Pendezesha mazingira ya nje kwa kufunga Taa Hizi za Solar

Joined
Jun 25, 2022
Posts
28
Reaction score
27
Taa za Solar za kufunga ukutani, Tsh 35000.
zinawaka automatic jioni na kuzima asubuhi.unachagua mwanga unaopenda.
tupo kariakoo dsm.
0747591578.call/whatsapp
 
Ni nzuri, mna zile zinakiwa na chuma ndefu unasukumia ardhini kwenye garden, zinakuwa juu kama ft 1 toka ardhini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…