Pendekezo: Tuunde umoja wa wakulima humu JamiiForums

ohoo hapo sawa kumbe una ujuzi me too nazilima plus strawberries,,hasahasa strawberry..sasa hv bei mby arghhh (nyanya)
mkuu mbegu za strawberry unapata wapi maana me npo iringa nazitafuta mno madukani huku hazipo
 
huwez kuzikuta madukan mkuu ,they say mbegu km mbegu had kenya nau uganda ukisia zinaota baada ya miaka mi3,so tzee ni miche tu mnauziana
 
Msipange kula mbegu nyie viumbe.
 
Idea hizi zisha wahi kutolewa sana tafuteni uzi ziko humu hadi SACCOS iliundwa na baadae ikafa,
Haya mambo yalisha jaribiwa sana ila commitment hakuna.
 
huwez kuzikuta madukan mkuu ,they say mbegu km mbegu had kenya nau uganda ukisia zinaota baada ya miaka mi3,so tzee ni miche tu mnauziana
nashukuru hivi mche mmoja unanua sh ngapi? unanunuli wapi
 
Wazo zuri sana ila mm niko kwenye kilimo mwaka wa 2 huu na ninaweza kusema nnauzoefu angalau,ninachokiona hapo ni kuhusu changamoto za masoko baada ya kulima ikiwa kama huo umoja wetu unaweza kutatua tatizo la masoko itakuwa vyema sana.
Nb.ninaposema masoko na maanisha kuwa na masoko ya uhakika na bei ikawa nzuri.
 
Nnaeneo la zaidi ya hekari 1 lenye rtuba na udongo mzuri sana, lko karibu na mto unatumia mpira mita 50 tu nanina mashine ya kumwagilia niko Mpwapwa,mcmu huu wakiangaz nlilima mahindi.kwasasa ningependa kulima nyanya msimu huu wa masika ila mtaji wangu hautoshi kwa ambae atapenda tushirikiane anakarbswa
 
Nyanya ni pasua kichwa , ukiipatia inakutoa ila ikizingua inazingua kweli kweli kwanini usijaribu Hoho au Nyanya chungu ?
 
Nikwel boss nyanya kweli nichangamoto na nilijaribu kulima msimu wa mvua mwaka jana ila matokeo hayakua mazuri sana kwan niligundua ckuwa na bajeti ya kutosha,hata hivyo wazo juu ya hoho ama nyanya chungu nalo nalipokea ila ningependa unijuze zaidi juu ya soko lake
 
WAZO ZURI SANA ILA TATIZO LINAKUJA KWENYE UWEZO AMA KIPATO CHA MTU TUNAZIDIANA
 
Nnaeneo la zaidi ya hekari 1 lenye rtuba na udongo mzuri sana, lko karibu na mto unatumia mpira mita 50 tu nanina mashine ya kumwagilia niko Mpwapwa,mcmu huu wakiangaz nlilima mahindi.kwasasa ningependa kulima nyanya msimu huu wa masika ila mtaji wangu hautoshi kwa ambae atapenda tushirikiane anakarbswa
Jirani yako hakuna watu wanaoweza kukodisha mashamba.

Mpwapwa Uko sehemu gani?
 
Wazo zuri sana ila mm niko kwenye kilimo mwaka wa 2 huu na ninaweza kusema nnauzoefu angalau,ninachokiona hapo ni kuhusu changamoto za masoko baada ya kulima ikiwa kama huo umoja wetu unaweza kutatua tatizo la masoko itakuwa vyema sana.
Nb.ninaposema masoko na maanisha kuwa na masoko ya uhakika na bei ikawa nzuri.
Masoko yapo tatizo ni kuwa na consistency ya kusaply
 
Epukeni kilimo cha mtandaoni, kama una courage ya kulima nenda field mwenyewe, the rest utakuja kulia.
 
Mashamba yapo mkuu,mm niko shehemu moja wanapaita Tambi,n nje kidogo na Mpwapwa mjini
 
Back
Top Bottom