Kanisa ni mali ya Mungu. Kuna MTU alikwambia Pope ni Mungu? Ni binadamu kama Mimi na wewe lakini ni kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki. Are you christian and you don't know basic things? If you are not stop sarcastic comments about RC church because you know nothing about it.Kanisa ni Mali ya Papa, yeye ni binadamu kama wengine, sijui amekula Maharage ya wapi?
Na ndio baadhi ya Wazandiki wakubwa humu JF. Sasa hivi wamekuwa na mamlaka mpaka za kutukana na kukashifu Viongozi wa dini! What's next!?
Mbona amekaa kimya kwa maovu mnayofanya nyinyi misukule na kuhadaa Wananchi wa Tanzania!?Mzadiki nikiongozi wa dini anayemuabisha Mungu kwa kushindwa kukemea maovu.
Hawezi kutusemea upuuzi tumwangalie tu kisa eti
Kadinali mbona hakemei maovu?
Ndiyo hivyo Pengo nae katoa maoni yake na si msimamo wa kanisa,sasa tatizo liko wapi?Hata ushuzi aliiongea Pengo siyo msimamo wa kanisa.
Msimamo wa kanisa unatolewa na Rais wa TEC.
Pengo ametowa maoni yake kama kada wa ccm.
kama unavyosema analea kanisa then he cant be ignored he has a handsome number of his followers we need to shut him up,he has to know that we Tanzanians need a new constitution and we will never be dictated by the Cardinal PengoWake-up tuache ushabiki hayo ni maono yake na kwa vile ni Cardinal ana jukumu pia kikanisa kulea kanisa! The best you guys you can do ni kuignore tu. Tatizo liko wapi?
Baba Kadinali Pwngo karopoka kwa sababu si mzungumzaji, mzee wetu baba mtakatifu amekosea sana na angejiupeshe katika siasa za kutetea wauaji anaharibi siha na sura ya kanisa katoliki nchini
Nakiri katika hilo si mtakatifu ni mzambi kama wengineHawezi kuwa mtakatifu mnena unafiki na umbeya
Mungu hafurahishwi na waovu kama Pengo
Wewe ni Mkatoliki?
Mbona amekaa kimya kwa maovu mnayofanya nyinyi misukule na kuhadaa Wananchi wa Tanzania!?
Ukishajua ukadinali unapatikanaje lzma ujue ilivyo ngumu kumtoa kwenye ukadinali hivyo huyo si mkatoliki na inawezekana pia cyo mkristoWewe ni Mkatoliki?
Ukisema "naye ni binadamu kama wewe" una maana gani"??? Papa ni kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki duniani. Ni Halifa wa Yesu kristu. So be careful when you say..." Ni MTU kama wewe". Unless you are not Catholic.Kwan kukaa na papa ndo nn....papa naye c binadam km wewe ..Nyie ndo wale mnaoweza hata kujidhalilisha utu wenu kisa umaarufu wa MTU.. C bora hata ungesema Ibrahim anaeketi mbimgun kwa Mungu
Maandiko matakatifu yanasema hivi , " AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU " badala ya kutegemea UGOD - FATHER WA PENGO KWA MAGUFULI ni vema tukatengeneza katiba itakayomzuia Rais kufanya anavyotaka , na hiki ndio Pengo hakitaki , inawezekana amenogewa na huo Ugod - father wake .Pengo ndio Godfather wa Pombe..
mnamuona Pengo mnafiki basi siku akifa ndo mtatamani afufuke..
ndio mtu pekee anaeweza kumbishia Pombe kitu na akasikia..
Ukisema "naye ni binadamu kama wewe" una maana gani"??? Papa ni kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki duniani. Ni Halifa wa Yesu kristu. So be careful when you say..." Ni MTU kama wewe". Unless you are not Catholic.Kwan kukaa na papa ndo nn....papa naye c binadam km wewe ..Nyie ndo wale mnaoweza hata kujidhalilisha utu wenu kisa umaarufu wa MTU.. C bora hata ungesema Ibrahim anaeketi mbimgun kwa Mungu
Wafikiri kanisakatoliki lina akili kama chadema au pendo kawa kadinari kwa siasa wew utakuwa punguaniiWakuu natanguliza salamu .
Maelekezo makuu ya Mungu kwa wanadamu ni kuishi katika kweli iliyojaa haki tupu , kutenda mema na kukataa maovu , hivyo tunategemea kiongozi yeyote wa dini ya kweli aishi na atende kama Mungu alivyoelekeza .
Kardinali Pengo anatenda kinyume na Maagizo haya ya Mungu , ni wazi ameamua kujipambanua kuukumbatia unafiki , Amejipachika usemaji wa Kanisa kinyume cha utaratibu .
Ni vema sasa Kwa kulinda heshima yake lililojiwekea miaka mingi , kanisa Katoliki linapaswa KUMTIMUA kardinali Pengo ili akaendeleze harakati zake za kupinga katiba mpya ndani ya chama chake cha ccm .
Naomba kuwasilisha .
Nionyeshe hoja yangu hata moja iliyowahi kumkejeli na kumtukana kiongozi yeyote wa dini!! Ukinionyesha najiondoa JF for goodNa ndio baadhi ya Wazandiki wakubwa humu JF. Sasa hivi wamekuwa na mamlaka mpaka za kutukana na kukashifu Viongozi wa dini! What's next!?
Maandiko matakatifu yanasema hivi , " AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU " badala ya kutegemea UGOD - FATHER WA PENGO KWA MAGUFULI ni vema tukatengeneza katiba itakayomzuia Rais kufanya anavyotaka .
mwislamu huyo, tena mzenji
usishangae sana wanao mtukana na kumkejeli Kadinali Pengo wanaongozwa na chuki za kidini
Usihukumu usije kuhukumiwa... Wewe ni msemaji Mungu?Wakuu natanguliza salamu .