Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
- Thread starter
- #181
Punda (Tanganyika) afe, mzigo (muungano) ufike.Huu Si muungano ni uvamizi Na ndiyo milele Hakuna linaloweza kuwa.hata siku moja
Vinginevyo kama hamkubali muundo huu wa sasa wa muungano basi tufanye maboresho kwamba tuanze awamu mpya ambapo Zanzibar ipotee (kama Tanganyika) ili zibaki Tanganyika (ifufuliwe) na muungano, nadhani hii pia inawezekana pia, kwahiyo kutakuwa na serikali ya Tanganyika na serikali ya muungano.