Pendekezo: Tuombe Nchi ya Marekani Ituletee Watu 100 kuja kuongoza Nchi yetu

Maneno yako yanasadikiana na maneno ya jemedali wa vita vya Uingereza jina Field Marshal Bernard Montgomery mwaka 1948 enzi za vuguvugu la ukombozi aliwahi tamka maneno akiwaambia wazungu wenzake waliokuwa wakipinga waafrika kujitawala " Waacheni waafrika wajitawale lakini hawatofika mbali" Leo ni miaka 60 tangu Uhuru maneno haya yameproof kweli
 
Angalia mijizi kama hii inaiba Africa pesa kuficha ulaya ndo utegemee Afrika iendelee,sisi wetu kapewa ulaji.
 

Attachments

  • VID-20230901-WA0003.mp4
    2.2 MB
  • VID-20230901-WA0002.mp4
    14.7 MB
Kwa nini tikaombe marekani wakati DPWorld wapo?
 
K
Kwani diipiiiwooliiidiii ni wa nini😂
 
Nina wazo kama lako ila wasiwe 100 wawe wa3 tu washirikiane na rais wetu,,,wakiwa wengi rahisi sana kurudi utumwani!
 
Watu kama Trump na Biden? Wao wenyewe hawana watu[emoji2][emoji2] taasisi imara zimewabeba hebu imagine Biden awe Rais wa tz! Anakutana na washauri ndo kina Babu tale ataishia kujiua

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Watu 100 ni wengi sana kwa wazungu, watu 20 wanatosha kabisa na itachukua miaka 5 Tanzania itakua kama Misri na zaidi.
 
ccm ikitoka madarakani, amini usiamini nusu nzima ya cream ya ccm wataamia chama kilichoshinda ili wakapate ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…