Pengo kwenye Muungano

Pengo kwenye Muungano

At least hujaniambia hayo niliyokuandikia kuwa Si kweli.

Huyo Laanatullahi Nyerere alipinduliwa Na wanajeshi Na waliomrudisha madarakani ni waingereza. Hivi lini Mkoloni alimweka kiongozi madarakani burebure Tu ,yaani apeleke Askari Wake wakauliwe ,wakuweke madarakani halafu iwe basi ?

Sasa ningalipenda usome kitabu

Kwaheri ukoloni kwaheri uhuru

Unaweza kukisoma online Andika kwenye Google Tu utakipata
Mola awajalie muupate uhuru wenu mapemaa iwezekanavyo. Maana hata sisi Watanganyika wengi tunajiuliza manufaa ya huu Muungano yamejikita wapi hasa!
 
Uliyoyasema yanabaki kuwa propaganda za kiitikadi-shindanishi, siyo ukweli hadi hapo utakapothibitisha kwa ushahidi maana hata rekodi za Mahakama si zipo? Rekodi za Magereza si zipo? Thibitisha propaganda ili kuzifanya kuwa ukweli unaoweza kutumika hata kwenye rejea za kitaaluma. Mfano umesema Nyerere alipinduliwa, ebu thibitisha yafuatayo:-

1. Nani alikuwa Rais aliyechukuwa Tanganyika baada ya kumpindua Nyerere?

2. Nani alikuwa kiongozi wa mapinduzi kwa upande wa jeshi?

3. Nini ilikuwa hatima za waliompindua Nyerere?

4. Kama ushahidi wa Kimahakama na Kimagereza vimefichwa je, kuna ripoti zozote za Ki-media za nje zinazoweza kurejelewa kwamba Nyerere alipinduliwa?

5. Nani alimrudisha Nyerere kwenye Urais baada ya kupinduliwa?

6. Kuna rejea zozote kwenye Jumuiya za Kimataifa ambazo Tanganyika ni mwanachama kuthibitisha kwamba kiongozi wa nchi mwanachama wao amepinduliwa?

7. Je, kuna rekodi zozote za Jumuiya yoyote ya Kimataifa kulaani mapinduzi yaliyomng'oa Nyerere madarakani?

8. Je, kuna ushahidi wowote wa Katiba ya Tanganyika kuwa-suspended na jeshi lililompindua Nyerere?

9. Unaweza kutupatia majina ya viongozi wa mapinduzi waliounda serikali ya mpito baada ya kumpindua Nyerere?

10. Je, kuna ushahidi wowote duniani wa Tanganyika kuongozwa na serikali ya mpito baada ya mapinduzi yaliyomng'oa Nyerere?

11. Je, kama Nyerere alipinduliwa tena labda baada ya kifo cha Karume mwasisi mwenzake wa muungano kwanini Znz haikutumia mwanya huo wa Nyerere kupinduliwa kujiondoa kwenye muungano? Au ilinogewa na mahaba ya muungano huu?

NB.
Hili jambo liko kwenye mtaala wa masomo wa Znz labda?

Nijuavyo mimi ni kuwa kuliwa na jaribio la mapinduzi lakini siyo mapinduzi kamili. Matumizi ya lugha wakati fulani yanatusuta, tuwe makini

Mola awajalie muupate uhuru wenu mapemaa iwezekanavyo. Maana hata sisi Watanganyika wengi tunajiuliza manufaa ya huu Muungano yamejikita wapi hasa!
Thanks , Aamin
 
Uliyoyasema yanabaki kuwa propaganda za kiitikadi-shindanishi, siyo ukweli hadi hapo utakapothibitisha kwa ushahidi maana hata rekodi za Mahakama si zipo? Rekodi za Magereza si zipo? Thibitisha propaganda ili kuzifanya kuwa ukweli unaoweza kutumika hata kwenye rejea za kitaaluma. Mfano umesema Nyerere alipinduliwa, ebu thibitisha yafuatayo:-

1. Nani alikuwa Rais aliyechukuwa Tanganyika baada ya kumpindua Nyerere?

2. Nani alikuwa kiongozi wa mapinduzi kwa upande wa jeshi?

3. Nini ilikuwa hatima za waliompindua Nyerere?

4. Kama ushahidi wa Kimahakama na Kimagereza vimefichwa je, kuna ripoti zozote za Ki-media za nje zinazoweza kurejelewa kwamba Nyerere alipinduliwa?

5. Nani alimrudisha Nyerere kwenye Urais baada ya kupinduliwa?

6. Kuna rejea zozote kwenye Jumuiya za Kimataifa ambazo Tanganyika ni mwanachama kuthibitisha kwamba kiongozi wa nchi mwanachama wao amepinduliwa?

7. Je, kuna rekodi zozote za Jumuiya yoyote ya Kimataifa kulaani mapinduzi yaliyomng'oa Nyerere madarakani?

8. Je, kuna ushahidi wowote wa Katiba ya Tanganyika kuwa-suspended na jeshi lililompindua Nyerere?

9. Unaweza kutupatia majina ya viongozi wa mapinduzi waliounda serikali ya mpito baada ya kumpindua Nyerere?

10. Je, kuna ushahidi wowote duniani wa Tanganyika kuongozwa na serikali ya mpito baada ya mapinduzi yaliyomng'oa Nyerere?

11. Je, kama Nyerere alipinduliwa tena labda baada ya kifo cha Karume mwasisi mwenzake wa muungano kwanini Znz haikutumia mwanya huo wa Nyerere kupinduliwa kujiondoa kwenye muungano? Au ilinogewa na mahaba ya muungano huu?

NB.
Hili jambo liko kwenye mtaala wa masomo wa Znz labda?

Nijuavyo mimi ni kuwa kuliwa na jaribio la mapinduzi lakini siyo mapinduzi kamili. Matumizi ya lugha wakati fulani yanatusuta, tuwe makini.

Kwa sisi tuliozaliwa 50s tunakumbuka Na Kama unaye babu yako mwenye umri Kama wangur atakuambia vizuri.
Epuka hizo propaganda

Soma kitabu
 
Attachments

Tanganyika ipo imelivaa koti la muungano Kwa kujiita Tanzania

Kisheria na kwenye taaluma ya Sayansi ya Siasa kuna kitu kinaitwa "kuvaa koti la muungano?" Unaweza kwenda kudai Tanganyika Mahakamani na kuiambia Mahakama kwamba Tanganyika imevaa koti la muungano?

Kama Tanganyika ipo Kiongozi wake ni nani? Maana mimi najuwa tuna Kiongozi wa Tz na Kiongozi wa Zanzibar tu, huyo wa Tanganyika naye yuko ndani ya koti? Kwanini asijivue koti la muungano ili awe dhahiri? Huyo Kiongozi wa Tanganyika aliyejivika koti la muungano alichaguliwa lini? na wapiga kura wepi? wa JMT au wa Znz? Ok, Nyerere na Karume hawapo sasa, Zanzibar inashindwa nini kujinasua kwenye muungano? Tanganyika inashindwa nini kujitokeza toka huko iliko? Au kwamba waasisi sasa hawapo, kwanini Tanganyika (kama ipo) isije mezani na Zanzibar upya kujadili ama kujitenga au kutengeneza mkataba mpya wa muungano wenye maslahi zaidi ya yanayodhaniwa kuhujumiwa? Nashauri kwenye mambo serious tusijaribu kuweka madoido na mazombi! Kumbuka kwenye ukurasa huu Moderator anatoa angalizo kwamba tuweke/tupost mada ambazo ni za siasa kweli kweli. Nadhani Moderator alisahau kusema michango nayo iwe ya kisiasa kweli kweli ili kutoa maarifa mahiri yasiyopotosha ukweli wa mada na maudhui yake.
 
Kwa sisi tuliozaliwa 50s tunakumbuka Na Kama unaye babu yako mwenye umri Kama wangur atakuambia vizuri.
Epuka hizo propaganda

Soma kitabu
Mawazo ya mtu mmoja au wawili kwenye mfumo wa kitabu siyo Alpha na Omega labda Misahafu tu na ambayo nayo pia bado inachambuliwa. Hakuna maarifa yenye ukomo duniani. Kuna uandishi wa namna mbalimbali zikiwemo Creative Writing na Researched Writing. Kuna uwezekano mkubwa kwamba viwili hivi visikubaliane kwenye ukweli, mantiki, muktadha na maudhui. Ordinary Books must not be read like Holy Books.
 
Kisheria na kwenye taaluma ya Sayansi ya Siasa kuna kitu kinaitwa "kuvaa koti la muungano?" Unaweza kwenda kudai Tanganyika Mahakamani na kuiambia Mahakama kwamba Tanganyika imevaa koti la muungano?

Kama Tanganyika ipo Kiongozi wake ni nani? Maana mimi najuwa tuna Kiongozi wa Tz na Kiongozi wa Zanzibar tu, huyo wa Tanganyika naye yuko ndani ya koti? Kwanini asijivue koti la muungano ili awe dhahiri? Huyo Kiongozi wa Tanganyika aliyejivika koti la muungano alichaguliwa lini? na wapiga kura wepi? wa JMT au wa Znz? Ok, Nyerere na Karume hawapo sasa, Zanzibar inashindwa nini kujinasua kwenye muungano? Tanganyika inashindwa nini kujitokeza toka huko iliko? Au kwamba waasisi sasa hawapo, kwanini Tanganyika (kama ipo) isije mezani na Zanzibar upya kujadili ama kujitenga au kutengeneza mkataba mpya wa muungano wenye maslahi zaidi ya yanayodhaniwa kuhujumiwa? Nashauri kwenye mambo serious tusijaribu kuweka madoido na mazombi! Kumbuka kwenye ukurasa huu Moderator anatoa angalizo kwamba tuweke/tupost mada ambazo ni za siasa kweli kweli. Nadhani Moderator alisahau kusema michango nayo iwe ya kisiasa kweli kweli ili kutoa maarifa mahiri yasiyopotosha ukweli wa mada na maudhui yake.
Hivi lile jeshi Na usalama wa taifa walioletwa Zanziy

Sheikh Karume angeshauvunja Muungano

Na Ahmed Rajab

TUNAUHITIMISHA mfululizo huu wa makala matatu kuhusu Zanzibar baada ya kupinduliwa kwa serikali huru ya Zanzibar Januari 12, 1964 kwa kuuangalia Muungano ulioundwa baina ya Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, mwaka huo.

Licha ya kuwa hai kwa miaka 55 hakuna asiyetambua kwamba uhai wake una mashaka makubwa. Kusema kwamba Muungano huo umekumbwa na “kero” ni kuuficha ukweli wa hali halisi ilivyo kuhusika na muungano ulioziunganisha nchi mbili zilizokuwa huru.

Hivi sasa moja ya nchi hizo, Zanzibar, kwa uhalisia wa mambo imeupoteza uhuru wake. Badala ya kuwa nchi yenye hadhi sawa na nchi nyenzake, Tanganyika, sasa imegeuka (kwa kila hali) na kuwa na mahusiano yanayofanana na yale ya mkoloni mwenye kutawala na mtawaliwa. Huo ndio ukweli halisi ulivyo na utauona utapouchambua kwa kina Muungano wa Tanzania

Salim Said Rashid ni miongoni mwa watu wachache leo wenye haki ya kudai kuwa wanaijua historia ya karibu ya siasa Zanzibar na Muungano wake na Tanganyika. Ameshiriki kwa karibu katika harakati za ukombozi za Visiwa hivi tangu akiwa mwanafunzi wa skuli ya sekondari katika miaka ya 1950.

Akaendelea na mapambano akiwa Uingereza anasomea masuala ya uchumi na sheria ya kimataifa katika Chuo maarufu cha London School of Economics (LSE). Alirudi Zanzibar na aliteuliwa Katibu Mkuu wa kwanza wa Baraza la Mapinduzi wiki moja tu baada ya mapinduzi. Aliendelea akawa naibu waziri wa fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano; naibu waziri wa fedha na utawala wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Balozi wa Tanzania nchini Guinea ambako alikuwa msiri mkubwa wa Kwame Nkrumah, rais wa kwanza wa Ghana aliyekuwa akiishi uhamishoni Conakry. Mwishowe Salim Rashid alikuwa balozi wa Tanzania nchini Ethiopia.

Muungano ulipokuwa unapikwa na Rais Julius Nyerere wa Tanganyika Salim Rashid alikuwa jikoni akiwa msaidizi mkuu wa Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Ni kwa sababu hiyo Raia Mwema imezungumza naye kupata maoni yake:

RM: Hebu tueleze unavyouona Muungano na mafanikio yake.

SR: Muungano umezongwa na migogoro tangu siku ulipoundwa hadi leo. Siyaoni mafanikio yoyote yale yaliyopatikana, si kwa upande wa Zanzibar na hata si kwa Tanganyika. Ni wazi Muungano huu haukuundwa kutokana na hisia za Watanganyika na za Wazanzibari. Muungano umeletwa kwa shinikizo la mataifa ya kigeni.

RM: Unadhani Sheikh Karume angekuwa hai leo angefikiria upya kuhusu Muungano?

SR: Angelikuwa Sheikh Abeid Amani Karume yuhai leo, pasingekuwa na Muungano. Siku moja kabla hajauliwa alinambia kwamba alikuwa na nia ya kuuvunja Muungano. Watu wengi, pamoja na mimi, tunajua kwamba Karume alichukulia suala la Muungano kuwa la muda na sote tunajua kwamba kwa uzalendo wake wa Kizanzibari asingeukubali muundo ulioibuka sasa wa Muungano. Unaelewa kwamba wakati Muungano ulipoundwa hali halisi ilikuwa ya vitisho; ilikuwa jambo ambalo Zanzibar ililazimishwa kulikubali.

RM: Kwa vipi?

SR: Kwa sababu wakati huo ulikuwa wakati wa “Vita Baridi”. Kulikuwa na madola ya Mashariki na madola ya Magharibi. Madola ya Mashariki yalikuwa yameyapokea na yameyakubali mapinduzi ya Zanzibar. Madola ya Magharibi yaliyakataa, yakafanya kila mbinu kuhakikisha kwamba Zanzibar haiendelei na kusalia kuwa dola huru.

RM: Unakusudia kusema kwamba walimtisha Karume ?

SR: Ndio. Walimtisha kuwa watatumia nguvu ya kijeshi kuivamia Zanzibar na kuiondoa Serikali yake. Walimtisha kuwa nchi za Magharibi hazitokubali Zanzibar iselelee kuwa taifa huru la kimapinduzi kwa khofu kuwa wanaweza wakapeleka umaarufu wa mapinduzi katika kanda hii ya Afrika. Lilikuwa jambo gumu hili na utakumbuka mambo yote yalikuwa siri. Hata wahusika katika Serikali ya Tanganyika na ya Zanzibar hawakufahamishwa kitu gani kinatokea mpaka siku ya mwisho. Aliyekuwa akijua kila kitu alikuwa Mwalimu Nyerere.

RM: Wewe ulikuwa karibu sana na Sheikh Karume na mimi najua akikuamini sana, alikueleza habari ya vitisho hivi ?

SR: Naam, alinieleza. Sisi tulikwenda Dar es Salaam siku 10 kabla ya muungano kuundwa na tulipofika kule Karume akakutana na Nyerere. Mwalimu akaniambia mimi niende nikanyowe (kwa vile niliamshwa mapema kwendea Dar sijawahi kunyowa ndevu). Kwa hiyo mimi sikuwapo katika mazungumzo yao, yaani baina ya Nyerere na Karume.
Ni wazi kwamba MNyerere hakutaka niwepo ndio maana akaniondosha kwa ujanja nikanyowe ndevu.

Hapo ndipo Karume alipofahamishwa njama za Magharibi kuhusu Zanzibar na kwamba kuepukana nazo alilazimika kujiunganisha na Tanganyika.

RM: Lakini mbona baadhi ya wasomi wameandika mlikuwa na kikao cha pamoja wewe, Mzee Karume na Mwalimu Nyerere?

SR: Kama nilivyokwambia mimi kweli nilikwenda Dar es Salaam, lakini tulipofika ikaonekana Mwalimu hakutaka mimi niwepo kwenye kikao kile, ndo akanambia nikanyowe ndevu. Lakini baada ya siku mbili tatu makaratasi yenye mapendekezo ya muungano yakaletwa Zanzibar. Mzee Karume tukawa tunayazungumzia makaratasi hayo na nilikuwa namfahamisha kila kitu.
Kuna kitu kimoja muhimu lazima kifahamike, huu muungano tangu upendekezwe mpaka usimame haikuchukua wiki mbili. Na kabla Karume kuitwa na Nyerere Dar es Salaam, ulikuja hapa ujumbe wa Tanganyika na wa Kenya uliomletea barua Mzee Karume.

RM: Barua hiyo ilisema nini?

SR: Barua hiyo ilikuwa ya kumtisha Karume kuwa hapa Umma Party ingeweza ikamuumiza, ikammaliza. Ilikusudiwa kuleta mtafaruku ambao haukuwepo.

RM: Lakini baadhi ya wataalamu, hasa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wanadai huu ulikuwa muungano wa hiyari na uliridhiwa na Baraza la Mapinduzi (BLM). Ukiwa katibu mkuu wa BLM wakati unaohusika, unasema nini kuhusu hili?

SR: Kuwa muungano ulikuwa wa hiyari au si wa hiyari tusizingatie maneno ya wataalamu wa Chuo Kikuu tu, bali tuzingatie vitabu vya waliohusika wakati ule, hasa wanadiplomasia wa Kimarekani. Ukisoma vitabu vyao utaona ulikuwa muungano wa hila, si wa halali.

Si wa halali kwa sababu Baraza la Mapinduzi halijapata kuitwa hata katika kikao kimoja kuzungumzia Hati ya Muungano, kuithibitisha na kuipitisha kama ilivyopasa kufanywa na kuchapishwa katika Gazeti Rasmi la Serikali.

RM: Wewe ukiwa katibu Mkuu wa Baraza, si ilibidi ushiriki vikao vyote?

SR: Ilibidi ndio, na mimi ndiye niliyekuwa naviitisha.

RM: Inasemekana kulikuwa na kikao cha pamoja cha BLM na Baraza la Mawaziri la Serikali ya Muungano. Kikao hicho kilizungumzia nini?

SR: Hakukuwa na kikao kama hicho. Kilichotokea ni kwamba Mwalimu alikuwa anahutubia Bunge na wajumbe wa BLM wakaalikwa kusikiliza; hakukuwa na mjadala.

RM: Inasemekana Mwanasheria Mkuu wa wakati ule, Wolfango Dourado hakushirikishwa katika hatua za kuelekea Muungano, bali alishiriki wakili kutoka Uganda, Dan Nabudere.

SR: Sio Mwanasheria Mkuu tu ambaye hakushirikishwa, bali hata wizara, pamoja na wizara muhimu ya Mambo ya Nje ya Zanzibar, haikushirikishwa. Hii ilikuwa sera binafsi ya Rais wa Awamu ya Kwanza wa Zanzibar na Rais wa Awamu ya Kwanza wa Tanganyika.

Kuhusu sehemu ya pili ya swali lako kuhusiana na Dan Nabudere, huyu nilimleta mimi hapa baada ya kuona umuhimu wa Serikali kupata ushauri wa kisheria. Lakini bahati mbaya alipofika hapa ilikuwa mkataba wa Muungano ushatiwa saini na akaondoka bila kufanya chochote.

RM: Inasemekana kulikuwa na ofisi za Wizara za Muungano hapa Zanzibar, ilikuaje zikaondoshwa?

SR: Baada Muungano walikuja mawaziri kufungua ofisi za Muungano hapa, lakini Serikali ya Mapinduzi ikakataa. Na napenda kukufahamisha kwamba, namna muungano ulivyoendeshwa katika awamu mbali mbali za Zanzibar inahitilafiana. Wakati wa Awamu ya Kwanza Zanzibar ilikuwa inaendeshwa kama taifa huru.

RM: Kwa vipi ?

SR: Kwa kuwa ilikuwa na jeshi lake, ilikuwa na idara zake, hakukuwa hapa na wafanya kazi wa Muungano, ilikuwa na chama chake, ilikuwa na kila kitu chake, na mamlaka yake ya kimataifa. Mambo yaliyokuwa yanafanya kazi yalikuwa ya Muungano tu. Hata hayo yalikuwa na matatizo. Kwa mfano, sarafu ya fedha za kigeni ya Zanzibar, ambayo ilikuwa nyingi, haikuchanganyishwa na ile ya Tanganyika na ilikuwa chini ya mamlaka ya Zanzibar, haikuwa chini ya mamlaka ya serikali ya Muungano.

RM: Kwa maelezo yako, na unavyoonekana kwa jumla mwenendo wa muungano huu, ni wazi kwamba suala hili liliharakishwa. Inawezekana kuwa kutokana na msukumo huu Karume mwenyewe hakuelewa kilichokuwa kikiendelea?

SR: Sijui kama alikuwa akielewa au hakuelewa, lakini kasi hii ilikuwa kwa sababu nchi za Magharibi zilikuwa zinataka kuleta majeshi hapa. Hawakukubali iwepo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Walitaka hili jambo lifanyike haraka sana. Lakini makosa yaliyotokea ni kwa upande wa Zanzibar, na wa Tanganyika, kutoshirikiana na dola nyingine za Afrika na zilizoendelea ulimwenguni kuelezea suala hili kimataifa, kwenda Umoja wa Mataifa kuonesha shinikizo iliyokuwa ikifanyiwa nchi huru ambayo kwa mujibu wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa inayo haki ya kuamua inavyotaka kuhusu mustakbali wake.

Suala hilo lina umuhimu wake hadi leo ambapo Wazanzibari wanalilia haki yao ya kuwa na mamlaka kamili yatayowawezesha kujiamulia mambo yao watakavyo. Tunataka tuwe na mahusiano ya kidugu na ujirani mwema na Tanganyika kinyume na ilivyo sasa ambapo kuna uhasama mkubwa kutokana na muundo wa Muungano ulivyo.

Baruapepe: aamahmedRajab@icloud.com; Twitter: @ahmedrajab
 
Mawazo ya mtu mmoja au wawili kwenye mfumo wa kitabu siyo Alpha na Omega labda Misahafu tu na ambayo nayo pia bado inachambuliwa. Hakuna maarifa yenye ukomo duniani. Kuna uandishi wa namna mbalimbali zikiwemo Creative Writing na Researched Writing. Kuna uwezekano mkubwa kwamba viwili hivi visikubaliane kwenye ukweli, mantiki, muktadha na maudhui. Ordinary Books must not be read like Holy Books.
Umeshakisoma muda huu au mwenzetu ni robot hata uje Na conclusion hizo
 
Niliwahi kumuhoji kiongozi mmoja hivi kuhusiana na masuala ya vita ya Kagera, nilipomaliza nikaandaa (nikachapa) mahojiano yale na kumpelekea asaini kuthibitisha majibu yake ili iwe document/hati kamili ya kuweza kurejelea kitaaluma #ALINIRUKA FUTI MIA na kugoma kusaini.

Maswali yangu ni haya:
Hivi haya yote yanapozuliwa wakati huu ambapo Mwl hayupo mantiki yake ni nini? Mwalimu aling'atuka uongozi wa nchi 1985 akawa siyo Rais tena na bahati nzuri Mzanzibari ndiyo akachukuwa dhamana na madaraka ya uongozi, kwanini Zanzibar haikufanya uamuzi mgumu wa kujiondoa kwenye muungano basi kama hawaupendi? Je, wakati huu ambapo Nyerere hayupo duniani kwanini Zanzibar isiwe huru kuamua kujiondoa kwenye muungano wasioupenda? Je, mbona mwana wa Karume amewahi kuongoza Zanzibar tena wakati ambapo Nyerere hakuwepo duniani alishindwa nini kuiondoa Zanzibar toka kwenye muungano? Mbona Taiwan, Hongkong na Tibet zimepambana kujipatia mamlaka zao? Mbona UK imejiondoa EU? Mbona Jamhuri za iliyokuwa USSR ziko huru (except kwa masuala ya uhusiano wa kimataifa?) Mbona Mexico iligomea USA kuungana? Kama Eritrea ambayo haikuwa nchi kamili kama ilivyokuwa Zanzibar iliona umuhimu wa kujitenga iweje Zanzibar iliyokuwa nchi ishindwe kufanya maamuzi magumu ya kuutafakari upya mkataba wa muungano? Kwanini Zanzibar isikimbilie UN kudai uhuru wao leo ambapo hakuna Nyerere wa kuwazuia bali wazungu haohao ambao hawakutaka mapinduzi ndiyo bado wanaongoza UN? Propaganda za msakatonge & umaarufu zitatuchonganisha na tukikubali tutajuta baadaye.
 
Niliwahi kumuhoji kiongozi mmoja hivi kuhusiana na masuala ya vita ya Kagera, nilipomaliza nikaandaa (nikachapa) mahojiano yale na kumpelekea asaini kuthibitisha majibu yake ili iwe document/hati kamili #ALINIRUKA FUTI MIA na kugoma kusaini.

Swali langu ni hili:
Hivi haya yote yanapozuliwa wakati huu ambapo Mwl hayupo mantiki yake ni nini? Mwalimu aling'atuka uongozi wa nchi 1985 akawa siyo Rais tena na bahati nzuri Mzanzibari ndiyo akachukuwa dhamana na madaraka ya uongozi, kwanini Zanzibar haikufanya uamuzi mgumu wa kujiondoa kwenye muungano basi kama hawaupendi? Je, wakati huu ambapo Nyerere hayupo duniani kwanini Zanzibar isiwe huru kuamua kujiondoa kwenye muungano wasioupenda? Je, mbona mwana wa Karume amewahi kuongoza Zanzibar tena wakati ambapo Nyerere hakuwepo duniani alishindwa nini kuiondoa Zanzibar toka kwenye muungano? Mbona Taiwan, Hongkong na Tibet zimepambana kujipatia mamlaka zao? Mbona UK imejiondoa EU? Mbona Jamhuri za iliyokuwa USSR ziko huru (except kwa masuala ya uhusiano wa kimataifa?) Mbona Mexico iligomea USA kuungana? Kama Eritrea ambayo haikuwa nchi kamili kama ilivyokuwa Zanzibar iliona umuhimu wa kujitenga iweje Zanzibar iliyokuwa nchi ishindwe kufanya maamuzi magumu ya kuutafakari upya mkataba wa muungano? Kwanini Zanzibar isikimbilie UN kudai uhuru wao leo ambapo hakuna Nyerere wa kuwazuia bali wazungu haohao ambao hawakutaka mapinduzi ndiyo bado wanaongoza UN? Propaganda za msakatonge & umaarufu zitatuchonganisha na tukikubali tutajuta baadaye.
Yaani wewe ni mtu wa ajabu sana , hivi ulizaliwa mwaka gani? Hivi unakuwa unasoma hicho unachoandikiwa? Hivi hujui yaliyowapata Aboud Jumbe, Seif Sharif, Na wengine wengi wakati dictator Nyerere akiwa Raisi?
 
Mkuu,
Madai yako ni kwamba dictator Nyerere (kama unavyomrejelea) alilazimisha Zanzibar kuungana na Tanganyika akapeleka majeshi kule, sasa lini Tz imepata uwezo wa kijeshi kushinda US, UK, Germany nk kwamba wakiamua leo kuiondoa Zanzibar kwenye muungano basi majeshi yetu yatawashinda? Na kama majeshi yetu hayawezi kuyashinda ya kwao (NATO) na pia kwamba Nyerere hivi leo hayupo wanashindwa nini kuja na kuiong'oa Zanzibar toka kwenye muungano? Si ni wao ndiyo wana nguvu ya turufu kwenye UN? Zanzibar inashindwa nini kupeleka UN madai ya kujiondoa kwenye muungano ili wazungu hao hao wa UN waridhie maana kwa mujibu wako hata wazungu hao wanapenda Zanzibar iwe huru (muungano ufe)!
 
Inaaminika (mimi sina ushahidi) kwamba kwenye hati ya Sultani mpaka wa Zanzibar unaishia Kimara Mwisho na kwenye hati ya UN iliyoiweka Tanganyika kuwa Protectorate (udhamini) ya UN chini ya Mwingereza mpaka wa Zanzibar unaishia baharini huko. Sasa UN ni mnafiki? Nani angekubali Dsm iwe sehemu ya Zanzibar kwa mujibu wa hati ya mipaka ya Jamshid? Yaani Nyerere angekuwa mjinga kiasi hicho cha kukubali Ikulu yake iwe ndani ya Zanzibar? Mbona hatuna mgogoro wa mipaka ya majini kwenye Ziwa Victoria ambapo UG inamiliki 43%, Tz 51% na Kenya 6%? Mgogoro uwe ni kwa Zanzibar tu licha ya mipaka ya majini duniani kutambuliwa kwa mujibu wa definitions za UN na siyo za Sultani Jamshid bin Abdullah?

Zanzibar ina rasilimali ngapi kulinganisha na Tanganyika? Haioni kwamba inafaidi rasilimali za Tanganyika kupitia muungano? Duniani mataifa yanakimbilia kuungana ili kuwa na nguvu kubwa lakini Ma-Hizbu (Ma-ZNP) yanatamani kujiondoa kwa manufaa ya kundi lao dogo ili wamrejeshe mjukuu wa Jamshid! Baghosha. Ndiyo Magufuli alisema tusiishi kero (siyo mgogoro) za muungano kihistoria bali kiuhalisia.

Nachelea kuamini kuwa Zanzibar ikijiondoa muungano basi Wachaga na Wapare wote wa Kimara na mitaji yao watakuwa sehemu ya Zanzibar! Pia sina hakika kama Wapemba waliokuja kuwekeza Dsm watajikuta tena wamerudi nchi ya Zanzibar waliyoihama tayari!

Pokea hii taarifa na uiamini:
Zanzibar ikijiondoa kwenye muungano haikwepeki itafuatwa kwa haraka zaidi na Pemba kujiondoa Zanzibar maana kuna school of thought kwa Wapemba kuwa Unguja inaikolonisha Pemba (kama ambavyo unaamini kwamba Tanganyika ndani ya muungano inaikolonisha Zanzibar). Aidha, kitakachofuata baada ya Pemba kujitenga na Unguja ni ama Pemba iungane na Kenya au na Tanganyika, obviously itaungana na Tanganyika ambayo haina changamoto za ardhi kama Kenya na pia kwamba tayari wana mitaji yaoTanganyika, sasa utabomoa muungano lakini muda huo huo mtaurudisha muungano kupitia Pemba. Unguja bila Pemba haina kitu, Unguja bila bara haina kitu, Zanzibar bila Tanganyika kwenye muungano haina kitu itakimbilia Uarabuni kuirudisha Hizbu irudi ikolonishe Zanzibar. Wewe utakuwa ni Muunguja wa Hizbu bila shaka maana Muunguja wa ASP hawezi kuuchukia muungano.
 
Mkuu,
Madai yako ni kwamba dictator Nyerere (kama unavyomrejelea) alilazimisha Zanzibar kuungana na Tanganyika akapeleka majeshi kule, sasa lini Tz imepata uwezo wa kijeshi kushinda US, UK, Germany nk kwamba wakiamua leo kuiondoa Zanzibar kwenye muungano basi majeshi yetu yatawashinda? Na kama majeshi yetu hayawezi kuyashinda ya kwao (NATO) na pia kwamba Nyerere hivi leo hayupo wanashindwa nini kuja na kuiong'oa Zanzibar toka kwenye muungano? Si ni wao ndiyo wana nguvu ya turufu kwenye UN? Zanzibar inashindwa nini kupeleka UN madai ya kujiondoa kwenye muungano ili wazungu hao hao wa UN waridhie maana kwa mujibu wako hata wazungu hao wanapenda Zanzibar iwe huru (muungano ufe)!
Wewe huna haja ya kujua chochote , Lengo lako ni kuongeza pages Za huu uzi wako

Hayo maswali yako nilikwisha kukuambia Soma kitabu
Kwaheri ukoloni kwaheri uhuru

Au kitabu cha Rais Aboud Jumbe
THE partnership

Humo utapata majibu yako yote

Kama hutaki

Kakojowe ukalale
 
Kwahiyo Huu Muungano Umejaa Ujanjaujanja Mwingi Kama Karata Tatu Vile
 
Wewe huna haja ya kujua chochote , Lengo lako ni kuongeza pages Za huu uzi wako

Hayo maswali yako nilikwisha kukuambia Soma kitabu
Kwaheri ukoloni kwaheri uhuru

Au kitabu cha Rais Aboud Jumbe
THE partnership

Humo utapata majibu yako yote

Kama hutaki

Kakojowe ukalale

Critiquing Extracts from the book “Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru”

Mwandishi anasema hivi:

Masuala ya Kujiuliza
Wazee wengi wenye kusimuliya simulizi za Mapinduzi ya Zanzibar ni wazee ambao wamebobea kwenye historia ya Mapinduzi. Ni wazee waliyokaa kitako mara nyingi na kukongeshwa kwenye viti vyao kwa fikra na mawazo ya muda mrefu ambayo hawajawahi kuwakabidhi watoto na wajukuu zao. Kitabu kinauliza masuala matatu ya msingi. Jawabu za masuala hayo zilimezwa xxvi Utangulizi na nyangumi aliyeamuwa kuzamiya au aliyezamishwa kwa makusudi kwenye bahari ya historia kwa zaidi ya miaka 46. Masuala ambayo msomaji wa kitabu hichi anafaa kuyazingatiya kwa umakini mkubwa ni haya yafuatayo:

1) Ufunuo wa Mapinduzi ya Zanzibar ndani ya kipindi cha maridhiyano baina ya Wazanzibari utaweza kuisaidiya Tanganyika kuisitisha mivutano iliyojitokeza kwa kuukaribisha mfungamano ndani ya Zanzibar ambayo ni sehemu ya pili ya Muungano wa Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar?

My critique of this point of the book:

Mwandishi ameshindwa vibaya sana sana kuonyesha ni njia gani itumike kuondoa magugu na mbegu za utengano na chuki hizi za leo ambazo zilipandikizwa na U-hizbu tangu kabla ya muungano (muungano haujapandikiza hizi chuki) ambapo Nyerere na Karume wamekuja kufanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Ma-Hizbu na Ma-ASPs kwamba leo wanaweza kusoma skuli moja, darasa moja, chuo kimoja, bweni moja, msikiti mmoja, Kanisa moja, Jamatini moja, Hekalu moja, gereza moja, misibani, kwenye maulidi, markiti, mwaloni kwenye uchuuzi wa bidhaa za baharini za uchumi wa bluu, kukaa boti moja kwenda Pemba-Unguja-Tanga-Dsm-Mombasa nk.

2) Umoja wa maridhiyano baina ya Wazanzibari wenyewe kwa wenyewe, baina ya Wazanzibari na Watanganyika, na baina ya Waafrika Weusi na Waarabu Waafrika, utakuwa na faida gani kubwa za kisiasa na za kiuchumi kwa wananchi walio wengi wa Afrika Mashariki na Kati?

My critique of this point of the book:

Mwandisi hajaonyesha ni namna gani ambayo wafuasi wa Hizbu (akiwamo Jagina) wameishapata uhuru anaoubeza na wanaoupigia kelele. Hizbu wanaamini kuwa walio huru leo ni wafuasi wa ASP tu lakini wao Hizbu wanaamini bado wako kwenye minyororo ya utumwa wa Mwarabu lakini watumwa wanaokula vinono na kunywa sharubati za uhuru wa Mapinduzi wanayoyakataa na kutamani kubaki kwenye enzi kongwe za utumwa na ukoloni wa Mwarabu. Mwandishi hajaonyesha jinsi hawa wana Hizbu walivyokuwa ni watumwa wa aina ya pekee duniani ambao wanapatikana tu kwenye visiwa hivyo vya mwani na vanilla. Mtumwa anayemiliki mitaji, mashamba, haki za binadamu, haki ya kuchagua na kuchaguliwa, haki ya kiuhamiaji (Immigrationh Rights, ambayo wameipata kwa Wapemba na Waunguja kujazana Tz-Bara, Ulaya, Uarabuni na US) nk.

3) Madola makubwa ya Magharibi yalishiriki katika upangaji na utekelezaji wa Mapinduzi au waliyasaidiya kwa kuzidharau kwa makusudi taarifa za kiusalama walizokuwa nazo kwa sababu Mapinduzi na Muungano ilikuwa ni mihimili miwili yenye maslahi na wao zaidi kuliko maslahi ya Wazanzibari, ya Wazanzibari na Watanganyika, na ya Waafrika na Waarabu?

My critique of this point of the book:

Mwandishi anapungua (haenei) kwenye mzani wa uanazuoni wa viwango na hasa waliotabahari kwenye siasa za muungano duniani pale aliposhindwa kuwahakikishia Ma-Hizbu wenzake kuwa kamwe wasiote ndoto za sungura kwamba wanatarajia Mapinduzi ya pili ya kuong’oa uhuru uliokwishapatikana ili kuleta uhuru bandia wa mkataba na mwovu Mwarabu. Marekani ijitathmini kwanza kwanini imeshindwa kuungana na Mexico ndipo ije mbele kuchagiza utengano wa Zanzibar na Tanganyika. Aidha, Waarabu wao wanaungana kama ilivyo Ulaya na kwingineko ilhali masalia ya Ma-Hizbu wa Zanzibar wanadai utengano kwa gharama wasiyoweza kulipa kwa vizazi.

Dosari ndogondogo za Kitabu:

1. Hakikuhaririwa kwa uweledi (Only glossing over).

2. Isimu ni tatizo kubwa kwa Mwandishi na kushusha hadhi ya kitabu kwa kuvuruga agenda nyeti, mantiki na maudhui.

3. Muundo (structure), lafudhi na lahaja za Kiswahili alichotumia zina mgogoro wenyewe kwa wenyewe.

4. Mwandishi ameegemea u-diaspora na kutegemea kwa kiwango kikubwa taarifa hasi na pandikizi kuliko hali halisi iliyopo kwenye ground (biasness).

5. Namba 2 – 4 hapo juu zinathibitisha kuwa ametumia uandishi wa aina ya “creative writing” wa kubuni badala ya “empirical writing” Kwenye creative writing ametegemea tu table research (rejea ya machapisho). Hii inafanya kitabu chake kisifanye vizuri sokoni kwasababu kimesheheni hoja za ubunifu (usanii) zaidi kuliko hoja halisia zinazoweza kupatikana kwa tafiti za kwenda kwenye field.

Angalizo:

1. Kitabu hiki siyo Alpha na Omega. Wengi wameandika juu ya muungano kama akina Godfrey Mwakikagile, Harisson Mwakyembe (thesis), Greg Cameron, Haroub Othman (papers), Julius K. Nyerere (speeches), Kabudi Palamagamba (speeches), Pius Msekwa (articles) nk.

2. Masimulizi ya kweli yanayoweka uwiano mzuri wa mitazamo kuhusu Zanzibar na Mapinduzi ya 1964 yanapatikana kwenye kitabu cha “Masimulizi ya Sheikh Thabit Kombo Jecha” kilichoandikwa na Minael Hosanna O. Mdundo, dibaji na Mwl. Nyerere na kuhaririwa na Paul Sozigwa.

3. Changamoto ya msingi ya muungano tangu mwanzo ilikuwa ni hofu ya dola za Magharibi hasa US kuwa Zanzibar ingekuwa Cuba ya Afrika dhidi ya Ubepari wao na hofu hii pia walikuwa nayo kuhusu jitihada za ujenzi wa Ujamaa Ethiopia. Hofu hii ilipata nguvu kwa kuwekeza kwenye mawazo potofu ya wafuasi wa iliyokuwa Hizbu (chama cha Jagina).

Mapendekezo kuhusu kuulea muungano:

1. Muungano usijadiliwe kwa hisia za kiitikadi za makundi maslahi, ufumbuzi hautapatikana asilani.

2. Umma uaminishwe juu ya manufaa ya dhana ya “Umoja ni Nguvu, Utengano ni Udhaifu”

3. Ikampeniwe kwa bidii kubwa mikakati ya kuuendeleza muungano na ikanwe mikakati ya kuuvunja muungano.

4. Historia isipotoshwe na propaganda zisizotafitiwa.

5. Maboresho ya mitaala ifanyike ili kuwe na somo la muungano na uzalendo.

Hitimisho:

Kitabu hiki cha “Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru” kiondolewe sokoni (recall the book).

Truth That Hurts.
 
CCM waliwahi kusema ukweli kuhusu Muungano

As a leader it is also a mistake to think that you need to have all the right answers all the time. Trying to be right all the time is stressful, slows progress and causes procrastination Skip Prichard, (2016).
 
Kwa mujib wa taarifa ya mamlaka ya tabia nchi duniani Zanzibar inazama baada ya miaka 50 ijayo kwann tusiwape uhuru wao wajitegemee baadae wapige mbizi kuja Tanga na Dar, Bagamoyo, Mtwara waje na passport.
 
Back
Top Bottom