Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
- Thread starter
-
- #101
Kuku wa madawa au wa kienyeji?Zanzibar inanunua kuku kutoka Brazil Itakuwa kilo ya nyama. Kwani kabla ya Uvamizi unafikiri tulikuwa tukinunua Tanganyika?
IQ ya Nyerere ndiyo iliyofanya hayaSwali,
Bila IQ ya Nyerere Jamshid Bin Abdullah angeondoka Zanzibar? Bila IQ ya Nyerere Mapinduzi (uhuru) Zanzibar yangepatikana? Bila IQ ya Nyerere kwa mantiki hiyo ni lini Karume angekuwa rais Zanzibar?
Kuna rekodi kadhaa za hansard kwenye Baraza la Wawakilishi ambapo tuhuma za michele mibovu kuingizwa Zanzibar kwa kificho.Mchele ipi ? Wenyewe hamna kitu. Subirini karibu Tony Blair atawaweka sawa
There is no free lunch in this planet. Zanzibar cannot keep expecting services on a silver plate!IQ ya Nyerere ndiyo iliyofanya haya
Nyerere was not responsible and accountable for 2008 - 2009, do him justice.There is no free lunch in this planet. Zanzibar cannot keep expecting services on a silver plate!
Si mnaiingiza nyinyiKuna rekodi kadhaa za hansard kwenye Baraza la Wawakilishi ambapo tuhuma za michele mibovu kuingizwa Zanzibar kwa kificho.
An-nuur Na. 227Nyerere was not responsible and accountable for 2008 - 2009.
Which Main-lander owns paddy fields overseas?Si mnaiingiza nyinyi
I have limited time for such stuff sorry!
YouWhich Main-lander owns paddy fields overseas?
Hata bado utakimbia sanaI have limited time for such stuff sorry!
Ongeza Na hii ukimbie zaidiNyerere was not responsible and accountable for 2008 - 2009, do him justice.
Ndiyo Lengo la Nyerere Na kanisa lake la katolikiZanzibar kwa Tanzania ni mkoa...
Ukiwa unaenda Zanzibar huendi nchini bali unaenda mkoani...
You cannot contribute a paragraph, you only write phrases, as a scholar you didn't learn to write essays. Intellectuals (GTs) wa JF hawawezi kusoma maneno mafupimafupi kama ya khanga.Ongeza Na hii ukimbie zaidi
Unatusukuma kutupeleka kwenye udini ili ututoe kwenye maudhui ya mada lakini nakuhakikishia hatuendi huko, utajikuta uko mwenyewe kwenye udini wako!Ndiyo Lengo la Nyerere Na kanisa lake la katoliki
Hali kadhalika TanganyikaWala wa UN[emoji273]
Ukivunjwa anaweza akaamua kuwa Mtanganyika na akaendelea kuwa raisMuhimu muungano uvunjwe huyu bibi akaongoze kwao tumemchoka
Nchi zote zilizokolonishwa zilipambana kupata uhuru lakini Zanzibar ilipewa uhuru mkononi na Mwl Nyerere baada ya ASP et al kusurrender kwa Sultani. Bora India walijiongeza kwa kubadili mbinu ya kudai uhuru kwa kujisaidia haja kubwa kwenye mitaa ya wakoloni hadi wakakimbia, nyie Ma-Hizbu hata akili ndogo tu namna hiyo hamkuwa nayo. Mlikubali kuuzwa kama njugu Kilwa Masoko, sasa hapo Nyerere anahusikaje?Ongeza Na hii ukimbie zaidi
Non contextual! JF is not a mosque.Ongeza Na hii ukimbie zaidi