Pengo kwenye Muungano

Hata iweje ameshakuwa rais wenu. Anaongoza vizuri kuliko hao unaowaona wazawa
kwani nani kasema si Raisi wetu aliyewekwa na Tanganyika ??

Anaongoza vizuri kwa sababu hakuna aliye wako kauwawa au kujeruhiwa na yale majeshi ya Burundi mliyoyakodi na majeshi ya Tanganyika
 
Myopic beyond help!

Hujikiti kwenye mambo ya msingi ya mada, umechepuka toka kwenye mada kwa kuingiza udini, do you think Watz wote wana dini au wanataka dini?! Pursue GOD do not pursue religion. I am worried as for your trait of mental bondage on other people's works most often, why you have no creativity and initiative?


Do not spoil Muungano!

Taswira kwa hisani ya google.
 


Mimi sina udini , mwenye udini ni huyo aliyeivamia Zanzibar aliyefuata maagizo ya kanisa lake la Kikatoliki

Vitabu vya Kanisa la kikatoliki ndivyo vinavyosema ,

Hayo si maneno ya Gavana



Kardinali Pengo: Muungano si bahati nasibu​



- May 02, 2016

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka waamini na wananchi kwa ujumla kutambua kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si jambo la bahati nasibu.

Kardinali Pengo ameyasema hayo ofisini kwake hivi karibuni alipoitisha vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kuzungumzia pamoja na mambo mengine ongezeko la Parokia mpya jimboni kwake pamoja na mabadiliko kwa Maparoko na Maparoko Wasaidizi katika baadhi ya Parokia jimboni humo.

Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.

Kardinali Pengo anasema ni jambo la kushangaza jinsi Mungu anavyotenda mambo yake kwa wanadamu kwani alileta Imani Katoliki kupitia Zanzibar na kwamba baada ya Uhuru Mungu aliwapatia neema watu wake wa pande mbili za Zanzibar na Tanganyika kuungana na kuwa kitu kimoja.

Anasema wakati Kanisa likijiandaa kwa adhimisho la Jubilei ya miaka 150 ya uwepo wa Kanisa Katoliki katika eneo la Afrika Mashariki ifikapo 2018 Zanzibar haiwezi kuwekwa pembeni.

Kuhusu utendaji wa serikali ya awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kardinali Pengo anasema hali inaonesha viongozi wa taifa hili wameanza vizuri na kasi yao inaleta matumaini makubwa.
 

Kardinali Pengo anakwambia , huyo mliyempa uungu Yesu , amewapa jukumu la kuulinda muungano huu

Kazi kwako


 


Kardinali Pengo anakwambia , huyo mliyempa uungu Yesu , amewapa jukumu la kuulinda muungano huu

Kazi kwako
 

Pengo anakwambia ,

Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.
 










 
For information sake, the Church is an advocate of Multilateralism, you and your religion are the opposite of the credo.

No one can quantify development of Tz without mentioning noble role of the Church (Roman Catholic inclusive). All Pre and Post Independence Strategic Social Amenities were owned by the Church for universality NOT unilaterality. Get amazed by the following:

Health Services
1. Bugando Medical Centre owned by Catholics.
2. Ndanda Mission Hospital owned by Catholics.
3. Kilimanjaro Medical Centre owned by Lutherans.
4. Mbeya Referal Hospital owned by Moravians.
5. Muhimbili Hospital was originally for Anglicans.
6. Shirati Referal Hospital owned by Mennonites.
7. Kolandoto Mission Hospital owned by African Inland Church Tz.
All the above time memorial.

Education Services
1. St. Francis Pugu owned by Catholics (Rais Big Ben alipita hapa).
2. St. Mary's Tabora school owned by Catholics (hapa ndipo palimpika Mwl. Nyerere).
3. Minaki school owned by Anglicans.
4. Ndanda Secondary owned by Catholics (hapa ndipo palimpika Rais Big Ben).
5. Ikizu School (Butiama District) owned by Seventh Day Adventists (hapa ndipo palimpika msomi maarufu duniani Prof. Philemon Sarungi)
6. Cardinal Rugambwa School owned by Catholics.
7. St. John's Mazengo School owned by Anglicans (now St. John's University).
All the above time memorial.

What did your religion offer for Tz since pre and post independence? Zanzibaris (Hizbus inclusive) schooled in those facilities, medically treated in the hospitals, got employment therein afterwards!
 

Pengo anakwambia ,

Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.
 

Rais Mkapa anafungia Mwembechai Killings, Kanisa launga mkono!


HABARI za kufungiwa kwa kitabu cha Mwembechai Killings and the Political Future of Tanzania na kwamba kinasomwa kwenye mtandao wa mawasiliano wa kimataifa kupitia kwenye kompyuta (Internet) zaelekea kuzua 'kiwewe' cha aina yake nchini.

Wananchi waliozungumza na AN-NUUR wameeleza kwamba wamesikitishwa na baadhi ya taarifa za habari na maoni ya baadhi ya watu kwamba badala ya kuzungumzia mantiki ya hoja na haja ya kufungia kitabu hicho, uzito unaelekezwa kwenye kutaka kupotosha hisia na mawazo ya wananchi.

Tunajua maadhali Mhe. Rais amekipiga marufuku, si ruhusa tena kukitangaza wala kuzungumzia maudhui yake.

Lakini tunadhani na sisi tuna haki ya kutoa maoni yetu juu ya kauli za baadhi ya watu kufuatia kupigwa marufuku kitabu hicho.

Mrengo wa habari zinazoandikwa kuhusu kitabu hicho zimejaa juhudi ya kutaka kupotosha mawazo na hisia za wanachi kwa lengo la kuchochea na kupandikiza mawazo ya baadhi ya watu wanaotaka kuona Waislamu nchini wanafanywa wananchi wa daraja la pili.

Kitendo cha kukiita kitabu hicho kuwa ni cha Waislamu kina lengo la kujenga dhana kwamba kila kitu kilicho cha Waislamu ni halali kunyimwa haki nchini. Dhana hiyo yaweza kuwa imejengeka kwenye vichwa vya baadhi ya watu wanaofaidika na dhulma ambazo Waislamu wamekuwa wakidai kufanyiwa nchini Tanzania.

Tunadhani Watanzania wangependa kujadili sheria za kupiga marufuku machapisho kama zinafaa kuendelea kuwepo nchini katika zama hizi za demokrasia, ukweli na uwazi kwa mwananchi kutoa maoni yake na wengine kupewa haki ya kuchambua maoni hayo ili kujua ukweli na uongo uliomo katika machapisho hayo.

Kutoa anwani potofu ya kukiita kitabu hicho kuwa ni cha "Waislamu" kunalengo la kuwatoa wananchi kwenye mada ya kujadili umuhimu wa kuwepo baadhi ya sheria miongoni mwa zile 40 ambazo Tume ya Jaji Nyalali iliona zimepitwa na wakati.

Tunaamini kwamba wanaopandikiza anwani hizo wanataka kupotosha fikra za Watanzania ili waamini kuwa jambo lolote la Waislamu, kuonewa ni sahihi.

Watanzania walio wengi hapana shaka wana mwamko na uwezo mkubwa wa kutambua propaganda za maonevu zenye lengo la kutaka kutugawa kwa misingi ya chuki za kidini.

Lakini linalotushangaza zaidi hatuoni ni vipi uongozi wa Kanisa Katoliki ujitokeze kuisemea serikali na uamuzi wa Rais Mkapa katika kukifungia kitabu hicho.

Katibu wa Kardinali Polycarp Pengo, Padri Andrew Luanda amealiambia gazeti moja kuwa "Waislamu hawana sababu ya kulalamika kwa sababu Rais amekipiga marufuku kitabu hicho kwa kutumia mamlaka aliyopewa kikatiba". Katibu huyo wa Pengo akanukuliwa akisema; "Sheria zetu ziko wazi na zinampa uwezo Rais kuchukua hatua fulani katika mambo kadhaa ilimradi mambo hayo yawe yanahatarisha usalama wa jamii".

Aliyepiga marufuku kitabu ni Rais Mkapa. Hata kama kungekuwa na watu wanaohoji uamuzi huo wa Rais, yeye Padri wa Kanisa Katoliki anahusika vipi? Au yeye ndiye pia Mwandishi wa Rais!

Mauaji ya Mwembechai yamechochewa na Padri wa Kanisa Katoliki, Lwambano.

Serikali ikaitikia uchochezi wake, polisi wakaua. Kardinali Pengo akahalalisha mauaji yale akidai hata jiwe linaua.

Leo Mhe. Rais anapiga marufuku maelezo ya Waislamu juu ya mauaji hayo, Padri Mkatoliki anasherehesha amri ya Rais!

Hii si hali ya kawaida. Na Mwandishi hakukosea kwenda kumhoji yeye. Anajua wapi pa kuthibitisha linalokubalika nchini hapa na lisilokubalika. Hakupata taabu kwenda kwa Waziri Mkuu, Waziri wa Mambo ya Ndani au wenye kitabu chao, bali kwa Pengo.

Amejisemea Dkt. Sivalon, Ukatoliki ulivyojikita katika siasa na serikali imekuwa kama kitu kimoja. Maamuzi na matendo ya serikali huonekana kama ya Kanisa.

--
 
Jeez!

The substandard Newspaper for incitement; that I don't allow into my eye sight as nothing classical one can refer for academic purpose. It has limited circulation with lean sales proceeds. Not Newspedia to rely on.
 
Jeez!

The substandard Newspaper for incitement; that I don't allow into my eye sight as nothing classical one can refer for academic purpose. It has limited circulation with lean sales proceeds. Not Newspedia to rely on.

I know, you rely on this newspaper

Pengo anakwambia ,

Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo
 
Kwanza Zanzibar haina waziri wa ulinzi. Raisi wa Zanzibar ndiye mwenye mamalaka na Vikosi vya SMZ
Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ (Masoud Ali Mohamed). Huyu ndiye anaye shughulikia vikosi vyote vya SMZ
Vikosi vya SMZ vimeanzishwa na serikali Ya Zanzibar.
Vikosi Vya SMZ havihusiki kulinda mipaka.

Zanzibar kuna:
Jeshi la kujenga uchumi hawa wanahusika zaidi katika kusaidia wanachi kwenye maafa .
Jeshi la magereza ni kulinda Jela zetu.
Jeshi la zimamoto kwa mafaa ya moto na mengine
Jeshi la KMKM ni kama coast guard.
Jeshi la Valantia ni wanmgambo au polisi jamii.

kamanda mkuu wa vikosi hivi ni Raisi wa Zanzibar. Msimamizi ni waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ
 
Good! ufafanuzi mzuri sana, ila pana shida ya tafsiri. Ukiishaita jeshi kimataifa itifaki inahitaji liamuriwe na Amiri Jeshi na siyo tu Kamanda. Labda tuviondolee neno jeshi tuviite tu vikosi ambayo hii inaviondolea maana ya jeshi. Na tuking'ang'ania kuviita jeshi/majeshi basi inabidi Rais wa Zanzibar aongezewe cheo cha Amiri Jeshi, kwa mujibu wa Katiba ya JMT hakuwezi kuwa na Maamiri Jeshi Wakuu wawili.
 
Hapo ndipo unapoona wazi kuwa Uvamizi umeleta balaa Tu Na figisu nyingi . Roho Za watu Na damu mnayoendelea kuimwaga inawatafuna. hata bado

Your browser is not able to display this video.
 
Maswali kuntu
Kuna mkuu mmoja alichangia mada (nimei-search ili niirejelee nimeikosa) kwamba Rais wa JMT akitaka kutumia vikosi vya SMZ analazimika kumuomba Kamanda wao ambaye ni rais wa Znz.

Swali.
Amiri Jeshi Mkuu wa JMT kumuomba kibali Kamanda wa vikosi vya SMZ kuvitumia si ni insubordination kwa Amiri Jeshi Mkuu? Kwa hierarchy ya kijeshi nani ni mkubwa kati ya Amiri Jeshi Mkuu na Kamanda?

Katiba zetu mbili zina majibu ya hili?
 
Huu Si muungano ni uvamizi Na ndiyo milele Hakuna linaloweza kuwa.hata siku moja
 
Huu Si muungano ni uvamizi Na ndiyo milele Hakuna linaloweza kuwa.hata siku moja
“In Tanzania, it was more than one hundred tribal units which lost their freedom; it was one nation that regained it.” Julius Kambarage Nyerere, from his Stability and Change in Africa speech given to the University of Toronto, Canada, 2 October 1969.

Kabla ya Usultani Zanzibar mimi naamini kuliwa na nchi (siyo taifa) tatu na siyo mbili zilizo kwenye muungano huu nazo ni Pemba, Unguja na Tanganyika. Kudhihirisha ukweli huu ambao wengi hawaujui jaribu kuvunja huu muungano leo utaona hizo nchi tatu zinaibuka Tanganyika, Unguja na Pemba. Hii ni #UN-KWEPABLE
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…