kia walihack system na kufuta data za viza za wageni na wakalamba karibu billion 4. Sasa watu kama hawa bado kesi inasusua sua unatafutwa ushahidi kweli.