Pendekezo: Watumishi wa umma tukatwe mishahara walau asilimia 2 pesa ikasaidie Serikali kupambana na Corona

Serikali yenyewe imemkwida mtumishi kwa makato meengi; tax 30% and plus, 5% psssf, 3% NHIF, 15%HESLB= 53% makato yoote kilichobaki 47% hata kula haitoshi.

Hapo from 2015 up 2020 no any increament. Hayo makato ya corona yatamfanya mtumishi afe kabla corona haijamfikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshahara ukatwe wa nn ! Wakati Kodi wanakatwa tayari ?
 
Nakumbuka kuna section kwenye employment standards ya ELRA -kama sikosei S.28 inakataza deduction of any kind unless under written law na mfanyakazi akikubali inabidi a provide express agreement

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona itamfata mtumishi wa umma kabrini akiwa tayari kafariki kwa hayo makato
Kuwa mzalendo Kwa nchi yako. Nchi ni yetu lazima tuipende.

NB. Unapoenda kununua kitu dukani omba risiti.
 
Fungu la majanga linafanya kazi gani
 
Aiseee kweli wewe una mawazo ya TANU, leo hii 2020 unakuwa na mawazo ya TANU iliyo kufa miaka ya 1970+.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa walimu wabadilishe mrija wa cwt iende wizara ya afya. Korona ikiisha pesa hiyo iende hukohuko iungwe kweny NIHF ..cwt MH Rais JPM huoni chama hiki ni wala jasho la wwnzao tuu?? Tumia mamlaka yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…