Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
- Thread starter
- #21
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hii katiba ya kijinga ambayo tunaishi kwa huruma ya Rais hata aje Putin hatofanya chochoteWala hata hatujihitaji hao wazungu waje kwetu ni kuamua tu taasisi nyeti kama Jeshi na nyinginezo, vunja Bunge, unda bunge la wasomi akisifia tu anyongwe, Tanga sheria Kali kiongozi yeyote akiwepo madarakani akivunja kanuni ale mvua ya miaka 10 na kuendelea kulingana na kosa unda mahakama yenye majaji walioenda shule na kazi hizo waziombe na kufanya mitihani futa cheo cha mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa hapo miaka Sita tu Merakani itasubiri
Kabisa yani mkuuIpo wazi kwa mifumo yetu hii Africa ni ngumu kuendelea.
Cha msingi ni Bora wananchi tuwe na makuabaliano, tununue management ya kutuongoza na kutusimamia toka nje zilizoendelea.
Kesho tu tutafika jubelee ya miaka 100 tangu Uhuru kwa matatizo Yale Yale tangu Uhuru
Wazo zuri lakini nani atayasimamia hayo.Wala hata hatujihitaji hao wazungu waje kwetu ni kuamua tu taasisi nyeti kama Jeshi na nyinginezo, vunja Bunge, unda bunge la wasomi akisifia tu anyongwe, Tanga sheria Kali kiongozi yeyote akiwepo madarakani akivunja kanuni ale mvua ya miaka 10 na kuendelea kulingana na kosa unda mahakama yenye majaji walioenda shule na kazi hizo waziombe na kufanya mitihani futa cheo cha mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa hapo miaka Sita tu Merakani itasubiri
Na mara kadhaa bunge limekuwa likishindwa kujadili mambo ya maana yaani utakuta siku nzima wanaleta azimio la kumpongeza rais.Kufanya uchaguzi, kuwa na mifumo kama bunge,ni matumizi mabaya ya kodi zetu.
Hakuna mabadiliko yeyeto hakuna mfumo unaombana mtawala kufanya kazi.Eti
Mtawala anapongezwa kwa kufanya majukumu yake,
Asante mkuu, kuna watu wanajifanya ma great thinker watajifanya wanapinga uhailisia huuNi ukweli halisi kwamba sisi waafrika kujiongoza tumeshindwa na wala sio lazima uwe na degree kulijua hili..
Hakuna bunge pale wote wale ni chaguo magufuli ni Sio chaguo la wananchi,uzuri watu washaona madhara ya ukosefu wa wapinzani bungeni, nadhani 2025 wamejifunzaNa mara kadhaa bunge limekuwa likishindwa kujadili mambo ya maana yaani utakuta siku nzima wanaleta azimio la kumpongeza rais.
Uko sahihi sana mkuu.Mara zote hua nasema bado hii nchi inahitaji kuendelea kutawaliwa au kuwekwa chini ya usimamizi ili tujifunze zaidi, mfano mdogo tuu angalia huyu kiparaza ameshindwa kufanya chochote kile cha kueleweka
Wakija hao watu wafumue kila kitu tuanze upya.Kwa hii katiba ya kijinga ambayo tunaishi kwa huruma ya Rais hata aje Putin hatofanya chochote
Kabisa bossWakija hao watu wafumue kila kitu tuanze upya.
Hoja nzito sana hii Bitozo aifanyie kaziMaendeleo hayana ubaguzi, kwakuwa ndani ya miaka zaidi ya 60 tumeshindwa kufanya mapinduzi kwenye sekta hata 1 niombe kwa heshima na taadhima tuiombe nchi ya Marekani itupatie vichwa 100 vitusaidie kutengeneza mfumo utakaoleta matokeo haraka na kutengeneza katiba mpya yenye tija.
Kwanza hao watu waje wazunguke nchi nzima waone rasilimali zilizopo kisha wakae chini waseme tukiwapa hii nchi kwa miaka 10 watatufikisha wapi, baada ya kutwambia tuwaruhusu waanze kazi.
Kwenye hivyo vichwa apatikane rais 1, waziri mkuu 1, speaker 1, mawaziri wa wizara zote, makatibu wakuu halafu sisi tujifunze toka kwao. Tuwape miaka 10 tu mtanishukuru.
In addition kipindi cha hiyo miaka 10 marekani na Tanzania tuingie makubaliano kuwa kwenda marekani itakuwa ni kama kwenda Zanzibar yaani ukiwa na kitambulisho cha NIDA tu unaenda na unaweza kufanya kazi, kusoma au kufanya biashara.
Naamini jambo hili litakuwa na tija sana na ndani ya miaka 10 kila Muafrika atatamani kuzamia Tanzania kutafuta maisha.