Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Taratibu tunaanza angalia mawe yaisosahaulika. Gwajima sikumuelewa sana ingawa nilifurahia sana rap yake ile.Nilifurahia kwa vile niliona km kituko.si unajua Masanja yule zaidi ya kile kilio cha baadae huwa huwezi jua anatania au yupo serious. Pengine ni kwa vile sijawahi kutana na masanja asiyependa utani.
Ukweli sasa hivi karata zinachanganyika, uchaguzi uliopita makasisi wa katoliki walikuwa wapo wazi kabisa kuwa wamechoka giza wanataka mwanga na mwanga nje ccm. uchaguzi ulipita na giza lake nene, palikuwa na kimya cha siku mbili huweji jua watu wanashangilia au wanaomboleza. Siku sio nyingi Gwajima akapasuka.Wananchi hawakuwahi tegemea tuhuma km zile kwa kiongozi wetu.
Ni kiongozi aliyeaminika akikohoa tuu nchi inatikisika.Ila tayari wakatoliki walikuwa na minong`ono ,walikuwa ni wachache ila waliobaki nao pia kuna waliokuwa wakishindwa elewa mbon ahakuna kauli kauli kwa kiongozi wao haswa pale wakatoliki wanashuhudia makasisi wakiumizwa, wakuwawa, makanisa yakishambuliwa. Kiongozi wao hakuonekana.Kiongozi wao was missing, baadae kukawa na issue ya afya yake,kidogo ikarudisha matumaini na majibu ahaha , kumbe.
Ukweli ni kwamba kuna manung`uniko na wasio nung`unika ni wale wakatoliki wasiojua sana,ingawa wanajua ipo siku atasema na kwa vile ana ushawishi pengine atasikika. Kiongozi wa cathlic bhana alikuwa na nguvu, kuliko huyu Gwajima na wengine jumlisha.Ila Gwajima ndie alikuja piga stop, vurugu ktk nchi na alipiga kwa namna iliyopunguza sana mateso kwa raia<Gwajima alipiga kelele za usaliti. Wengine tulion ani kiki tuu km za Ponda na akna zitto.
Kuibuka kwa hizi tofauti sasa ihvi ni za ndani ya nyumba ya kiongozi wetu,dhidi ya wakazi wenzie na watoto zake ni wazi,sina sababu ya kutoanza mchukuliwa Gwajima kwa mapana zaidi. Na sio muda mrefu kelela za kiongozi wetu kupimwa uwezo wake ktk kuongoza timu hii kubwa zitaanza sikika.
Na km atakuwa mkweli imani imekata kabisa.Ni bora akaamua tuu kujiengua mapema kabla sauti hazijawa kali na ikaonekana kuwa ni kelele ndizo zimemtupa nje,haitokuwa stahiki yako.For the moment waumini nao wapo njia panda,wana hisia zao, makasisi nao sikuhizi wapo huru kuliko,achilia mbali maaskofu.
Kuna doa halifichiki.Kelele hizi toka hadi kwa madhehebu mengine ni wazi kuwa katoliki pamoja na mizaha wanayofanyiwa ktk seriuos issue walikuwa wakitegemewa kuwa serious driver. Mchezo wowote hapa ni hasara kwa catholic na hiyo imani haitorudi kirahisi ktk dunia hii. Hata heshima ya catholic ipo ktk line. For the moment Gwajima alionyesha kuwa ana misingi ktk ukatolic kuna kipande cha habari zake kinaanza thibika hapa.
MKUU UMEKULA KEKI BADO UNATAKA UBAKI NAYO? MNA UTARATIBU KTK NYUMBA WA KUWASILISHA MAONI SERIKALINI ILA HAMNA WA KUJADILIANA NA KUONDOA TOFAUTI ZENU NDANI HADI UKAJA TUAMBIA HADHARANI HUKU UMEMWACHA MWENZIO NDANI.NYUMBA YAKO TUMEKAA WENGI ,HAINA UTARATIBU WA KUWAANIKA WAKAZI WAKE,INGAWA INA MAHAKAMA YAKE NA ADHABU YAKE ILA SIO HAYA.NDIO MAANA NYUMBA HIYO INALAUMIWA SANA DUNIANI KUWA ILIWAKINGIA KIFUA WALE WALIOCHOPOKA NA KUFANYA YA KIDUNIA DHIDI YA WATOTO,WENZIO NA MENGINE.INGAWA MWISHOWE WALITOA ADHABU ZAO..MZEE WETU KWA AFYA YAKO NAKUSHAURI UTUNDIKE DARUGA. HATA UBONGO NAO UTAKUWA UMECHOKA KWA MAGONJWA.