Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

mkuu km huelewi issue zinazoendelea nikusaidiaje uelewe iliyopo mezani. GWAJIMA ALISEMA KIONGOZI WETU KAWASALITI KTK KIKAO,SASA KIONGOZI HUYO HUYO KAJA MKANA TENA MKAZI MWENZIE KTK NYUMBA YAO. NA HUYO MKUU KAKOSEA TENA ZAIDI .KASEMA WANA UTARATIBU WA KUWASILISHA MAONI KWA SERIKALI BILA KUSEMA PIA NYUMBA YAKE INA UTARATIBU WA KUSULUHISHA TOFAUTI ZA WAKAZI WAKE ZA NDANI.KAMWANIKA MWENZIE HADHARANI HUKU WANAKAA NYUMBA MOJA.ETI SIO MSIMAMO W ANYUMBA YAO, KWANI KUWAANIKA WENZIO NI MSIMAMO WA NYUMBA YAO?
Sasa ndio nimekuelewa
 
Kwa mujibu wa taratibu za kanisa katoliki,askofu pengo sio msemaji wa kanisa,Msemaji ni Rais wa Baraza la maaskofu Tanzania,

Rais wa Baraza la Maaskofu ndio Bosi wa Maaskofu wote nchini na hata askofu pengo anakuwa yuko chini yake, pia kama askofu pengo hakiutumwa na Rais wa Baraza la Maaskofu,na yeye pia hana mamlaka ya kulisemea kanisa katoliki na alichosema ni maoni yake

Ukadinali wake ni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua Papa tu,ila yeye akiwa Tanzania kicheo ni Askofu wa Jimbo la Dar es Salaam,anataka watu waone kwamba Ukadinali ndio Ukubwa wa kanisa,Mkubwa wa kanisa ni Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,na ni askofu wa Iringa Askofu Ngalalekumtwa na anayefatia kwa Cheo ni huyo Niwemugizi, Pengo yuko chini yake Rais wa Baraza

"first among equals" Pengo hamzidi Askofu yeyote kwa cheo,ni sawa na rafiki yangu sheikh mkuu wa mkoa wa Dar ajione mkubwa kuliko mashehe wa mikoa mingine
Kama yeye Pengo sio msemaji sasa povu lawatoka mpaka masikioni la nini??
 
Tuna safari ndefu sana watanzania.....ya kuelekea zimbabwe
 
Mara nyingi nimekupa like zangu kwa michango yako thabiti ila hu leo naona umekosea. Je, waijua kanisa katoliki?? Je, waijua sakramenti ya upadrisho? Basi, usiotee juu ya mti wa mwembe ukaanguka ukavunjika.
Pengo ni Kardinali, aweza chaguliwa kuwa Papa. Hivyo, kusema ati atimuliwe! Unashangaza sana. Hivi wajua kuwa siku si nyingi atakuwa anasema moja kwa moja na Muumba wako akiwa hai?? Upako alio nao haulinganishwi na yeyote Tz hii.
Hii ni kufuru sasa, ni lini ulikaa na Mungu akakuthibitishia kwamba katika Watanzania million 50 Pengo ndio kampa upako zaidi?
 
Hamjamuelewa Pengo. Kasisitiza kuwa kuna utaratibu wa kanisa kuhusu kutoa matamko ya kisiasa. Sasa wapinga kila kitu wanakuja na mipash yao. Kwani pengo kasosea wapi? kwani Pengo kasema hataki katiba mpya?
Kweli ya upande wake,kasahau kweli hiyo hiyo pia kuna utaratibu wa kutatua tofauti na matatizo ya makasisi wao ndani ?Kautumia?Mbona kamwacha mwenzie ndani kaja kupayuka hadharani kuwa mwezio kakosea? Dunia ya leo tupo watu tuna akili kuliko unavyoweza ota. Hata CCM ingekuwa ktk upande mzuri wa historia ingefaidi sana watz vichwa.For the moment kila mti waushikao ccm utanajisika na kuchacha.
 
Hii ni kufuru sasa, ni lini ulikaa na Mungu akakuthibitishia kwamba katika Watanzania million 50 Pengo ndio kampa upako zaidi?

Au na wewe sebuleni umeweka picha ya huyu mzungu?

View attachment 604824

Mkuu;
Kabla ya kuiweka ya mzungu naweka ya Kardinali wangu Pengo kwani ndiye muombezi wangu kwa Mungu
 
Ongea kitu unacho kijua wewe, pengo ndio kiongozi mkuu wa kanisa katoliki Tanzania
 
Mara nyingi nimekupa like zangu kwa michango yako thabiti ila hu leo naona umekosea. Je, waijua kanisa katoliki?? Je, waijua sakramenti ya upadrisho? Basi, usiotee juu ya mti wa mwembe ukaanguka ukavunjika.
Pengo ni Kardinali, aweza chaguliwa kuwa Papa. Hivyo, kusema ati atimuliwe! Unashangaza sana. Hivi wajua kuwa siku si nyingi atakuwa anasema moja kwa moja na Muumba wako akiwa hai?? Upako alio nao haulinganishwi na yeyote Tz hii.
Vatican haijapungukiwa watu wenye uwezo wa kupata Papa bora,huyo akienda hamalizi wiki anafukuzwa
 
Kama hataki apumzike tu kama mwenzie Benedicto wa 16, sio lazima ufie kwenye kiti

Tatizo huyu jamaa ni mwafrica, kajaa tabia za kabila, kaingia ktk fungate ambalo mashetani wana uwezo wa kumblack mail watakavyo.Sasa hivi keshaanguka vibaya ni kupewa toba.Hawezi tena kuwa mkweli kwa nafsi yake na mwili wake.

Benedict ni mzungu mjerumani makini na engine ya Ukatolini.Hawezi jidanganya wakati mechi ni ngumu,fikra zake kali zinapingana na wengine.Changamoto za utandawazi kwa kanisa ni kubwa.Hakuona sababua ya kulazimisha kuwa anaweza hadi anyang`anywe ndege km wengine.

Waafrica ndio maana huwezi waamini,somewhere huwa wanarudi ktk uporipori wao.Hata dini huacha na kurudi ktk jadi zao za asili. wanabaki tuu ktk hizo taasisi km office ya biashara.
 
Pengo kasema ukweli kuwa si msimamo wa kanisa .. Basi kwanini misimamo awamu hii hamna?
Kachagua huo msimamo utumike kwa faida yake na anaotaka walinda.Wakatoliki waliumia sana alipopotea wakati mapadri,makanisa, na hata tishio la balozi wa papa.Sasa anatokea sio km kiongozi mwenye wajibu ila km mtu mwenye kutaka madaraka ya serikali pale lumumba.
 
Vatican haijapungukiwa watu wenye uwezo wa kupata Papa bora,huyo akienda hamalizi wiki anafukuzwa

Una haki kusema unayoyasema kwani sio kiongozi wako. Unajua linalofanyika pale Vatican??
 
Pengo anautumia mwanya wa watanzania wengi kutojua kua yeye ni askofu tu kama walivyo maaskofu wengine akiwa hapa tanzania.utadhani yeye ndo msemaji wa wakatoliki Tanzania.na ikumbukwe hata askofu niwemuganyizi hakusema kua ule wa katiba mpya ndo msimamo wa wakatoriki Tanzania.kojikombakombaaa tuu
Mzee kaingia pabaya km akina Lipumba. Kachagua njia isiyotoboza. ETI KUNA UTARATIBU KWA ALICHOTAKA KUFANYA,ILA HAKUNA UTARATIBU WA KUTATA ISSU ZA KANISA NDANI KWA NDANI?KAMWACHA MWENZIE NDANI KAJA MTANGAZA HADHARANI BILA HATA USHAHIDI. SIJUI KATUMIA UTARATIBU GANI. Nijuavyo ktk nyumba za dini pia kuna ukabila, kweli kweli.Katoliki wana sheria sana ndio maana hayo madhara huwei yaona km ilivyo kwa makanisaa mengine,au dini nyingine.Hata waislam wanapata shida sana ktk issue za ukabila linapokuja suala la fursa za ndani.Watu wanajazana mkicheza.Waafrica hata wakiwa na dini ni ngumu sana kuwaamini ktk long term. Ndio maana tunalia hadi midomo inaongezeka wenzetu wanavyokuwa makini na sisi sana tusije piga chini halafu nasi tukaanza lia kwa sauti ili tulipe hasara.
 
Back
Top Bottom