Pengo kwenye Muungano

Pengo kwenye Muungano

Kajifundishe kuandika ,

Ndio umeandika kitu gani hapo ??

Huko Kivukoni ndio mnavyofundishwa kuandika ??

Elimu ameiua Laanatullahi Nyerere, yaani ndio unajisifu umeandika la maana hapo ?
Truth that hurts!

Mara kadhaa umemtuhumu Mwl kuhusika na kushughulikiwa akina Hanga, vipi nyie Ma-Hizbu mliom-assassinate Sheikh Abeid Karume? Mshughulikiwe?
 
Jaribu kuwa makini na masuala ya imani za watu nakushauri tena! Kuna jukwaa la masuala ya imani unawezapatembelea na kupost huko. Extremism and Fundamentalism are twins b/o idea dropout.
Ndiyo biblia yako hiyo imeandika
 
Truth that hurts!

Mara kadhaa umemtuhumu Mwl kuhusika na kushughulikiwa akina Hanga, vipi nyie Ma-Hizbu mliom-assassinate Sheikh Abeid Karume? Mshughulikiwe?
Nyinyi munaendelea kuuwa mpaka mnakodi majeshi ya Burundi kuja kutuuwa
 
Wa Baba yako wa pili Laanatullahi Nyerere?
Swali,
Bila IQ ya Nyerere Jamshid Bin Abdullah angeondoka Zanzibar? Bila IQ ya Nyerere Mapinduzi (uhuru) Zanzibar yangepatikana? Bila IQ ya Nyerere kwa mantiki hiyo ni lini Karume angekuwa rais Zanzibar?
 
Kilo ya nyama Zanzibar leo ni Tshs.15,000, bara ni Tshs.8,000. Kwa mujibu wa hizo bei je, Zanzibar bila muungano itakuwa mgeni wa nani?
Zanzibar inanunua kuku kutoka Brazil Itakuwa kilo ya nyama. Kwani kabla ya Uvamizi unafikiri tulikuwa tukinunua Tanganyika?
 
Swali,
Bila IQ ya Nyerere Jamshid Bin Abdullah angeondoka Zanzibar? Bila IQ ya Nyerere Mapinduzi (uhuru) Zanzibar yangepatikana? Bila IQ ya Nyerere kwa mantiki hiyo ni lini Karume angekuwa rais Zanzibar?
IQ ya Nyerere kaondoka madarakani benki ikiwa nyeupe. Tukivaa viatu vya matairi , chumvi tukinunua kwa kuuza dhahabu.
 
Swali,
Bila IQ ya Nyerere Jamshid Bin Abdullah angeondoka Zanzibar? Bila IQ ya Nyerere Mapinduzi (uhuru) Zanzibar yangepatikana? Bila IQ ya Nyerere kwa mantiki hiyo ni lini Karume angekuwa rais Zanzibar?
Baada ya muungano kuanza Karume aliendelea na Urais wake (hakuupoteza) Mwl Nyerere alikubali kupoteza Urais wake wa Tanganyika, unadhani Mwl Nyerere aliwapendaje Zanzibar? Upendo wa Yesu wa kwenda Msalabani ili wengine wapone!

Baada ya muungano Karume alikuwa na kofia mbili za Rais wa Zanzibar na ile ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa JMT lakini Mwl Nyerere akabaki na nafasi moja tuuu... ya Rais wa JMT, Ma-Hizbu wanadai nini kwa Mwl? What if kama Mwl angemshawishi Karume awe tu Makamu wa Rais wa JMT apote Urais wake wa Zanzibar je, hii ingekuwa tamu kwa Ma-Hizbu?
 
Back
Top Bottom