Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
- Thread starter
-
- #181
Punda (Tanganyika) afe, mzigo (muungano) ufike.Huu Si muungano ni uvamizi Na ndiyo milele Hakuna linaloweza kuwa.hata siku moja
Hivyo ndivyo unavyofundishwa Na Kardinal wenu Pengo? Zanzibar ni nchi ya Kiislamu watu wameoana sana Na wana sehemu zao Za kuzikana. Wanaoleta upuuzi huu ni hawa kutoka Tanganyika Na wengi wao ni wakristo waliotumwa kuja kutubatiza. Tunawajua vizuri.“In Tanzania, it was more than one hundred tribal units which lost their freedom; it was one nation that regained it.” Julius Kambarage Nyerere, from his Stability and Change in Africa speech given to the University of Toronto, Canada, 2 October 1969.
Kabla ya Usultani Zanzibar mimi naamini kuliwa na nchi (siyo taifa) tatu na siyo mbili zilizo kwenye muungano huu nazo ni Pemba, Unguja na Tanganyika. Kudhihirisha ukweli huu ambao wengi hawaujui jaribu kuvunja huu muungano leo utaona hizo nchi tatu zinaibuka Tanganyika, Unguja na Pemba. Hii ni #UN-KWEPABLE.
Lengo lenu ni kuridhia maneno ya Pengo ? Kuulinda uvamizi uliopewa Jina la muungano Kwa hali yoyote Kama mlivyoambiwa Na Yesu kwenye biblia yenu?Punda (Tanganyika) afe, mzigo (muungano) ufike.
Vinginevyo kama hamkubali muundo huu wa sasa wa muungano basi tufanye maboresho kwamba tuanze awamu mpya ambapo Zanzibar ipotee (kama Tanganyika) ili zibaki Tanganyika (ifufuliwe) na muungano, nadhani hii pia inawezekana pia, kwahiyo kutakuwa na serikali ya Tanganyika na serikali ya muungano.
I can define Union format using Arithmetic Philosophy for you to understand easily like this may be:Hivyo ndivyo unavyofundishwa Na Kardinal wenu Pengo?
Mathematic ya kufuata amri ya kanisa kuuwa watu Na kumwaga damu kulazimisha uvamizi kila baada miaka mitano , eti Yesu kaamrisha mauwaji hayo kuuwa wapinga Ukristo Na MuunganoI can define Union format using Arithmetic Philosophy for you to understand easily like this may be:
In mathematics, a binary quadratic form is a quadratic homogeneous polynomial in two variables where a, b, c are the coefficients. When the coefficients can be arbitrary complex numbers, most results are not specific to the case of two variables, so they are described in quadratic form.
So if you can't understand texts try numbers based on the above Mathematical linguistic expression.
Disclaimers No. 8 ya JFMathematic ya kufuata amri ya kanisa kuuwa watu Na kumwaga damu kulazimisha uvamizi kila baada miaka mitano , eti Yesu kaamrisha mauwaji hayo kuuwa wapinga Ukristo Na Muungano
Lengo lenu ni kutubatiza lakini tutapambana nanyi kwa kutumiwa Mathematica.I can define Union format using Arithmetic Philosophy for you to understand easily like this may be:
In mathematics, a binary quadratic form is a quadratic homogeneous polynomial in two variables where a, b, c are the coefficients. When the coefficients can be arbitrary complex numbers, most results are not specific to the case of two variables, so they are described in quadratic form.
So if you can't understand texts try numbers based on the above Mathematical linguistic expression.
Nimemtukana Nani hapo au ukweli unameanza kukuchana maini ?Disclaimers No. 8 ya JF
Epuka kutukana, kushambulia au kukwaza wengine: Maandiko ya chuki na yenye mrengo wa kuwashambulia watu hayatovumiliwa na JamiiForums. Wachukulie (waheshimu) wengine kama ambavyo wewe unataka uchukuliwe (uheshimiwe). Hivyo, kuleta andiko ambalo litachochea muitikio hasi kwa watu wengine inashauriwa kuepukwa.
Jiepushe kutuma kitu chochote ambacho ni kichafu, chukizo au cha kudhalilisha ambacho kinaweza kuvunja haki miliki ya mtu au haki yake ya faragha (privacy). Ikiwa unajiuliza mwenyewe kama jambo fulani linafaa, yawezekana halifai.
Nimenukuu kama ilivyoandikwa.
Try understanding issues in a wider spectrum so you may not offend yourself whatsoever.Nimemtukana Nani hapo au ukweli unameanza kukuchana maini ?
Usiandike kwa lugha ya watu ambayo hujaisoma vizuri . Andika kwa lugha ya kiswahili kama unakijua ? Usijiaibishe bureTry understanding issues in a wider spectrum so you may not offend yourself whatsoever.
Mkuu,Usiandike kwa lugha ya watu ambayo hujaisoma vizuri . Andika kwa lugha ya kiswahili kama unakijua ? Usijiaibishe bure
Keep Pengo and Jesus away from your miseries.Nimemtukana Nani hapo au ukweli unameanza kukuchana maini ?
Your tone isn't that of JF.Usiandike kwa lugha ya watu ambayo hujaisoma vizuri . Andika kwa lugha ya kiswahili kama unakijua ? Usijiaibishe bure
Kajifundishe kuandika kiengereza bado hujui kitu. Waachie wenyewe, usijifanye mtaalamu HunagaSorry me for my Socratic method of criticism & facts presentation. You may choose to put up with me for I’m helping out your pupilage.
Your tone isn't that of JF.
Keep Pengo and Jesus away from your miseries.
Mkuu,Kajifundishe kuandika kiengereza bado hujui kitu. Waachie wenyewe, usijifanye mtaalamu Hunaga
Mkuu,Usijiaibishe bure, hujui English bado
Mkuu,Kamwambie Pengo Na kanisa lako la kikatoliki Mimi sijasema kitu wala kuandika kitabu cha kanisa kinachozungumzia Uvamizi uliopewa Jina la muungano
Mkuu,
You are a jolted Wordsmith juggling with digital texts to force a meaning like a Songstress or a Poetic-lyricist.