mwananchit
JF-Expert Member
- Oct 13, 2008
- 242
- 298
Askofu Gwajima njoo uokoe jahazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na uhuru uliokuwa na wa kutoa mawazo, BAK, maneno uliyotumia kujadili mada kuhusu Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini, Mhadhama Kardinali Pengo, ni ya kitoto. Kama wewe ni mtu mzima ni mtu mzima hovyo.Asiyejitambua huyu! Kauli ile ni msimamo wa Watanzania tulio wengi. Unazidi kupoteza mvuto kwenye jamii ya Watanzania kwa kutokemea maovu ya dikteta uchwara.
Hata wakati wa Kikwete,Pengo haelewekieleweki au umesahau kipindi Gwajima anamuuliza maharage aliyokula ameyatoa wapi?Yote hayo anayasema Pengo leo ni kwa sababu anayetawala sasa ni Mkatoliki ambaye inadaiwa kwa makusudi anaipa Favor ya juu taasisi ya ukatoliki hapa Tanzania.
Kama mtawala angekuwa ni muislamu(Kama kipindi kile cha Kikwete) Askofu Pengo ungemwona yuko busy kila Jumapili kuikosoa serikali na kudai uwepo wa katiba mpya yenye kutoa haki kwa watanzania.
Asante mkuu kwa ufafanuzi, gwajima alishawahi kumwambia hivyo hivyo lkn bado hajasikia anajiona boss wa kanisa katoliki tz kitu ambacho sio kweli, hata aliyoyasema yeye ni maoni yake binafsi na sio msimamo wa kanisaKwa mujibu wa taratibu za kanisa katoliki,askofu pengo sio msemaji wa kanisa,Msemaji ni Rais wa Baraza la maaskofu Tanzania,
Rais wa Baraza la Maaskofu ndio Bosi wa Maaskofu wote nchini na hata askofu pengo anakuwa yuko chini yake, pia kama askofu pengo hakiutumwa na Rais wa Baraza la Maaskofu,na yeye pia hana mamlaka ya kulisemea kanisa katoliki na alichosema ni maoni yake
Ukadinali wake ni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua Papa tu,ila yeye akiwa Tanzania kicheo ni Askofu wa Jimbo la Dar es Salaam,anataka watu waone kwamba Ukadinali ndio Ukubwa wa kanisa,Mkubwa wa kanisa ni Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,na ni askofu wa Iringa Askofu Ngalalekumtwa na anayefatia kwa Cheo ni huyo Niwemugizi, Pengo yuko chini yake Rais wa Baraza
"first among equals" Pengo hamzidi Askofu yeyote kwa cheo,ni sawa na rafiki yangu sheikh mkuu wa mkoa wa Dar ajione mkubwa kuliko mashehe wa mikoa mingine
We kwani hujamsikia vizuri, anapinga katiba mpya huyu mzee, katumwa na magufuliHamjamuelewa Pengo. Kasisitiza kuwa kuna utaratibu wa kanisa kuhusu kutoa matamko ya kisiasa. Sasa wapinga kila kitu wanakuja na mipash yao. Kwani pengo kasosea wapi? kwani Pengo kasema hataki katiba mpya?
Kwa mujibu wa taratibu za kanisa katoliki,askofu pengo sio msemaji wa kanisa,Msemaji ni Rais wa Baraza la maaskofu Tanzania,
Rais wa Baraza la Maaskofu ndio Bosi wa Maaskofu wote nchini na hata askofu pengo anakuwa yuko chini yake, pia kama askofu pengo hakiutumwa na Rais wa Baraza la Maaskofu,na yeye pia hana mamlaka ya kulisemea kanisa katoliki na alichosema ni maoni yake
Ukadinali wake ni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua Papa tu,ila yeye akiwa Tanzania kicheo ni Askofu wa Jimbo la Dar es Salaam,anataka watu waone kwamba Ukadinali ndio Ukubwa wa kanisa,Mkubwa wa kanisa ni Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,na ni askofu wa Iringa Askofu Ngalalekumtwa na anayefatia kwa Cheo ni huyo Niwemugizi, Pengo yuko chini yake Rais wa Baraza
"first among equals" Pengo hamzidi Askofu yeyote kwa cheo,ni sawa na rafiki yangu sheikh mkuu wa mkoa wa Dar ajione mkubwa kuliko mashehe wa mikoa mingine
BAK katumia maneno yapi mabaya? Huyo Pengo ashavimbiwa vya kunyonga sasa hivi anatupumilia tu hewa chafuPamoja na uhuru uliokuwa na wa kutoa mawazo, BAK, maneno uliyotumia kujadili mada kuhusu Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini, Mhadhama Kardinali Pengo, ni ya kitoto. Kama wewe ni mtu mzima ni mtu mzima hovyo.
Siyo tu umemdharirisha kama yeye, bali hata nafasi katika jamii, Kanisa Katoliki na waumini wake wote.
Sikubali kwamba kauli ya Askofu mtajwa na Kardinali Pengo inawakilisha mawazo ya Watanzania mlio wengi. Ni kauli inayowakilisha wanasiasa wenye uchu wa madaraka.
Niliwahi kuandika humu jamvini, kwamba wanaotaka Katiba mpya si wananchi ila wanasiasa tena uchwara. Katika Katiba JMT, nikikuuliza ni Ibara ipi inamnyima raia kufanya shughuli zake za kimaendeleo, au haki na uhuru wake? Utabaki kuropoka tu.
JITAMBUE KWANZA NDIO UWEZE KUMJIBU MTU KAMA MHADHAMA KARDINALI PENGO.
Kama hukufunzwa na wazazi wako, utafunzwa na dunia. Hata maandiko matakatifu yanatutaka kutii mamlaka, na kuheshimu wazazi, tupate maisha mema na bora duniani.
Ile ni nchi ya kifalme huwezi kuifananisha na tz nchi ya democracyUingereza haijawahi kuwa na katiba na haina mpango wa kuwa na katiba lakini ni nchi iliyoendelea.Katiba sio kipaumbele cha maendeleo
Hivi huyu ana miaka mingapi? Ameshafikisha ile 70 ya ahadi?
Mpuuzi sana huyu mzeeWe kwani hujamsikia vizuri, anapinga katiba mpya huyu mzee, katumwa na magufuli
Huyu hafai kabisa kuwa kiongozi wa kanisa ni mnafiki na haaminikiSitaacha kuwa mkatoliki maana wewe pengo sio Yesu ila hapo babaumechemka. Hata kama nimwenzetu kama ni lazima tumpinge na tumpinge tu.Je tulipoteza hela bure kuandaa katiba mpya? Nashauri waumini wa Dar tuprotest kwa kukataa kutoa sadaka jumapili ya kesho ili tutume ujumbe kwa Pengo aache kurudi na mtawala kisa ni mmoja wetu.
Kanisa katoliki linaangalia upande wenye maslaiMimi ni mkatoliki kabisa. Pengo kwakwel binafsi nilimtoa thamani kitambo sana.
Huyu Mzee enzi za utawala wa Muislam kikwete alikuwa busy kwa mkatoliki Slaa. Leo karudi kwa Sinzonje mkatoliki mwenzake.
Mbinguni hatutaingia kupitia pengo kama mpaka mafuta wa bwana bali tutaingia kupitia matendo mema. Hata suala la Lissu kanisa Katoliki walitoa statement baada ya kelele nyingi za watu ukizingatia Lissu ni mkatoliki.
Duuh kanisa Kwasasa siyo la wenye haki.
Mkuu ni 70 ukiwa na nguvu basi 80 mambo ya agano la kale yamefanyiwa review na ujio wa Bwana YesuAhadi 70 au 120 Mkuu?
Mwa 6:3
Ufafanuzi tafadhali.
Huyu ni maslahi yake binafsi siyo ya kanisa.Kanisa katoliki linaangalia upande wenye maslai