Pengine Unamsikia tu Shetani Juu juu. Humfahamu Vizuri na Unasema ni Adui Yako

Wanadamu wanaimba mpk sauti ya 4 . Lkn unaambiwa Lucifer Alikuwa anaimba sauti mpk sauti ya 12 peke yake..
hapo uliposema unaambiwa ulimaanisha masimulizi ya vijiweni?
 
Wanadamu wanaimba mpk sauti ya 4 . Lkn unaambiwa Lucifer Alikuwa anaimba sauti mpk sauti ya 12 peke yake..
hapo uliposema unaambiwa ulimaanisha masimulizi ya vijiweni?
Hapana . Ni matumizi tu ya lugha. Hayo ni mafundisho ya kanisani siyo vijiweni ..
 
Hongera Kwa andiko zuri. Ukweli upo ndani yake. Mafano ayubu alipata msukosuko kwelikweli. Lakini Yesu alijimjibu lucifer kuwa usimjaribu Bwana Mungu wako, baada ya kusikia hivyo lucifer alisepa fasta maana anajua adhabu ya kumjaribu Mungu ilivyo Kali.
 
Ni hakika kabisa ndugu. Upo sawa..
 
Ahsante Sana ndugu
 
Huyu Mungu kiukweli tunamjua kwa %000.1 tu. Kwasababu ni mkubwa kias uwezo wetu wa akili hauwez kuhimili kumjua. Tunamjua kwa sehemu. Na utazid kumjua kwa kadiri unavyokuwa karibu nae kwa maombi na kuishi kitakatifu. Huwa anatabia za kujifunua kwa yule amtafutae kwa bidii. Kwa mfano. Kabla ya Yesu vitu vingi vilikuwa havijulikan. Cjui wazee 24. Ukiacha hiyo kubwa kuliko kuna sehemu anasema wenye Uhai wanne. Wamemzunguka. So kuna vitu vingi sana hatujui. Ni muhim kila cku tujifunze
 
Upo sawa sawa kabisa ndugu yangu
 
Mkuu Usisite Kuweka Nondo Kama izi Kwenye Uzi huu huu Mimi Binafsi Nmejiunga Nao na wengine Watafanya ivo nadhani
 
Koran 5;51. Enyi mlio amini! (Waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.

MAFUNDISHO YA KISH3TANI HAYA.
 
Umejitahidi kueleza,

Lakini,

Mwanadamu alipoumbwa Alipewa kutawala vyote vilivyo duniani.

Shetani pia alikuwa tayari yupo duniani by the time, hakufurahia kutawaliwa na mwanadamu ndomana akaleta uasi kupitia mwanamke.

Yesu alipokufa na kufufuka, alirudisha utawala wa mwanadamu kutawala Kila kitu na kukitiisha.

Amwaniniye Yesu Kristo ana nguvu zaidi ya shetani na majeshi yake.

Amefanyika mwana wa Mungu na ameketishwa Mbinguni pamoja na kristo.

Shetani hatopenda watu waijue Siri hiyo Ili aendelee kuwatawala.

Amen
 
Na pengine unaye mwomba na kumwabudu so mungu Bali NI shetani na unaye mwabudu NI shetani si mungu
 
Kwahiyo kuna haja ya kumjua shetani zaidi ya Mungu, sio kwamba kwa vile Mungu alishamshinda shetani tumtumie yeye na mbinu zake kumshinda.

Na hakuna mahali shetani amechukuliwa poa ndio maana imeandikwab anaunguruma kama simba hii ikionyesha mfano wa mnyama, siha na uwezo wake lakini Yesu anatajwa kuwa Simba wa Yuda.

Nadhani biblia haikutaka kumpa nafasi zaidi shetani ila Mungu ili kumpunguzia umaarufu, na watu wajikite kumfahamu sana Mungu ndio watamshinda shetani haijalishi amekuja na mbinu gani.
 
Watu wengi wanamfikiria shetani tofauti Sana na kiwepesi Sana.
Siku moja nilikuwa naongea prof mmoja Mungu amuweke pema Prof Jeremiah Kirway, "hatuwezi kumshinda shetan Kwa nguvu zetu maana yeye ana umri mrefu kuliko sisi" na toka nilivyoongea na huyo Mzee, mtazamo wake kwangu ulibadilika sana!! alikuwa akiniona kama mtu mwenye mapungufu mengi!! lakini baada ya kumwambia nahitaji msaada wa Mungu Ili nishinde,alinielewa!! umenikumbusha mbali sana mleta mada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…