Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

Mpuuzi ni wewe, nani aliyekwambia kuwa Pengo ni bosi wa askofu wa Rulenge?. Pengo kaeleza kadri ya ufahamu wake na hii sio mara ya kwanza kwake kuongea.

Kama wewe haumheshimu Askofu Pengo sisi wengine tunamheshimu sana. Sio kwa umri wake tu, bali kwa kazi kubwa ya kiroho ambayo humu ndani hakuna anayeweza kuielezea mpaka ikaeleweka.
Pengo siyo msemaji wa kanisa mpuuzi mkubwa wewe.

Nyinyi ndio wale mlioweka picha za Brian Deacon sebuleni kwenu, itachukuwa kizazi kingine kuja kujitambuwa upagani na ubatili mlionao.
 
Usijitie wazimu km wale wapuuzi wa vijijini wanaopita kudanganya walezi na ma house girl wa vijijini kuwa wao sijui ni master na ujinga mwingine. Wewe unayejidai una AKILI HUJUI KUWA PAPA BENECICT ALIJIUZULU? Unajua sababu aliyosema? Alikuwa honest enough kukiri afya yake kiakili haiwezi tena ongoza wakatoliki zaidi ya bilioni moja duniani. Sio kwamba alikuwa kachoka hivyo, yule mzee ni msomi vibaya, kachapisha vitabu vingi sana na alikuwa ndio engine ya ukatoliki kifikra, na alikuwa sharp mbaya ingawa alianza umwa umwa ila sio km hata pengo. Pengo ni mgonjwa kila angle. Pengo alichofanya ni kuthibitisha alichosema Gwajima.
Hayo ya kujiuzuli Papa Benedict yamekuja kwa sababu Askofu Pengo katoa maoni yake kama kiongozi mkuu wa jimbo katoliki la Dar?.

Jifunzeni kuzoea kusikia maoni yenye mantiki tofauti na zile mnazotembea nazo vichwani mwenu.
 
Lakini viongozi wa dini mpo katika JARIBU KUWA kwa wakati huu. Msipokuwa makini na matamshi yenu, msipokuwa makini kuwaongoza waumini weni, msipokuwa makini katika kuishauri serikali, taifa litaingia katika dhahama kubwa ambapo ninyi mtakuwa watu wa kwanza kujibu mbele za Mungu endapo KWA KUJUA AU KUTOKUJUA AU KWA KUTOTIMIZA WAJIBU WENU. Wajibu wenu mkubwa kwa sasa ni kuwaelekeza kondoo hawa wa Mungu waliopo Tanzania wasije wakatenda dhambi aliyoitenda KAINI ya kumuu nduguye ABILI
 
Pengo siyo msemaji wa kanisa mpuuzi mkubwa wewe.

Nyinyi ndio wale wapumbavu mlioweka picha za Brian Deacon sebuleni kwenu, itachukuwa kizazi kingine kuja kujitambuwa upagani na ubatili mlionao.

View attachment 604634

Current photo ya Yesu wako.

View attachment 604636
Mkuu mpumbavu ni wewe ambaye mambo ya kiroho unayajadili kwa nguvu kubwa kwenye jukwaa la kisiasa.

Jinsi unavyomjua mwanasiasa wako na nyendo zake unadhani na kwenye masuala ya dini ni hivyo hivyo.

Askofu Pengo ni kiongozi wetu na tunaheshimu maoni yake. Ndio mwakilishi wa Pope hapa Tanzania. Kama mnae kardinali mwingine mnayemuamini basi hilo ni tatizo lenu wenyewe.
 
Aliyosema pengo si msimamo wa baraza la maaskofu, msimamo wa baraza unatolewa na TEC
 
Pengo aongee na waumini wake wa Dar es salaam tu ndipo kwenye mamlala yake, akivuka tu kiluvya kuingia Kibaha hana mamlaka.

Kwa sababu ccm imejaa mijitu mijinga ilikuwa inamtumia Pengo wakidhani cheo chake ni kama cha Mufti kwa waislamu kwamba Mufti ni Tanzania nzima.

Hatutochoka kutoa elimu hii ili ukweli uwe wazi na watu wajuwe kweli.
Watanzania wengi walidanganywa kwa miaka mingi sana kwamba Pengo yuko na madaraka kama ya Mufti .

CCM wanatumia mbinu za kizamani sana !
 
Mkuu mpumbavu ni wewe ambaye mambo ya kiroho unayajadili kwa nguvu kubwa kwenye jukwaa la kisiasa.

Jinsi unavyomjua mwanasiasa wako na nyendo zake unadhani na kwenye masuala ya dini ni hivyo hivyo.

Askofu Pengo ni kiongozi wetu na tunaheshimu maoni yake. Ndio mwakilishi wa Pope hapa Tanzania. Kama mnae kardinali mwingine mnayemuamini basi hilo ni tatizo lenu wenyewe.
Ukatoliki wako ni wakutiliwa mashaka makubwa kama hujui Papa ana muwakilishi wake Tanzania ambaye ni balozi wa Vatican, pengo si mwakilishi wa Papa.

Napoteza muda wangu bure kumuelimisha mtu ambaye ubongo wake umejaa fungus.

Nimekuwekea chapisho usome nilidhani utasoma uelimike kumbe naelimisha msukule.
 
Sio kweli balozi wa Papa hawezi mwaproach direct lazima apitie kwa pengo kiprotocol sababu akienda direct balozi wa Papa atampelekea kardinali aone pengo anasemaje Kama askofu wa magufuli jimbo la dar es salama magufuli lazima apitie kwa pengo kwanza hawezi enda ubalozi wa Vatican straight
Umehangaika sana kujibu hoja moja
 
Kwani ameshindwa kumweleza hukohuko mpaka alitoe public? hii ni kuliingiza kanisa katika malumbano ya kisisa na kuligawa kanisa! kama ameona mwenzie kakosea angelishawishi kakao cha baraza la maaskofu ndipo baraza litoe tamko!
Mmmmm Niwemugizi Ana kiburi cha kihaya Kama kilaini aliyeondolewa dar kwa kushindana na pengo. He is a much know hajui kardinali ni nani? Na anastahili heshima ipi? Kama hajui akae na askofu kilaini amweleweshe kardinali ni nani wako wote mkoa wa kagera si vibaya akatafuta ushauri kwake badala ya kukariri notisi za vyuoni za urbaniana university italia
 
Askofu Pengo ni kiongozi wetu na tunaheshimu maoni yake. Ndio mwakilishi wa Pope hapa Tanzania. Kama mnae kardinali mwingine mnayemuamini basi hilo ni tatizo lenu wenyewe.


Nabaki kucheka tuuu
unaandika maneno mengi halafu yote Pumba
Jamaa kasema mmegeuza picha ya muigizaji Brian Deacon na kuigeuza kuwa ndio Yesu sasa... Ukiingia kila nyumba ya Mkatoliki lazima uikute ukutani.
Mwenzio nilizi chana chana zote wakati naukimbia Ukatoliki.
 
Kwani muadam kadinali naomba nikukumbushe kuwa KATIBA kwa SERIKALI ni kama ilivyo BIBLIA. kwa KANISA.

Leo hii mtu akikuambia kuwa BIBLIA sio muhimu kwa kanisa bali kilicho muhimu ni HUDUMA bila shaka utamuona ni mwendawazimu
Sure,ya kaizari amuachie kaizari,anafanya kazi ya Humphrey Polepole
 
Back
Top Bottom