Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

Halafu mnaajiita wademokrasia. Mtu akiwa na mawazo tofauti na wewe mnamfukuza. Ni ngumu sana kuficha unafiki.
Hizo ndizo akili za kushikizwa, kila mmoja ana haki kutoa maoni tofauti na wengine. Halafu mkumbuke Pengo ni kiongozi wa Katoliki, utaratibu wao ni tofauti na madhehebu mengine, yeye huteuliwa kutoka VATICAN, ndio maana huwezi kukuta migogoro kwenye kanisa hilo kama madhehebu mengine. Kama humtaki basi hama kanisa.
 
Wakuu natanguliza salamu .

Maelekezo makuu ya Mungu kwa wanadamu ni kuishi katika kweli iliyojaa haki tupu , kutenda mema na kukataa maovu , hivyo tunategemea kiongozi yeyote wa dini ya kweli aishi na atende kama Mungu alivyoelekeza .

Kardinali Pengo anatenda kinyume na Maagizo haya ya Mungu , ni wazi ameamua kujipambanua kuukumbatia unafiki , Amejipachika usemaji wa Kanisa kinyume cha utaratibu .

Ni vema sasa Kwa kulinda heshima yake lililojiwekea miaka mingi , kanisa Katoliki linapaswa KUMTIMUA kardinali Pengo ili akaendeleze harakati zake za kupinga katiba mpya ndani ya chama chake cha ccm .

Naomba kuwasilisha .
Naunga mkono hoja.
 
Kila taasisi ina mifumo yake ya kiuendeshaji likiwemo swala la utoaji wa taarifa rasmi. Kosa lilifanywa na wabunge wa upinzani walipotoka nje wakashindwa hata kufanya partial amendments.

Unaelewa sababu zilizopelea wakatoka nje? Kama hujuwi please usituhalibie siku mkuu
 
Wakuu natanguliza salamu .

Maelekezo makuu ya Mungu kwa wanadamu ni kuishi katika kweli iliyojaa haki tupu , kutenda mema na kukataa maovu , hivyo tunategemea kiongozi yeyote wa dini ya kweli aishi na atende kama Mungu alivyoelekeza .

Kardinali Pengo anatenda kinyume na Maagizo haya ya Mungu , ni wazi ameamua kujipambanua kuukumbatia unafiki , Amejipachika usemaji wa Kanisa kinyume cha utaratibu .

Ni vema sasa Kwa kulinda heshima yake lililojiwekea miaka mingi , kanisa Katoliki linapaswa KUMTIMUA kardinali Pengo ili akaendeleze harakati zake za kupinga katiba mpya ndani ya chama chake cha ccm .

Naomba kuwasilisha .
Mahali pa kupeleka pendekezo lako kulikuwa ni Vatican kwa mteuzi wake.
 
Naomba nikuulize kosa lake ni nini? Kwani maneno ya Askofu Niwemgizi si ni msimamo wake binafsi? Ukumbuke na wala si msimamo wa jimbo lake la Rulenge. Unakosea sanaaaa na kutenda dhambi kwa kumhukumu kwa maoni yake. Cardinal ametoa naye maoni yake USIYOYAPENDA ila ukweli unabaki pale pale kuwa mpaka baraza la maaskofu likae ndipo linaweza kutoa msimamo wa kanisa katoliki hapa Tanzania. take it or reject it its your wish mkuu
Kumbuka kuna wakati Pengo alikwenda kinyume na msimamo wa TEC
 
Kila taasisi ina mifumo yake ya kiuendeshaji likiwemo swala la utoaji wa taarifa rasmi. Tuna mfano mzuri kwenye ishu ya tundu Lissu. Ilifikia kipindi kila mtu akawa msemaji wa hali ya Lissu hadi mkt Mbowe alipoingilia kati na hata wanafamilia wakakaa naye huko Nairobi. So msemaji wa hali ya Lissu ni Mbowe na watanzania wanapata habari zauhakika. Kuhusu matakwa ya katiba mpya kila upande unayataka na wala siyo agenda ya upinzani bali kuletwa sasa au baadae inategemea na mambo mengi ikiwemo raslimali fedha na jambo nyeti linalolazimisha kuwepo mabadiliko makubwa ya katiba. Kosa lilifanywa na wabunge wa upinzani walipotoka nje wakashindwa hata kufanya partial amendments.
Umeanza vizuri, lakini umemalizia kwa uongo!! Kosa halikuwa la ukawa, bali Marehemu Sitta na Kikwete, kuingiza uchama na kulazimisha ambayo hayakuwamo ktk rasimu ya Jaji Warioba kuingizwa, na hivyo kuwagawa wajumbe ktk kambi mbili zenye maslahi tofauti.
 
Wewe unalijua Kanisa Katoliki kuliko Kardinali Pengo ambaye anakaa meza moja na Papa? Pengo ana kiti chake Roma kwenye Meza moja na Papa, Pengo anaweza kuongea na Papa kwa Simu, wewe takataka unaweza kumpigia nani Simu hata akapokea?
Yeye hapati nafasi yà kuongea na Papa, lakini anaweza pata nafasi kuongea na Mungu aliye mkuu zaidi ya papa!!!/
 
Hawezi kufukuzwa kuna utaratibu wa kumfukuza askofu au padre kama ana watoto, ana mke, au ni mzinifu
 
Yeye hapati nafasi yà kuongea na Papa, lakini anaweza pata nafasi kuongea na Mungu aliye mkuu zaidi ya papa!!!/

Kikatoliki Papa ndiyo Mkuu wa Kanisa Katoliki aliyeteuliwa na Mungu, hakuna njia nyingine hapo!
 
Nadhani hapa tunachangia kulingana na kila mtu anavyofahamu kaka. Leta nondo zako watu waelewe zaidi

Unawezaje kuwashutum UKAWA

Kwa malele ya ndiyoooooo kwa lolote lakijinga, lakipumbavu....lisilomaana ilimradi ccm wanalita lililazimishwa.

Lazima ilikuwa msingi kupitisha chochote kwa ccm....ulitaka UKAWA wawe rubber stamp?
 
Vipi kuhusu EL aliyesema kuwa safari hii ni zamu ya walutheri.
Kardnali Pengo alikuwa mkweli. Huwezi kufikiria katiba wakati hospitali hazina dawa;wajawazito,watoto wachanga wanakufa kwa kukosa Huduma; shule hazina madawati,hakuna vyumba vya madarasa nk. Hakusema katiba sio muhimu,ila alitoa vipaumbele kwa alivyofikiri yeye.
 
Vipi kuhusu EL aliyesema kuwa safari hii ni zamu ya walutheri.

Rejea kwenye hoja....

Pengo anatoa msimamo wa kanisa katoliki kutoka wapi....

Pengo amekaa na maaskofu na mapadri lini kuupata msimamo wa kanisa katoliki Tanzania

Pengo hajawahi inua kinywa chake kupinga mauwaji

Kibiti

Tanga

Dar Es salaam

Mateso

Utekaji

Nk

Anaibukia wapi kutupangia ya Katiba mpya?
 
Wewe unalijua Kanisa Katoliki kuliko Kardinali Pengo ambaye anakaa meza moja na Papa? Pengo ana kiti chake Roma kwenye Meza moja na Papa, Pengo anaweza kuongea na Papa kwa Simu, wewe takataka unaweza kumpigia nani Simu hata akapokea?
Mfumo kristu umeishia wapi?
 
kA
Wakuu natanguliza salamu .

Maelekezo makuu ya Mungu kwa wanadamu ni kuishi katika kweli iliyojaa haki tupu , kutenda mema na kukataa maovu , hivyo tunategemea kiongozi yeyote wa dini ya kweli aishi na atende kama Mungu alivyoelekeza .

Kardinali Pengo anatenda kinyume na Maagizo haya ya Mungu , ni wazi ameamua kujipambanua kuukumbatia unafiki , Amejipachika usemaji wa Kanisa kinyume cha utaratibu .

Ni vema sasa Kwa kulinda heshima yake lililojiwekea miaka mingi , kanisa Katoliki linapaswa KUMTIMUA kardinali Pengo ili akaendeleze harakati zake za kupinga katiba mpya ndani ya chama chake cha ccm .

Naomba kuwasilisha .
KAMA KARDINALI ANATEULIWA NA MBOWE AU LOWASA SAWA ATAFUKUZWA
 
Mkuu unatutia aibu .....hakuna cha maana ulichoandika hapo naona umemshambulia tu huyo MZEE.....fafanua GT tukuelewe
 
Pengo nae ni mwananchi wa Tanzania, ana uhuru wa kutoa maoni
Sawa, lakini hapo hajatoa maoni yake binafsi. Yule mwingine ndio hii statement ilimfaa.

Naunga mkono kauli aliyoitoa pengo kwa niaba ya Kanisa.
 
Back
Top Bottom