Kwani unasali kwa faida ya nani? Anayetakiwa kuwa mfano katika jamii ni wewe muumini, sasa unakimbia ili uishi upagani? Think twiceMimi nimeacha hata kusali sikuizi maana hata kanisa nalo limekuwa afta money. They just care about sadaka na si kuwa mfano katika jamii