Pendekezo: Tuombe Nchi ya Marekani Ituletee Watu 100 kuja kuongoza Nchi yetu

Kwa hii katiba ya kijinga ambayo tunaishi kwa huruma ya Rais hata aje Putin hatofanya chochote
 
So unataka kusema Tanzania iwe ni Jimbo la 53 la USA.
Kama ilivyo Mayotte ni Jimbo la Ufaransa ndani ya Africa kwa exchange ya raslimali.
Inawezekana ni hadi 90% ya watz wapige kura kuunga hili
 
Ipo wazi kwa mifumo yetu hii Africa ni ngumu kuendelea.
Cha msingi ni Bora wananchi tuwe na makuabaliano, tununue management ya kutuongoza na kutusimamia toka nje zilizoendelea.
Kesho tu tutafika jubelee ya miaka 100 tangu Uhuru kwa matatizo Yale Yale tangu Uhuru
 
Kabisa yani mkuu
 
Wazo zuri lakini nani atayasimamia hayo.
Kumbuka sheria na maadili yetu si kitu mbele ya pesa.
Kama mama mzazi yupo tayari kuuza nyumba na shamba la urithi bila kujali kesho ya watoto nani atasimamia hayo.
 
Kufanya uchaguzi, kuwa na mifumo kama bunge,ni matumizi mabaya ya kodi zetu.
Hakuna mabadiliko yeyeto hakuna mfumo unaombana mtawala kufanya kazi.Eti
Mtawala anapongezwa kwa kufanya majukumu yake,
 
Waarabu hawana tofaut sana na waafrika hata Tabia za uswahili wao ndio chanzo.
Walijua hawawezi kumanage raslimali zao walichofanya wamewaachia wazungu ndio wawafanyie kazi zao ikiwemo kusimamia uchumi.
Thus wao wameendelea wakiwa na raslimali chache kuliko sisi.
Nasi pia tutafute management ya kutusimamia nguzo zetu za uchumi wakiwa kama waendeshaji na Sio wamiliki hata Kama watalipwa mishahara mikubwa.
Zipo taasisi na makampuni ya kimataifa yanafanya kazi hizo.
Na sio kutegemea wawekezaji.
Mwekezaji ni mwizi tu Bora ya hata mkoloni kuliko mwekezaji.
Bora mkoloni kuliko mwekezaji.
 
Kufanya uchaguzi, kuwa na mifumo kama bunge,ni matumizi mabaya ya kodi zetu.
Hakuna mabadiliko yeyeto hakuna mfumo unaombana mtawala kufanya kazi.Eti
Mtawala anapongezwa kwa kufanya majukumu yake,
Na mara kadhaa bunge limekuwa likishindwa kujadili mambo ya maana yaani utakuta siku nzima wanaleta azimio la kumpongeza rais.
 
Ni ukweli halisi kwamba sisi waafrika kujiongoza tumeshindwa na wala sio lazima uwe na degree kulijua hili..
 
Ni ukweli halisi kwamba sisi waafrika kujiongoza tumeshindwa na wala sio lazima uwe na degree kulijua hili..
Asante mkuu, kuna watu wanajifanya ma great thinker watajifanya wanapinga uhailisia huu
 
Na mara kadhaa bunge limekuwa likishindwa kujadili mambo ya maana yaani utakuta siku nzima wanaleta azimio la kumpongeza rais.
Hakuna bunge pale wote wale ni chaguo magufuli ni Sio chaguo la wananchi,uzuri watu washaona madhara ya ukosefu wa wapinzani bungeni, nadhani 2025 wamejifunza
 
Mara zote hua nasema bado hii nchi inahitaji kuendelea kutawaliwa au kuwekwa chini ya usimamizi ili tujifunze zaidi, mfano mdogo tuu angalia huyu kiparaza ameshindwa kufanya chochote kile cha kueleweka
 
Uko sahihi sana mkuu.
 
Unaifanya nchi kua subject wa nchi nyingine.

Hii nchi ni sovereignty haihitaji drama unazoziwaza kichwani.
 
Hoja nzito sana hii Bitozo aifanyie kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…