hakika utakufa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,789
- 822
Kwa cheo cha Pengo ukuu wa wilaya, mkoa hata huo urais c chochote kwa Kardinal hata uraia wa Kardinal ni mataifa yote duniani mfano anaweza kuwa raia wa Tanzania lkn akawa mwakilishi wa papa popote duniani au kuwa kardinal wa Marekani wakati ni Mtanzania hata tu askofu wa kawaida hawezi linganishwa na wilaya au mkoa.Pengo anatumika vibaya sana aachane na uaskofu ateuliwe hata ukuu wa wilaya...
Kweli unajua! Hongera, nadhani tumekuelewa.Kwa mujibu wa taratibu za kanisa katoliki,askofu pengo sio msemaji wa kanisa,Msemaji ni Rais wa Baraza la maaskofu Tanzania,
Rais wa Baraza la Maaskofu ndio Bosi wa Maaskofu wote nchini na hata askofu pengo anakuwa yuko chini yake, pia kama askofu pengo hakiutumwa na Rais wa Baraza la Maaskofu,na yeye pia hana mamlaka ya kulisemea kanisa katoliki na alichosema ni maoni yake
Ukadinali wake ni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua Papa tu,ila yeye akiwa Tanzania kicheo ni Askofu wa Jimbo la Dar es Salaam,anataka watu waone kwamba Ukadinali ndio Ukubwa wa kanisa,Mkubwa wa kanisa ni Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,na ni askofu wa Iringa Askofu Ngalalekumtwa na anayefatia kwa Cheo ni huyo Niwemugizi, Pengo yuko chini yake Rais wa Baraza
"first among equals" Pengo hamzidi Askofu yeyote kwa cheo,ni sawa na rafiki yangu sheikh mkuu wa mkoa wa Dar ajione mkubwa kuliko mashehe wa mikoa mingine
Hakubariki kitu gani?Ukweli ni kwamba Pengo hakubariki
Mhashamu Askofu Kardinali Pengo amesema kuwa kauli iliyotolewa na askofu Niwemugizi kuwa katiba mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi sio msimamo wa kanisa kwa sababu kanisa lina taratibu zake za kuishauri serikali au kuzungumzia masuala ya jamii.
Pia amesema kwake yeye katiba ni kitu kije baadaye si cha haraka.
chanzo: gazeti la Mwananchi via facebook.
Kwa mujibu wa taratibu za kanisa katoliki,askofu pengo sio msemaji wa kanisa,Msemaji ni Rais wa Baraza la maaskofu Tanzania,
Rais wa Baraza la Maaskofu ndio Bosi wa Maaskofu wote nchini na hata askofu pengo anakuwa yuko chini yake, pia kama askofu pengo hakiutumwa na Rais wa Baraza la Maaskofu,na yeye pia hana mamlaka ya kulisemea kanisa katoliki na alichosema ni maoni yake
Ukadinali wake ni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua Papa tu,ila yeye akiwa Tanzania kicheo ni Askofu wa Jimbo la Dar es Salaam,anataka watu waone kwamba Ukadinali ndio Ukubwa wa kanisa,Mkubwa wa kanisa ni Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,na ni askofu wa Iringa Askofu Ngalalekumtwa na anayefatia kwa Cheo ni huyo Niwemugizi, Pengo yuko chini yake Rais wa Baraza
"first among equals" Pengo hamzidi Askofu yeyote kwa cheo,ni sawa na rafiki yangu sheikh mkuu wa mkoa wa Dar ajione mkubwa kuliko mashehe wa mikoa mingine
. Kabisa! Pengo halijui analolitenda,naamini huo nao ni msimamo wake ila sio msimamo wa Kanisa Katoliki na Wakatoliki wengi tupo nyuma ya Askofu Niwemugizi kuitaka katiba mpya.Mpakwa mafuta anapokwenda kinyume na maagizo ya mungu basi kuhani mkuu huagizwa na mungu kumtia mafuta mteule mpya na yule kaidi mungu humfutilia mbali hata kizazi chake...
Rejea daudi alivyopakwa mafuta kuchukua nafasi ya sauli.
kwa muktadha huo basi naomba tuamini mpakwa mafuta wa kale zama zake zishakwisha na sasa ni zama za mpakwa mafuta mpya....baba askofu niwemugizi.
Usimshuhudie jirani au mtu yeyote uongo! Una uhakika na ulichokisema? Tubu uongo huu kabla ya kuingia kulalaWasalam, huyu askofu si ndo kati ya wale waliobeba pesa kwenye viroba, namshauri arudishe pesa za walipa kodi wa tanzania aache kujipendekeza kwa watawala
Tafuta ufafanuzi wa neno hili la kilatin ROMANA LOCUTA KAUTAFILITA.Siyo kweli! Mimi ni Mkatoliki na sifuati kauli tu kwa vile imesemwa na papa, askofu, padre, katekista au kiongozi wa jumuiya ndogondogo mpaka iwe na ushawishi kwangu kwamba haipingani na neno la Mungu na ina mchango chanya kwa imani ya Kanisa na imani yangu na pia ustawi wangu na wa familia yangu. Nje ya criteria hii, papa, askofu, padre, katekista au kiongozi wa jumuiya ndogondogo anajisumbua maana sitafuata neno lake. Hivyo, siyo kweli kwamba "Wakatoliki ni watiifu kwa viongozi wao". Labda ungesema "baadhi ya Wakatoliki ni watiifu kwa viongozi wao" (maana hata wakiambiwa mambo yasiyo ya msingi wanatii).
Kwangu siyo hivyo - hata mahubiri ya padre nayachuja kama hayakidhi kiwango hata sisikilizi, natoka nje ili amalize au nakacha kabisa. Ninafuata imani yangu kwa uhuru na si kwa kumwogopa kiongozi wa kiroho maana hivi ndivyo nilivyoelelewa.
Nikumbushe mkuuUnakumbuka alichokifanya baba Kardinal Pengo wakati wa mvutano wa mahakama ya Kadhi?
Kama issue ni hivyo , askofu wa jimbo kuu katoliki DSM angetakiwa asubiri kauli hii itolewe na TEC kupitia kwa Rais wake au makamu au ingetolewa na Katibu wa TEC ili kuonesha kwamba kweli kauli ile haikuwa ya kanisa katoliki Tz. Lakini pia kama Askofu mkuu wa DSM anasema ule haukuwa msimamo wa kanisa jimbo la Rulenge basi Baraza la Walei Jimbo wangetakiwa kukanusha.Sasa Kama Niwemgizi alitoa maoni binafsi sio ya kanisa kwa Nini wakati anayatoa alikuwa amevaa mavazi ya kiaskofu ikiwemo Pete na msalaba shingoni
Yaani huyu Mzee kwa kweli anachekesha sana. Alikuwa anampinga Kikwete kila jambo lakn sasa hivi eti anakanusha hata ukweli ulio wazi jamani hatari sana.Mhashamu Askofu Kardinali Pengo amesema kuwa kauli iliyotolewa na askofu Niwemugizi kuwa katiba mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi sio msimamo wa kanisa kwa sababu kanisa lina taratibu zake za kuishauri serikali au kuzungumzia masuala ya jamii.
Pia amesema kwake yeye katiba ni kitu kije baadaye si cha haraka.
chanzo: gazeti la Mwananchi via facebook.
Pengo....Naona yale maharage alokula bado tu yanamsumbua!!!Mhashamu Askofu Kardinali Pengo amesema kuwa kauli iliyotolewa na askofu Niwemugizi kuwa katiba mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi sio msimamo wa kanisa kwa sababu kanisa lina taratibu zake za kuishauri serikali au kuzungumzia masuala ya jamii.
Pia amesema kwake yeye katiba ni kitu kije baadaye si cha haraka.
chanzo: gazeti la Mwananchi via facebook.
Kwa nini Rais Ngalelemtwa asiende kupiga kura kuchagua papa aende Pengo?Ukadinali wake ni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua Papa tu
AsanteKwa mujibu wa taratibu za kanisa katoliki,askofu pengo sio msemaji wa kanisa,Msemaji ni Rais wa Baraza la maaskofu Tanzania,
Rais wa Baraza la Maaskofu ndio Bosi wa Maaskofu wote nchini na hata askofu pengo anakuwa yuko chini yake, pia kama askofu pengo hakiutumwa na Rais wa Baraza la Maaskofu,na yeye pia hana mamlaka ya kulisemea kanisa katoliki na alichosema ni maoni yake
Ukadinali wake ni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua Papa tu,ila yeye akiwa Tanzania kicheo ni Askofu wa Jimbo la Dar es Salaam,anataka watu waone kwamba Ukadinali ndio Ukubwa wa kanisa,Mkubwa wa kanisa ni Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,na ni askofu wa Iringa Askofu Ngalalekumtwa na anayefatia kwa Cheo ni huyo Niwemugizi, Pengo yuko chini yake Rais wa Baraza
"first among equals" Pengo hamzidi Askofu yeyote kwa cheo,ni sawa na rafiki yangu sheikh mkuu wa mkoa wa Dar ajione mkubwa kuliko mashehe wa mikoa mingine
Laana inamwandama, yawezekana niya RushwaMhashamu Askofu Kardinali Pengo amesema kuwa kauli iliyotolewa na askofu Niwemugizi kuwa katiba mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi sio msimamo wa kanisa kwa sababu kanisa lina taratibu zake za kuishauri serikali au kuzungumzia masuala ya jamii.
Pia amesema kwake yeye katiba ni kitu kije baadaye si cha haraka.
chanzo: gazeti la Mwananchi via facebook.