Pendekezo: Wananchi wachague Wabunge, Madiwani ila Rais achaguliwe na Bunge

Pendekezo: Wananchi wachague Wabunge, Madiwani ila Rais achaguliwe na Bunge

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Nimewaza na kuona bora Rais awe anachaguliwa na bunge kwa sababu wabunge wanajuana zaidi na hakutakuwa na malalamiko wala hofu ya amani kuvunjika.

Hapo ndio majimboni kutakuwa na siasa ya kukata na shoka,hii ni kwa sababu nawaonea huruma wagombea urais wanafanya kazi kubwa kuzunguka nchi nzima na pesa nyingi zinatumika.
 
Ili iweje? nadhani CCM itaendelea kuwa na wingi wa wabunge? Una akili finyu sana
 
Ili iweje? nadhani CCM itaendelea kuwa na wingi wa wabunge? Una akili finyu sana
Sababu hakutakuwa na ukata wa fedha kwa baadhi ya vyama ktk kuendesha kampeni na kivumbi kitakuwa kwenye majimbo,
 
Mambo ya wasomali tuwaachie

Sisi tuna kila sababu ya kumchagua Rais kwa mikono na mioyo yetu wenyewe.
 
Back
Top Bottom