Pengine leo tutashuhudia fainali mbovu ya UCL kuliko zote katika historia ya michuano hiyo

Intermilan walishabeba uefa Man City bado Sana....usikariri kijana unaweza usiamini kitakachotokea niliombea City amtoe Real na Sasa Napendelea Inter waongeze ndoo ya uefa kwenye kabati lao.
 
Hayo ni mambo ya zamani tunazungumza hali halisi ya sasa
 
.
IMG-20230610-WA0048.jpg
 
Mimi siangalii yaani sina mzuka wa hii mechi kabisa nipo ghetto nachati .
 
Back
Top Bottom