Pendekezo: Waliobuni, kujenga na kusimamia mradi wa mwendokasi jangwani wakamatwe haraka na kushtakiwa kwa kuhujumu uchumi!

Pendekezo: Waliobuni, kujenga na kusimamia mradi wa mwendokasi jangwani wakamatwe haraka na kushtakiwa kwa kuhujumu uchumi!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Inaniuma sana kuona mimi raia wa kawaida kabisa nisiye na taaluma yoyote ya mambo ya ujenzi ninaweza kufikiri hatari ya kujenga pale jangwani kwani inajulikana kabisa kuwa ule ni mkondo wa maji iweje watu waliosomeshwa na kuishi kwa kodi zetu wakaaminiwa kama wataalamu na viongozi wetu wakajenga mradi ulioliigiza taifa kwenye hasara ya mabilioni ya pesa!?

Kila nikipita pale jangwani moyo unaniuma sana ninaomba serikali iwakamate hao watu ikibidi mali zao zitaifishwe kufidia hasara ambayo kama nchi tumeingia ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Weka PICHA na Video ili tuchangie vizuri sisi wa huku Ilamata
 
Back
Top Bottom