jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Yule meneja wa kampeni wa mamvi!Unawajua waliolamba za Stanbic bank wewe ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule meneja wa kampeni wa mamvi!Unawajua waliolamba za Stanbic bank wewe ?
Kama anajua utaratibu inakuwaje na yeye akosee utaratibu angesubiri rais wao ajibu,Hamjamuelewa Pengo. Kasisitiza kuwa kuna utaratibu wa kanisa kuhusu kutoa matamko ya kisiasa. Sasa wapinga kila kitu wanakuja na mipash yao. Kwani pengo kasosea wapi? kwani Pengo kasema hataki katiba mpya?
Nyerere alishindwa kutuachia katiba nzuri akiamini kila ajaye atakuwa kama yeye ona sasa, malalamiko kila kona.Ukikaa ukadhan watz ni sawa na waingereza unajidanganya. Au mnaona tukawa kama korea au kama nchi za kifalme make naona wanamaendeleo sana na hawana rais/rais kutoka ukoo uleule miaka nenda rudiPengo yuko sahihi hata uingereza kipaumbele chao sio katiba na hawajawahi kuwa na katiba na hawatarijii kuwa na katiba. kipaumbele ni kero halisia za raia wake kutatuliwa. Askofu pengo yuko sahihi asilimia 100
Jiangalie wew, halafu usome vzurHamjamuelewa Pengo. Kasisitiza kuwa kuna utaratibu wa kanisa kuhusu kutoa matamko ya kisiasa. Sasa wapinga kila kitu wanakuja na mipash yao. Kwani pengo kasosea wapi? kwani Pengo kasema hataki katiba mpya?
Pengo sio kiongozi mkuu wa kabisa katoliki,he us a mere askofuNadhani haya pia ni mawazo binafsi ya mzee wetu,
naye katumia uhuru wake wa kutoa maoni
ila kwa kuwa ndiye kiongozi mkuu wa kanisa hilo
hapa nchini basi mawazo yake ndo msimamo wa kanisa,
Mimi binafsi ninamwelewa askofu Niwemugizi
hapingani na serikali bali anashauri ili yanayofanyika
sasa hivi yawe endelevu ni lazima yawe na msingi
wa kisheria,yaani yalindwe kwa kuwekwa kwenye katiba.
Nasema hayo kwa sababu,nchi hii Mwalimu Nyerere aliiacha
ina viwanda vingi,kwa kuwa havikulindwa kikatiba
waliokuja nyuma yake wakavipiga mnada na kuviuza kwa bei
chee.Aliacha nchi hii ikiwa na madini kwa kudhani kwamba
tusomeshe wataalam wetu ndo yachimbwe,leo tunashuhudia
yanavyosombwa kwa kasi ya ajabu bila huruma.Sababu ya kukosa ulinzi kikatiba.
Moyo wa rais Magufuri unaumizwa na yaliyofanyika
lakini kama atatawala kikatiba miaka 10
bila aliyoyafanya kuyalinda kikatiba,nayo yatauzwa
mbele ya macho yake,kama vile NBC ilivyouzwa
macho ya mwalimu yakishuhudia,alipiga kelele
lakini alikuwa tayari nje ya mfumo.
Naunga mkono hoja ya kuwa na katiba
itakayofanya mambo anayoyafanya rais Magufuli
yawe endelevu kwa mabnufaa ya watanzania.
Japo umejaza hisia tu kuliko facts,nini kimemuwasha pengo kuongelea ya kidunia?kwa nini asimwambie Rais wa Baraza alitolee ufafanuzi?Si kweli kwamba Kardinali Pengo ni Askofu tu kama Askofu mwingine yeyote Tanzania. Kuna cheo Askofu, kinafuatiwa na cheo Askofu Mkuu, kisha Kardinali.
Tanzania kuna Maaskofu Wengi, Maaskofu Wakuu 5 na Kardinali 1 tu, naye ni Pengo. That alone calls for some respect.
Cardinal Pengo is the highest ranking Catholic cleric in Tanzania. That, I repeat, calls for some respect.
Kiutawala ni kwamba Rais wa Baraza la Maaskofu (cheo cha muda na ambacho hakitokani na kuteuliwa na Baba Mtakatifu) anakuwa na uwezo wa kuzungumzia mambo ya kidunia kwa niaba ya Maaskofu wenzake, but he is clerically junior to the Cardinal
Kuna hoja gani hapo zaidi kutokwa povu kisa Pengo kasemwaJibu hoja zangu pasipo kusimjibia BAK.
Hakuna neno lolote nimeandika kuwa Pengo ni malaika.
Uwe tu makini unapojibu hoja.
kama hujui, baraza la maaskofu Katoliki (TEC) linamdharau sana huyu mgonjwa wenu. linamwachia aendelee kuropoka hovyo kwa kumuonea huruma tu kutokana na udhaifu wake kiafya.Fujo ni askofu kuropoka ropoka bila consultation.Huyo ndio mkuu wa kanisa Katoliki na ndio keshasema sasa
Mkuu, hebu naomba jipe muda kuelewa uongozi wa Kanisa Katoliki japo kidogo. Ninavyofahamu mimi ni kwamba Rais wa TEC siyo kwamba yeye ndiye Kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania. Else challenge me with valid information kuhusu uongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania au kwa nchi yeyote (Kanisa mahalia)Kwa mujibu wa taratibu za kanisa katoliki,askofu pengo sio msemaji wa kanisa,Msemaji ni Rais wa Baraza la maaskofu Tanzania,
Rais wa Baraza la Maaskofu ndio Bosi wa Maaskofu wote nchini na hata askofu pengo anakuwa yuko chini yake, pia kama askofu pengo hakiutumwa na Rais wa Baraza la Maaskofu,na yeye pia hana mamlaka ya kulisemea kanisa katoliki na alichosema ni maoni yake
Ukadinali wake ni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua Papa tu,ila yeye akiwa Tanzania kicheo ni Askofu wa Jimbo la Dar es Salaam,anataka watu waone kwamba Ukadinali ndio Ukubwa wa kanisa,Mkubwa wa kanisa ni Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,na ni askofu wa Iringa Askofu Ngalalekumtwa na anayefatia kwa Cheo ni huyo Niwemugizi, Pengo yuko chini yake Rais wa Baraza
"first among equals" Pengo hamzidi Askofu yeyote kwa cheo,ni sawa na rafiki yangu sheikh mkuu wa mkoa wa Dar ajione mkubwa kuliko mashehe wa mikoa mingine