kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
mkuu mbegu za strawberry unapata wapi maana me npo iringa nazitafuta mno madukani huku hazipoohoo hapo sawa kumbe una ujuzi me too nazilima plus strawberries,,hasahasa strawberry..sasa hv bei mby arghhh (nyanya)
mkuu mbegu za strawberry unapata wapi maana me npo iringa nazitafuta mno madukani huku hazipo
Bila shaka weee unalelewa na Shemeji yakoCio umoja wa wanaume wa dar
nashukuru hivi mche mmoja unanua sh ngapi? unanunuli wapihuwez kuzikuta madukan mkuu ,they say mbegu km mbegu had kenya nau uganda ukisia zinaota baada ya miaka mi3,so tzee ni miche tu mnauziana
wakuu mpo?
Nyanya ni pasua kichwa , ukiipatia inakutoa ila ikizingua inazingua kweli kweli kwanini usijaribu Hoho au Nyanya chungu ?Nnaeneo la zaidi ya hekari 1 lenye rtuba na udongo mzuri sana, lko karibu na mto unatumia mpira mita 50 tu nanina mashine ya kumwagilia niko Mpwapwa,mcmu huu wakiangaz nlilima mahindi.kwasasa ningependa kulima nyanya msimu huu wa masika ila mtaji wangu hautoshi kwa ambae atapenda tushirikiane anakarbswa
Nikwel boss nyanya kweli nichangamoto na nilijaribu kulima msimu wa mvua mwaka jana ila matokeo hayakua mazuri sana kwan niligundua ckuwa na bajeti ya kutosha,hata hivyo wazo juu ya hoho ama nyanya chungu nalo nalipokea ila ningependa unijuze zaidi juu ya soko lakeNyanya ni pasua kichwa , ukiipatia inakutoa ila ikizingua inazingua kweli kweli kwanini usijaribu Hoho au Nyanya chungu ?
Jirani yako hakuna watu wanaoweza kukodisha mashamba.Nnaeneo la zaidi ya hekari 1 lenye rtuba na udongo mzuri sana, lko karibu na mto unatumia mpira mita 50 tu nanina mashine ya kumwagilia niko Mpwapwa,mcmu huu wakiangaz nlilima mahindi.kwasasa ningependa kulima nyanya msimu huu wa masika ila mtaji wangu hautoshi kwa ambae atapenda tushirikiane anakarbswa
Masoko yapo tatizo ni kuwa na consistency ya kusaplyWazo zuri sana ila mm niko kwenye kilimo mwaka wa 2 huu na ninaweza kusema nnauzoefu angalau,ninachokiona hapo ni kuhusu changamoto za masoko baada ya kulima ikiwa kama huo umoja wetu unaweza kutatua tatizo la masoko itakuwa vyema sana.
Nb.ninaposema masoko na maanisha kuwa na masoko ya uhakika na bei ikawa nzuri.