FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Hapana, waolewe na miaka 68, itakuwa safi sana. Chini ya umri huo wahusika wacharazwe bakora, hamsa wa ishirini.
Nani kakwambia kuwa wote wanafika chuo kikuuKila mtu apate nafasi ya kusoma hadi chio kikuu, iwe haki ya muhimu kama ilivyo elimu ya msingi, hivyo napendekeza umri wa kuolewa mwanamke upandishwe hadi miaka 22, na chini ya hapo ihesabika kama ubakaji na ukikutwa na hatia unapigwa 30yrs.
Ngoja wamtindue binti yako wiki chache kabla hajaingia chuo ndio utaelewaNani kakwambia kuwa wote wanafika chuo kikuu
Pia mabinti wanakuwa kwa haraka sana na wanaweza kufanya mambo makubwa kwa umri mdogo kuzidi wanameume hivyo acha wabinti waolewe tu.
kwani wakimtindua wanaondoka nacho??Ngoja wamtindue binti yako wiki chache kabla hajaingia chuo ndio utaelewa
Huyo atakuwa bibi sasa, ujue wadada wanawahi kuzeeka kwasababu ya kwenda leba wakati wakupata mtoto/ watoto.Hapana...aolewe akiwa ana miaka 26 !maana yangu akimaliza chuo walau afanye biashara au aajiriwe !means aingie ndoani akiwa ana kitu!awe anajitegemea!hii ya kuolewa siku ya graduation hapana!
Maoni yangu!
Huyo atakuwa bibi sasa, ujue wadada wanawahi kuzeeka kwasababu ya kwenda leba wakati wakupata mtoto/ watoto.
Hoja au kihoja?Nimetoa hoja yenye kuitaji jibu la kuunga mkono au kupinga
Nakubali sema umepunguza kidogo, at least miaka 30 ndio mtu anakuwa safi kwa kuolewa.
Chini ya thelathini papuchi zao sio tamu kihivyo(joking).
Mkuu tafiti zinasema Binti anafikia katika ubora(peak) ya uzuri at the age of 22.....Napendekeza umri huo ni sahihi.Kila mtu apate nafasi ya kusoma hadi chio kikuu, iwe haki ya muhimu kama ilivyo elimu ya msingi, hivyo napendekeza umri wa kuolewa mwanamke upandishwe hadi miaka 22, na chini ya hapo ihesabika kama ubakaji na ukikutwa na hatia unapigwa 30yrs.
ππππππππππππππππ Utamu unapungua kadri umri unavyokwenda, kitu kitamu ni kile kinachobana,Unazeekaje hujazaa sasa na ww