Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Au we umeelewaje mwenzangu??Hahahaha kwamba Mungu ndo akaamua Kijana Ayubu apate shuruba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au we umeelewaje mwenzangu??Hahahaha kwamba Mungu ndo akaamua Kijana Ayubu apate shuruba
Hii pia ni stories za kidini ukisema kwamba Yesu alishuka kuzimu kuchukua funguo au za mamlaka hakuna hichi kitu kwenye Bibilia yako tafuta utakuja kujua kuna vitu nimapokeo tu na Mungu atupe macho kiviona maan vinatengeza imani siyo na kuondo ile kweli ya Kristo.Hahahahaaha . Natambua Yesu alishuka kuzimu kuchukua funguo za mauti na kuzima.
Code hatari saana ila ipo wazi saana,
Ndugu yangu nilipoanza kupata hofu kwenye maisha yangu nilipopata ufahamu kwenye kisa cha Ayubu....
Kili nifanye nijawe na hofu kila nikikisoma kile kisa wakati mwingine hadi machozi, unajua kwann??
Nilijiuliza mtu ka Ayubu aliyemkamilifu aliweza kupitia MATESO MATESO MATESO NA MAGUMU MAGUMU MAGUMU NA MAUMIVU KIASI KILE kisa tuu ni kwa ajili ya mahojiano ya Mungu na shetani, tena Mungu ndo anamshtu shetani maana shetani hakua hata na habari na Ayubu...
Mungu akaruhusu yote hayo!!!!!!! Mi nabaki speechless namuomba aniongoze mwenyewe nguvu zishaniishia sijiwezi kabisaaaa.... na napitia magumu saana kwaajili ya hili.
We jamaaa kama kitu hujui usipinge. Huyo mwamba mleta mada hapo juu kaongea vitu vya msingi sana. sasa wewe unakuja na uelewa wako wa kuku mwenye kideri, unaanza kupinga.Kwa hilo andiko lako umepotosha japo sijasoma lote nimeishia pale uliposema eti shetani alikuwa kama "waziri mkuu kwenye serikali ya Mbinguni"
Mnamuongezea sifa za kijinga na kumpamba bila sababu. Hakuna sehemu kwenye Biblia inasema kuwa shetani alikuwa nani au "kiongozi wa malaika kama wengi wanavyoamini na kufundisha" hata kama sijasoma andiko lako lote naamini kwa sentensi hiyo hapo juu unamaanisha hivyo. Yeye alikuwa kerubi kama makerubi wengine mkuu na kusema ana mamlaka ndio maana alikaa na kupiga story na Yesu kule jangwani kwa simu 40 pia ni uongo. Biblia inaeleza Yesu alifunga siku 40 jangwani na aliposikia njaa yaani siku ya mwisho ndipo Ibilisi alikuja kumjaribu pitia chakula na sio kama alikuwa anapiga naye story hizo siku 40.
Infact, nje ya mada yako. Je unamjua mzee Sweya Makungu Mstaafu mmoja hivi kule Iringa?
jamaa sijui anapinga niniWe jamaaa kama kitu hujui usipinge. Huyo mwamba mleta mada hapo juu kaongea vitu vya msingi sana. sasa wewe unakuja na uelewa wako wa kuku mwenye kideri, unaanza kupinga.
Kwa hilo andiko lako umepotosha japo sijasoma lote nimeishia pale uliposema eti shetani alikuwa kama "waziri mkuu kwenye serikali ya Mbinguni"
Mnamuongezea sifa za kijinga na kumpamba bila sababu. Hakuna sehemu kwenye Biblia inasema kuwa shetani alikuwa nani au "kiongozi wa malaika kama wengi wanavyoamini na kufundisha" hata kama sijasoma andiko lako lote naamini kwa sentensi hiyo hapo juu unamaanisha hivyo. Yeye alikuwa kerubi kama makerubi wengine mkuu na kusema ana mamlaka ndio maana alikaa na kupiga story na Yesu kule jangwani kwa simu 40 pia ni uongo. Biblia inaeleza Yesu alifunga siku 40 jangwani na aliposikia njaa yaani siku ya mwisho ndipo Ibilisi alikuja kumjaribu pitia chakula na sio kama alikuwa anapiga naye story hizo siku 40.
Infact, nje ya mada yako. Je unamjua mzee Sweya Makungu Mstaafu mmoja hivi kule Iringa?
Maana huyawazi ya Mungu bali unawaza ya wanadamu"Nenda nyuma yangu shetwani"