Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Mnabaki kucheka kwa sababu mnazama kwenye mada nyepesi sana. Nyinyi kuwa watu wa madhehebu mengine mbali na ukatoliki sio kigezo cha kejeli zenu kuwa ndio uhalisia wa mambo.Nabaki kucheka tuuu...
Bwana mdogo unaandika maneno mengi halafu yote Pumba...
Jamaa kasema mmegeuza picha ya muigizaji Brian Deacon na kuigeuza kuwa ndio Yesu sasa... Ukiingia kila nyumba ya Mkatoliki lazima uikute ukutani..
Mwenzio nilizi chana chana zote wakati naukimbia Ukatoliki...
Mambo ya kiroho husomewa shuleni miaka na miaka, sio mambo yenye kufanana na hizi mada nyepesi za kina Lema na Muro.