Pengine Unamsikia tu Shetani Juu juu. Humfahamu Vizuri na Unasema ni Adui Yako

Sawa sawa ,hata mm naona yuko tofauti
 
Namimi niongezee hili.

Huyo mnaemuita shetan makanisan na misikitin sie yeye bali ni vijiwafuasi vyake vya cheo cha chini kabisa kutoka ktk Ngazi ama vyeo vya kinguvu, yaan kama shetan kakalia ngazi Kiti nambari 100 juu basi hawa tunaowakemea na kupambana nao wapo ktk ngazi ama nambari 1, 2 mpaka 10 hiivi tukienda sana 12, hatufiki hata nusu ya kumgusa shetan mwenyewe.

Hakuna dini wala dhehebu linaloweza kumshinda shetan(maana kiuhalisia hata dini ziko chini yake kisiri), kama alishindikana mbinguni kwenye majeshi ya nguvu, dunian huku kwenye viumbe dhaifu na imani za mchongo mnadhani mtaweza kumshinda?.

Msidanganywe na hayo mafundisho yenu ya uongo na maombi ya kipumbavu kama walokole et mnamfunga shetan na kumkanyaga(michezo ya kitoto hiyo) kama shetan akiamua leo hii kuwashughulikia wanadamu yeye kama yeye nina imani chamoto tutakipata na adabu tutaishika.

Kwa level zetu na kizazi chetu hiki chenye unajisi leo hii hakuna mwanadamu wa kumshinda shetan kupitia hizi imani za kidini au huu uongo tunaolishwa makanisan na misikitini,

Shetan huwezi kumshinda kwa maombi, huwezi kumshinda kwa kufunga siku40 wala kutenda mema isipokuwa kwa njia fulani fulan walizotumia babu zetu kabla ya ujio wa dini.

Kuweni na adabu nikazie tena, yule mnaesema ni shetan mnamkemea kwa maombi sio yeye bali ni vibaraka wake wa cheo kidogo ambao kwa level zetu za kiroho ndio tunaoweza kupambana nao ingawa bado wanatushinda, ila shetan na , jopo lake bado hatumuwezi na hamna binadamu wa kumshinda ndiomaana hana time ya kuja kupambana na yeyote dunian kwakuwa haoni level ya kutwangana nae.

Mujue kuwa mambo ya kiroho ni kama mapigano ya ulingoni, huwezi kumpiganisha mtu mwenye uwezo mkubwa na yule mnyonge hiyo kisheria haikubaliki na hata kiroho iko hivyo mashetan bado hatuna uwezo wa kupigana nao, level zetu ni vibwengo na vijidudu vya aina hiyo.

Huu ndio ukweli ambao hao wafia dini na matapeli wanaojiita manabii na mitume hawawezi kukuambia.

Shetan angekuwa anapigana nasisi direct yeye mwenyewe basi magonjwa yasingekuwepo maana tunamshinda, mikosi na mabalaa yasingekuwepo, vita+njaa, chuki, ushoga na matendo ya hovyo visingekuwepo maana shetan tunamdunda makanisan kila jumapili na ijumaa ktk Sala na maombi.

Tuamke mambo ya kiroho yanakwenda kwa sheria na sio hisia wala ujuaji.
 
Huo wote ni uongo, hakuna shetani na automatically kumkataa shetani unamkataa Mungu. Hizo zote ni hekaya za wahuni wachache ambao wanatupumbaza ili tuendelee kuwa wajinga wajipatie mpunga.

Haiwezekani shetani anakujaribu wewe mkristu na muislam ila mchina, mjapani, mmangati, mhindi n.k shetani anawaogopa kuwajaribu.

Hapa duniani binadamu ndiyo kila kitu, yeye anaumba na kuharibu vilevile. Binadamu anaweza kuwa Mungu au shetani vilevile.
 
Ahsante Sana ndugu
 
Naam
 
Tatizo mbabe wa Shetani hakuna.
Embu angalia Dunia kwa jicho la pembe tatu halafu tazama kipi kinachotawala
 
Karibu, wengi hawajui kwann kuna misemo duniani wakisema Mungu ni mwanamke na paka nyimbo wakaimba na dhana ya 50/50 hiyo yote ni kumtukuza huyo Malkia wa mbinguni ambaye hakuna mtakatifu aliyewahi kumvuka.
unamaana gani kuwa "hakuna mtakatifu aliyewahi kumvuka"? Na vipi kuhusu huyu anaye itwa malkia wa anga,ni nani? Karibu!!
 
kuweni makini na mnayokutana nayo humu JF kuna topic nyingine ni kama zinaletwa makusudi kuyumbisha iman za watu
 
Hakuna aliyewahi kufundisha kwa uwazi namna hii.

Nimeluwa nawa,a siku zote kuhusu shetani ambaye watu wengi wanajidanganya kuwa wanamfahamu lakini kumbe hawajui wana deal na kiumbe gani.

Yohana 17:15
Mimi siombi kwamba uwatoe katika ulimwengu; bali uwalinde na yule mwovu.
 
Hahahaha kwamba Mungu ndo akaamua Kijana Ayubu apate shuruba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…