Pengo kwenye Muungano

Pengo kwenye Muungano

Swali,
Bila IQ ya Nyerere Jamshid Bin Abdullah angeondoka Zanzibar? Bila IQ ya Nyerere Mapinduzi (uhuru) Zanzibar yangepatikana? Bila IQ ya Nyerere kwa mantiki hiyo ni lini Karume angekuwa rais Zanzibar?
IQ ya Nyerere ndiyo iliyofanya haya

 
Zanzibar kwa Tanzania ni mkoa...

Ukiwa unaenda Zanzibar huendi nchini bali unaenda mkoani...
 
Ongeza Na hii ukimbie zaidi


You cannot contribute a paragraph, you only write phrases, as a scholar you didn't learn to write essays. Intellectuals (GTs) wa JF hawawezi kusoma maneno mafupimafupi kama ya khanga.
 
Ndiyo Lengo la Nyerere Na kanisa lake la katoliki
Unatusukuma kutupeleka kwenye udini ili ututoe kwenye maudhui ya mada lakini nakuhakikishia hatuendi huko, utajikuta uko mwenyewe kwenye udini wako!

th
 
Ongeza Na hii ukimbie zaidi


Nchi zote zilizokolonishwa zilipambana kupata uhuru lakini Zanzibar ilipewa uhuru mkononi na Mwl Nyerere baada ya ASP et al kusurrender kwa Sultani. Bora India walijiongeza kwa kubadili mbinu ya kudai uhuru kwa kujisaidia haja kubwa kwenye mitaa ya wakoloni hadi wakakimbia, nyie Ma-Hizbu hata akili ndogo tu namna hiyo hamkuwa nayo. Mlikubali kuuzwa kama njugu Kilwa Masoko, sasa hapo Nyerere anahusikaje?
 
Back
Top Bottom