Pengine Umeshalishwa....

Pengine Umeshalishwa....

...wengi humu mnajitia kinyaa, inachefua nk...hivi mnajua ma hausigeli wenu wanawawekea nini kwenye vyakula? au mnajiramba tu mkikuta mlenda kwenye mboga?

...hasa nyie mnaojidai kula mahanjumati ilhali mnawatenga ma-hausigeli wajipikie ugali tena wale huko huko jikoni?, mnataka cctv majumbani kwenu muone 'siri ya urembo?' ...
 
ndio maana mie najipikia mwenyewe au kula kwa mama lishe, sababu pale huwa huwa naona live kuanzia jikoni hadi mezani, ila vibaya tunakula vingi sana!
 
...wengi humu mnajitia kinyaa, inachefua nk...hivi mnajua ma hausigeli wenu wanawawekea nini kwenye vyakula? au mnajiramba tu mkikuta mlenda kwenye mboga?

...hasa nyie mnaojidai kula mahanjumati ilhali mnawatenga ma-hausigeli wajipikie ugali tena wale huko huko jikoni?, mnataka cctv majumbani kwenu muone 'siri ya urembo?' ...

pia naamini kuwa damu iliyochemka haina madhara sababu inakuwa kama blood pudding!
 
Hiyo lazima tuwagaie at the end of the day kama unapenda ngono nzembe unakufa. Mungu apishie mbali kweli siwezi kama sipendwi sipendwi tu.
 
...wengi humu mnajitia kinyaa, inachefua nk...hivi mnajua ma hausigeli wenu wanawawekea nini kwenye vyakula? au mnajiramba tu mkikuta mlenda kwenye mboga?

...hasa nyie mnaojidai kula mahanjumati ilhali mnawatenga ma-hausigeli wajipikie ugali tena wale huko huko jikoni?, mnataka cctv majumbani kwenu muone 'siri ya urembo?' ...

Mzee Mbu umenikumbusha..kipindi kile nipo boarding skul kuna mdau mmoja alikuwa anaipenda sana hii kauli mbiu ya

Maji safi na salama ni yale unayoyachemsha mwenyewe​

Naanza kuiona mantiki yake hii kauli mbiu..
 
Kuna story moja nilisikia similar to this, kuwa mwanadada anaweka kipande cha nyama kwenye naniliiu kwa siku moja au mbili akiitoa uko anachanganya na vipande vingine mwanaume ukila hiyo ndio ngoma inakuwa imetoka aka Limbwata.

Ila mwanamke/mwanaume anayetumia dawa ili uwe naye huyo hakufai na hafaia kuwa kwenye jamii.(IMO)
 
Hayo mambo ya kuweka vipande vya nyama kwenye vagina ndio sababu ya mtu kupata ma-fungus na mi-bacteria infection.....yuuuuck...ogopa sana wanawake wenye mambo ya kishirikina
 
Mademu wa Yo Yo wa Kinyerezi hao(joking). Ni kweli mtu anayeingiza ushirikina kwenye mapenzi huyo ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom