Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

Hamjamuelewa Pengo. Kasisitiza kuwa kuna utaratibu wa kanisa kuhusu kutoa matamko ya kisiasa. Sasa wapinga kila kitu wanakuja na mipash yao. Kwani pengo kasosea wapi? kwani Pengo kasema hataki katiba mpya?
Kama anajua utaratibu inakuwaje na yeye akosee utaratibu angesubiri rais wao ajibu,
 
Pengo yuko sahihi hata uingereza kipaumbele chao sio katiba na hawajawahi kuwa na katiba na hawatarijii kuwa na katiba. kipaumbele ni kero halisia za raia wake kutatuliwa. Askofu pengo yuko sahihi asilimia 100
Nyerere alishindwa kutuachia katiba nzuri akiamini kila ajaye atakuwa kama yeye ona sasa, malalamiko kila kona.Ukikaa ukadhan watz ni sawa na waingereza unajidanganya. Au mnaona tukawa kama korea au kama nchi za kifalme make naona wanamaendeleo sana na hawana rais/rais kutoka ukoo uleule miaka nenda rudi
 
Si kweli kwamba Kardinali Pengo ni Askofu tu kama Askofu mwingine yeyote Tanzania. Kuna cheo Askofu, kinafuatiwa na cheo Askofu Mkuu, kisha Kardinali.

Tanzania kuna Maaskofu Wengi, Maaskofu Wakuu 5 na Kardinali 1 tu, naye ni Pengo. That alone calls for some respect.

Cardinal Pengo is the highest ranking Catholic cleric in Tanzania. That, I repeat, calls for some respect.

Kiutawala ni kwamba Rais wa Baraza la Maaskofu (cheo cha muda na ambacho hakitokani na kuteuliwa na Baba Mtakatifu) anakuwa na uwezo wa kuzungumzia mambo ya kidunia kwa niaba ya Maaskofu wenzake, but he is clerically junior to the Cardinal
 
...alafu huyu eti ndio kiongozi wa katoliki tz????kweli wamekosa viongozi...ndio,maana maaskofu wake wameona hadi hela za escrow na hajawakemea....maana na yeye anafaidi.....Haiwezekani askofu makini wa rukenge anaona uhusiano wa katiba nzuri na hali za watu huyu lengo hilo halioni....huyu ndie mkuu wa kanisa pekee nchInI simsikii akikemea maovu .....ni ajabu na aibu yake kubwa...hata wenzake siku hizi wanampuuza na kuongea... Maana yamemshinda....
 
PENGO UNAPOTOKA.MISINGI YOTE YA MAENDELEO YA NCHI NI KATIBA NZURI.NDIO INAYOTUONGOZA NN TUFANYE..
 
UMRI HAUONGOPI.UWEZO WAKE WA KUFIKIRI UMEPUNGUA SANA TU
 
Hamjamuelewa Pengo. Kasisitiza kuwa kuna utaratibu wa kanisa kuhusu kutoa matamko ya kisiasa. Sasa wapinga kila kitu wanakuja na mipash yao. Kwani pengo kasosea wapi? kwani Pengo kasema hataki katiba mpya?
Jiangalie wew, halafu usome vzur
Kasema katiba sio kipaumbele, bali elimu na afya
Huyu mzee ni mfu kabisa
 
Niwemugizi alisema kuwa ujumbe wake ulikuwa ni msimamo wa kanisa?
 
Nadhani haya pia ni mawazo binafsi ya mzee wetu,
naye katumia uhuru wake wa kutoa maoni
ila kwa kuwa ndiye kiongozi mkuu wa kanisa hilo
hapa nchini basi mawazo yake ndo msimamo wa kanisa,

Mimi binafsi ninamwelewa askofu Niwemugizi
hapingani na serikali bali anashauri ili yanayofanyika
sasa hivi yawe endelevu ni lazima yawe na msingi
wa kisheria,yaani yalindwe kwa kuwekwa kwenye katiba.

Nasema hayo kwa sababu,nchi hii Mwalimu Nyerere aliiacha
ina viwanda vingi,kwa kuwa havikulindwa kikatiba
waliokuja nyuma yake wakavipiga mnada na kuviuza kwa bei
chee.Aliacha nchi hii ikiwa na madini kwa kudhani kwamba
tusomeshe wataalam wetu ndo yachimbwe,leo tunashuhudia
yanavyosombwa kwa kasi ya ajabu bila huruma.Sababu ya kukosa ulinzi kikatiba.

Moyo wa rais Magufuri unaumizwa na yaliyofanyika
lakini kama atatawala kikatiba miaka 10
bila aliyoyafanya kuyalinda kikatiba,nayo yatauzwa
mbele ya macho yake,kama vile NBC ilivyouzwa
macho ya mwalimu yakishuhudia,alipiga kelele
lakini alikuwa tayari nje ya mfumo.

Naunga mkono hoja ya kuwa na katiba
itakayofanya mambo anayoyafanya rais Magufuli
yawe endelevu kwa mabnufaa ya watanzania.
Pengo sio kiongozi mkuu wa kabisa katoliki,he us a mere askofu

Ila anapenda sana aonekane yeye ndiye kiongozi wa kanisa na anapenda watu waamini hivyo,ni kupenda sifa ambazo si zake
 
Si kweli kwamba Kardinali Pengo ni Askofu tu kama Askofu mwingine yeyote Tanzania. Kuna cheo Askofu, kinafuatiwa na cheo Askofu Mkuu, kisha Kardinali.

Tanzania kuna Maaskofu Wengi, Maaskofu Wakuu 5 na Kardinali 1 tu, naye ni Pengo. That alone calls for some respect.

Cardinal Pengo is the highest ranking Catholic cleric in Tanzania. That, I repeat, calls for some respect.

Kiutawala ni kwamba Rais wa Baraza la Maaskofu (cheo cha muda na ambacho hakitokani na kuteuliwa na Baba Mtakatifu) anakuwa na uwezo wa kuzungumzia mambo ya kidunia kwa niaba ya Maaskofu wenzake, but he is clerically junior to the Cardinal
Japo umejaza hisia tu kuliko facts,nini kimemuwasha pengo kuongelea ya kidunia?kwa nini asimwambie Rais wa Baraza alitolee ufafanuzi?

Maaskfofu wote wanampinga Pengo,he is acting alone,lone wolf !
 
Jibu hoja zangu pasipo kusimjibia BAK.

Hakuna neno lolote nimeandika kuwa Pengo ni malaika.

Uwe tu makini unapojibu hoja.
Kuna hoja gani hapo zaidi kutokwa povu kisa Pengo kasemwa

Hilo povu fulia

Huku tutamsema tu akifanya ujinga
 
Sasa huyu nae ana njaa au hofu maana mungu hapendi unafki wa kina nani wana maslahi yao je yy hana maslahi yake na kauli zake anazotoa sku izi mie mkatoliki ila simuelewi huyu Mzee kabisaaa
 
Fujo ni askofu kuropoka ropoka bila consultation.Huyo ndio mkuu wa kanisa Katoliki na ndio keshasema sasa
kama hujui, baraza la maaskofu Katoliki (TEC) linamdharau sana huyu mgonjwa wenu. linamwachia aendelee kuropoka hovyo kwa kumuonea huruma tu kutokana na udhaifu wake kiafya.
 
Kwa mujibu wa taratibu za kanisa katoliki,askofu pengo sio msemaji wa kanisa,Msemaji ni Rais wa Baraza la maaskofu Tanzania,

Rais wa Baraza la Maaskofu ndio Bosi wa Maaskofu wote nchini na hata askofu pengo anakuwa yuko chini yake, pia kama askofu pengo hakiutumwa na Rais wa Baraza la Maaskofu,na yeye pia hana mamlaka ya kulisemea kanisa katoliki na alichosema ni maoni yake


Ukadinali wake ni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua Papa tu,ila yeye akiwa Tanzania kicheo ni Askofu wa Jimbo la Dar es Salaam,anataka watu waone kwamba Ukadinali ndio Ukubwa wa kanisa,Mkubwa wa kanisa ni Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,na ni askofu wa Iringa Askofu Ngalalekumtwa na anayefatia kwa Cheo ni huyo Niwemugizi, Pengo yuko chini yake Rais wa Baraza

"first among equals" Pengo hamzidi Askofu yeyote kwa cheo,ni sawa na rafiki yangu sheikh mkuu wa mkoa wa Dar ajione mkubwa kuliko mashehe wa mikoa mingine
Mkuu, hebu naomba jipe muda kuelewa uongozi wa Kanisa Katoliki japo kidogo. Ninavyofahamu mimi ni kwamba Rais wa TEC siyo kwamba yeye ndiye Kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania. Else challenge me with valid information kuhusu uongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania au kwa nchi yeyote (Kanisa mahalia)
 
Enzi za Utawakabidhi wa kinazi wa Hitller na genge lake, wakati wakiendesha mauaji ya halaiki na kuwatesa watu, na kuwafanyisha kazi mpaka umauti, Kanisa Katoliki lilikaa kimya.... Kanisa lilikuja Kuomba msamaha hivi Karibuni . Tanzania haijafikia ilipokuwa Germany ya Hitler na Himmler. Kanisa liwe huru kusema bayana bila kumungunya maneno katika jamii yetu. Mungu ibariki Tanzania
 
Hawa ndo viongozi waoga ....alafu eti anajiita mtumishi wa mungu....mtumishi gani asiyetetea haki na usawa....sasa kama ile si kauli ya kanisa bani nikwambie wewe unaejiita askofu...ile ni kauli ya watanzania ama taifa
 
Back
Top Bottom