Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
We bichwa .hiyo si ndo double taxation tuliyokataa. Pesa yangu nikishaiweka mfukoni maana yake nimeshalipia kodi wakati naivuna. Serikali ijielekeze kufanya research kwa watu wanaozalisha .unapozalisha na kupata faida lazima tax man awe benet hizi pesa za rahsi rahsi tushakataaMtu anayebadili pesa za Kigeni huyo si mnyonge hata kidogo, bali ana excess (nyongeza) hivyo napendekeza pawepo TOZO kila mtu anapobadili pesa za Kigeni ili kupata pesa za Kujenga na kuendeleza huduma za Jamii nchini.
NB: Maduka/Benki zihakikishe hakuna transaction bila National ID/Passport
Kwani mtu akibadilisha pesa kodi haikatwi?Mtu anayebadili pesa za Kigeni huyo si mnyonge hata kidogo, bali ana excess (nyongeza) hivyo napendekeza pawepo TOZO kila mtu anapobadili pesa za Kigeni ili kupata pesa za Kujenga na kuendeleza huduma za Jamii nchini.
NB: Maduka/Benki zihakikishe hakuna transaction bila National ID/Passport
Nchi ya majuha!Tanzania mtu kasoma HGL,HGE anakuwa mchumi na anaweza kuleta fact za kiuchumi na wajinga wakampongeza. Tuna safari ndefu sana nchi hii.
Ianzishwe tozo ya kusafiri kwa chombo cha moto ambapo abiria atachangia asilimia kiasi kwenye nauli atozwayo.Mtu anayebadili pesa za Kigeni huyo si mnyonge hata kidogo, bali ana excess (nyongeza) hivyo napendekeza pawepo TOZO kila mtu anapobadili pesa za Kigeni ili kupata pesa za Kujenga na kuendeleza huduma za Jamii nchini.
NB: Maduka/Benki zihakikishe hakuna transaction bila National ID/Passport
Siyo kila anayepata foreign currency ni tajiri. Kuna vijana wamejiajiri mitandaoni wanapata fedha za kigeni kiasi na mambo yanaenda. Kuna wafanyakazi kwenye sekta ya utalii wanapata some tips kwa forex.Mtu anayebadili pesa za Kigeni huyo si mnyonge hata kidogo, bali ana excess (nyongeza) hivyo napendekeza pawepo TOZO kila mtu anapobadili pesa za Kigeni