Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa wazo zuri. Naamini mamlaka husika zitarifanyia kazi. Tunayo serikali makini ya JPM.Kwa walimu wabadilishe mrija wa cwt iende wizara ya afya. Korona ikiisha pesa hiyo iende hukohuko iungwe kweny NIHF ..cwt MH Rais JPM huoni chama hiki ni wala jasho la wwnzao tuu?? Tumia mamlaka yako
nilitaka ni mjibu kihuni ila nimeamua kukaa kimyaNo salary increment, no new salary toka mwaka 2015 halafu unazungumzia kukatwa mishahara?
Mleta mada huna common sense kabisa
DuuuhKwanza niseme wazo kuwa mimi ni muumini wa ahadi za MwanaTANU. Ambapo msisitizo ni uzalendo kwa nchi.
Nikiwa Mtumishi wa umma huku nikiiona changamoto ya kupambana na covid-19 napendekeza serikali itukate watumishi wa umma wote walau asilimia mbili za mishahara yetu na pesa iende kusaidia mapambano dhidi ya corona. Katika hilo naomba tutangulize uzalendo. Nchi ni yetu na matatizo ni yetu.
Hata hivyo natoa wito kwa watanzania wenzangu wote tukumbuke kuomba risiti tutakaponunua bidhaa madukani jambo ambalo litasaidia kuimalisha uchumi wetu.