Pendekezo: Tuombe Nchi ya Marekani Ituletee Watu 100 kuja kuongoza Nchi yetu

Maneno yako yanasadikiana na maneno ya jemedali wa vita vya Uingereza jina Field Marshal Bernard Montgomery mwaka 1948 enzi za vuguvugu la ukombozi aliwahi tamka maneno akiwaambia wazungu wenzake waliokuwa wakipinga waafrika kujitawala " Waacheni waafrika wajitawale lakini hawatofika mbali" Leo ni miaka 60 tangu Uhuru maneno haya yameproof kweli
 
Angalia mijizi kama hii inaiba Africa pesa kuficha ulaya ndo utegemee Afrika iendelee,sisi wetu kapewa ulaji.
 
Attachments

  • VID-20230901-WA0003.mp4
    2.2 MB
  • VID-20230901-WA0002.mp4
    14.7 MB
Maendeleo hayana ubaguzi, kwakuwa ndani ya miaka zaidi ya 60 tumeshindwa kufanya mapinduzi kwenye sekta hata 1 niombe kwa heshima na taadhima tuiombe nchi ya Marekani itupatie vichwa 100 vitusaidie kutengeneza mfumo utakaoleta matokeo haraka na kutengeneza katiba mpya yenye tija.

Kwanza hao watu waje wazunguke nchi nzima waone rasilimali zilizopo kisha wakae chini waseme tukiwapa hii nchi kwa miaka 10 watatufikisha wapi, baada ya kutwambia tuwaruhusu waanze kazi.

Kwenye hivyo vichwa apatikane rais 1, waziri mkuu 1, speaker 1, mawaziri wa wizara zote, makatibu wakuu halafu sisi tujifunze toka kwao. Tuwape miaka 10 tu mtanishukuru.

In addition kipindi cha hiyo miaka 10 marekani na Tanzania tuingie makubaliano kuwa kwenda marekani itakuwa ni kama kwenda Zanzibar yaani ukiwa na kitambulisho cha NIDA tu unaenda na unaweza kufanya kazi, kusoma au kufanya biashara.

Naamini jambo hili litakuwa na tija sana na ndani ya miaka 10 kila Muafrika atatamani kuzamia Tanzania kutafuta maisha.
Kwa nini tikaombe marekani wakati DPWorld wapo?
 
K

Kwani diipiiiwooliiidiii ni wa nini😂
 
Nina wazo kama lako ila wasiwe 100 wawe wa3 tu washirikiane na rais wetu,,,wakiwa wengi rahisi sana kurudi utumwani!
 
Watu kama Trump na Biden? Wao wenyewe hawana watu[emoji2][emoji2] taasisi imara zimewabeba hebu imagine Biden awe Rais wa tz! Anakutana na washauri ndo kina Babu tale ataishia kujiua

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Maendeleo hayana ubaguzi, kwakuwa ndani ya miaka zaidi ya 60 tumeshindwa kufanya mapinduzi kwenye sekta hata 1 niombe kwa heshima na taadhima tuiombe nchi ya Marekani itupatie vichwa 100 vitusaidie kutengeneza mfumo utakaoleta matokeo haraka na kutengeneza katiba mpya yenye tija.

Kwanza hao watu waje wazunguke nchi nzima waone rasilimali zilizopo kisha wakae chini waseme tukiwapa hii nchi kwa miaka 10 watatufikisha wapi, baada ya kutwambia tuwaruhusu waanze kazi.

Kwenye hivyo vichwa apatikane rais 1, waziri mkuu 1, speaker 1, mawaziri wa wizara zote, makatibu wakuu halafu sisi tujifunze toka kwao. Tuwape miaka 10 tu mtanishukuru.

In addition kipindi cha hiyo miaka 10 marekani na Tanzania tuingie makubaliano kuwa kwenda marekani itakuwa ni kama kwenda Zanzibar yaani ukiwa na kitambulisho cha NIDA tu unaenda na unaweza kufanya kazi, kusoma au kufanya biashara.

Naamini jambo hili litakuwa na tija sana na ndani ya miaka 10 kila Muafrika atatamani kuzamia Tanzania kutafuta maisha.
Watu 100 ni wengi sana kwa wazungu, watu 20 wanatosha kabisa na itachukua miaka 5 Tanzania itakua kama Misri na zaidi.
 
Hata CCM ikitoka madarakani we still have a long way to go. Vyama vya upinzani navyo havina watu competent pia kumbuka muafrika akionjeshwa madaraka anabadilika.

Mtoa mada ana wazo zuri, ukiangalia mfumo wa uongozi, imani, malezi katika miaka ya karibuni, elimu n.k tunawaangalia wazungu kama kioo au muongozo sasa kuliko kumuweka madarakani muafrika ili amgeze mzungu kwanini tusimuwekee madarakani mzungu mwenyewe tu.
ccm ikitoka madarakani, amini usiamini nusu nzima ya cream ya ccm wataamia chama kilichoshinda ili wakapate ajira.
 
Back
Top Bottom