Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
- Thread starter
- #81
Truth that hurts!Kajifundishe kuandika ,
Ndio umeandika kitu gani hapo ??
Huko Kivukoni ndio mnavyofundishwa kuandika ??
Elimu ameiua Laanatullahi Nyerere, yaani ndio unajisifu umeandika la maana hapo ?
Mara kadhaa umemtuhumu Mwl kuhusika na kushughulikiwa akina Hanga, vipi nyie Ma-Hizbu mliom-assassinate Sheikh Abeid Karume? Mshughulikiwe?