Pendekezo: Umri wa Mwanamke kuolewa uwe ni miaka 22, chini ya hapo ihesabika kama ubakaji

Pendekezo: Umri wa Mwanamke kuolewa uwe ni miaka 22, chini ya hapo ihesabika kama ubakaji

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,956
Reaction score
47,046
Kila mtu apate nafasi ya kusoma hadi chuo kikuu, iwe haki ya muhimu kama ilivyo elimu ya msingi, hivyo napendekeza umri wa kuolewa mwanamke upandishwe hadi miaka 22, na chini ya hapo ihesabika kama ubakaji na ukikutwa na hatia unapigwa miaka 30.
 
Hapana aolewe akiwa ana miaka 26 maana yangu akimaliza chuo walau afanye biashara au aajiriwe means aingie ndoani akiwa ana kitu! awe anajitegemea hii ya kuolewa siku ya graduation hapana!
Maoni yangu!
 
Kila mtu apate nafasi ya kusoma hadi chio kikuu, iwe haki ya muhimu kama ilivyo elimu ya msingi, hivyo napendekeza umri wa kuolewa mwanamke upandishwe hadi miaka 22, na chini ya hapo ihesabika kama ubakaji na ukikutwa na hatia unapigwa 30yrs.
Nani kakwambia kuwa wote wanafika chuo kikuu
Pia mabinti wanakuwa kwa haraka sana na wanaweza kufanya mambo makubwa kwa umri mdogo kuzidi wanameume hivyo acha wabinti waolewe tu.
 
Nani kakwambia kuwa wote wanafika chuo kikuu
Pia mabinti wanakuwa kwa haraka sana na wanaweza kufanya mambo makubwa kwa umri mdogo kuzidi wanameume hivyo acha wabinti waolewe tu.
Ngoja wamtindue binti yako wiki chache kabla hajaingia chuo ndio utaelewa
 
Hapana...aolewe akiwa ana miaka 26 !maana yangu akimaliza chuo walau afanye biashara au aajiriwe !means aingie ndoani akiwa ana kitu!awe anajitegemea!hii ya kuolewa siku ya graduation hapana!
Maoni yangu!
Huyo atakuwa bibi sasa, ujue wadada wanawahi kuzeeka kwasababu ya kwenda leba wakati wakupata mtoto/ watoto.
 
Demu akitaka kuolewa aolewe as long as amevunja ungo..sio wote wanaenda chuo
 
Binti wa miaka 12 tayar maziwa yanaanza kulala sasa huyo wa 22 si mmama kabisa
 
Nakubali sema umepunguza kidogo, at least miaka 30 ndio mtu anakuwa safi kwa kuolewa.

Chini ya thelathini papuchi zao sio tamu kihivyo(joking).

Hahhaaa ww unakosea...mwanamke akishazaa😜😜 milango ya ufahamu inafunguka sasa🤐! Na anakuta ameshapevuka vzr!22 hapana kbs!
 
Ndio uzinzi unazidi kuongezeka maana mnawafanya watu waishi mda mrefu baada ya balehe bila ndoa. Miaka yetu tulioa wadada wa 16-18 ndio maana hakukuwa na kuchiti kivilee. Leo mdada yupo 32 hajaolewa lazima bakora zitembezwe kinyama kabla hajajikomiti, mwisho wa siku tunaoa wake za watu tu.
 
Kila mtu apate nafasi ya kusoma hadi chio kikuu, iwe haki ya muhimu kama ilivyo elimu ya msingi, hivyo napendekeza umri wa kuolewa mwanamke upandishwe hadi miaka 22, na chini ya hapo ihesabika kama ubakaji na ukikutwa na hatia unapigwa 30yrs.
Mkuu tafiti zinasema Binti anafikia katika ubora(peak) ya uzuri at the age of 22.....Napendekeza umri huo ni sahihi.
 
Back
Top Bottom